@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
821 KJ. Hapo huniambii kitu kuhusu Jeshi!
Tweet media one
395
94
2K

Replies

@Gery_Gerrald
Gery
1 year
@TitoMagoti Mwanetu ulikua unawaka hadi na kombat ๐Ÿ˜‚
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
@Mtwa_Mkwawa Hapo najikuta bingwa sana! Silaha mbili.. akati nanga tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
0
2
@iboysean
Sean
1 year
@TitoMagoti Kaka Enhh ๐Ÿ˜‚
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
@iboysean Oii ofsa!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
0
0
0
@lifeofmshaba
Think Different
1 year
@TitoMagoti Kwenye hili umenizidi sana, Hongera mjeshi
1
0
8
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
@lifeofmshaba Uzoefu mzuri sana ulikuwa, shukrani kamanda
1
0
9
@jofrey_mentor
MENTOR
1 year
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
0
0
1
@DullahTheking2
Dullah_theKing๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
@TitoMagoti ๐Ÿ˜‚
1
0
6
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
@DullahTheking2 Mwanetu dullah
1
0
9
@Eddo142
Eddo
1 year
@TitoMagoti Daah sema ungebakia huko huko tu palikupendeza๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
1
0
3
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
@Eddo142 Ningekuwa na ukuda tani nzima๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
0
4
@Mkanaani_
Mkanaani ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
@TitoMagoti Waika kikiwa waka zeze uligonga kama kawa...! Salute Captain Magoti ๐Ÿซก
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
@Mkanaani_ Wamuwasu, Salute kamanda๐Ÿซก
0
0
2
@PresenterNoah
Presenter Noah
1 year
@TitoMagoti Mafinga Hii??
1
0
5
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
@PresenterNoah Bulombora Kigoma
2
0
2
@JayleenRickie
Jayleen ๐Ÿ’ž
1 year
@TitoMagoti ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila maisha ya jeshi jmn
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
@JayleenRickie Jeshi morali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
0
2
@Eric__Bernard
MR BEN
1 year
@TitoMagoti Kigoma hii.. Ulijiona Sojaaa kumbe ni Nanga tu
2
0
9
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
@Eric__Bernard Hapo nina knuckles za kutosha mikononi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
0
7