@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Kitu pekee Bunge la JMT (extended party caucus) linafanya kwa ufanisi ni kulipana mishahara. Mengine ni majaliwa.
104
278
3K

Replies

@NewTimesTZ
NewTimesTanzania
3 years
@TitoMagoti Yani That's absolutely CORRECT. Kingine ni kuongeleshana siku nzima, kutudanganya watanzania.
1
0
30
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@mrBenPeter Wanajidanganya wao.. tulishaacha kuwapa attention.
6
0
38
@rollymsouth
Madenge
3 years
@TitoMagoti Hata kupiga majungu linajitahidi
1
1
93
@Navidy22
Mtanganyika👮
3 years
@TitoMagoti Usisahau na kumsema @freemanmbowetz mana hatoki mdomoni mwao
0
0
13
@njaghamba85
SINGIDA
3 years
0
0
0
@fely_seba
MJOLI
3 years
@TitoMagoti Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana BWANA, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha. Kumbukumbu la Torati 31:6
0
1
8
@mmbaga_said
Said Mmbaga
3 years
@TitoMagoti Kitu nashangaa wanakosoana wenyewe kwa wenyewe
0
0
3
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@BaloziMtaa Watajadiliana kwa kina na watakubaliana.
0
0
2
@habariNjema48
Preacher
3 years
0
0
0
@Lissu4change
Abo Taleb🇹🇿🇵🇸
3 years
@TitoMagoti Maana hilo ndo pato la chama Chao wenyewe Tu saiv!
0
0
10
@KakaMkuu94
Makuru Robert
3 years
@TitoMagoti Eeh posho kama posho
0
0
7
@john__himself
BIDEN
3 years
0
0
1
@Vioelly
Violeth Daywell
3 years
@TitoMagoti Kuna Bunge Basi Kaka...Wanapiga Umbea Tu Yaan...Imagine Hotuba Ya @freemanmbowetz Inavyojadiliwa Kimbea Mbea...Eti Ni Muhimili Jaman...Khaaai!!!
0
0
2
@Hekimatupu1
Hekimatupu
3 years
@TitoMagoti Na itafika wakati wale wachache wenye busara wachache walioko bungeni hawataongea tena kitaalam watawaacha darasa la saba na waimba mapambio maana ndio wanajiona ndio wenye bunge sasa.
0
0
5
@CletusAnzigar
Cletus Anzigar
3 years
@TitoMagoti @MariaSTsehai And when they reach to that point they ensure real togetherness which results into timely payments of their share.
0
0
0
@MagoigaS
VIN
3 years
@TitoMagoti @MariaSTsehai Kwa ufupi bunge halina kazi wala mahakama kwa ufupi Tanzanian tuna muhimili mmoja tu, tunaomba mama arekebishe ilo ikiwezekana viongozi wa mahakama wachaguane sio kuteuliwa
0
1
7
@Ginna1710
Ginna
3 years
@TitoMagoti Very true ningekuwa na mamlaka ningelivunja bunge na kuanza uchaguzi upyaaaa,naamini watanzania wangenielewa
0
0
1
@azizi_daudi
azizi antah🔰🔰🔰
3 years
@TitoMagoti Hawa kabsaa
0
0
0