@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Nawashukuru nyote, kwa umakhsusi: familia na marafiki, mwajiri wangu (LHRC), wanaharakati, wanazuoni, wanasheria, watumishi wa Mungu, wanahabari, asasi za kiraia, wanasiasa, na jumuiya za kimataifa. Jitihada na sauti zenu zilikuwa na maana kubwa sana kwangu.
123
243
2K

Replies

@thisistemidayo
Temidayo
3 years
@TitoMagoti Karibu tena Bro.
0
0
1
@Chinja25
OsPele MbaPele
3 years
@TitoMagoti Welcome back Tito
0
0
1
@mubarak31722524
MUBARAKAT
3 years
0
0
3
@SafariMlevi
safari mlevi
3 years
@TitoMagoti @HamiduMasigiti Pole Sana kaka Karibu ulimwengu wa chuki na Roho za kichawi
0
0
13
@f_msafiri
Msafiri Laurent
3 years
@TitoMagoti @Chinja25 Keep up that spirit Tito. Mungu wetu n mwaminifu na mwema. Karibu tena uraiani na Twitter Republic..
0
0
1
@_King_Gold
MANSA MUSA KISIKI 🇹🇿
3 years
@TitoMagoti @ZubbySakuru Karibu my brother, Tito. You were truly missed!
0
0
2
@Burhani_ChegoVL
Burhani Magandila 🇹🇿
3 years
@TitoMagoti Pamoja sana kijana... Yote mapito.
0
0
2
@henryclevertz
Choir Master
3 years
@TitoMagoti Hongera sana broo karibu uraiani
0
0
1
@Banhu81214460
Banhu
3 years
@TitoMagoti @IAMartin_ Pole Sana kijana ni sehem ya maisha
0
0
1
@ema_venanc
Ema Venanc Kilenga🇹🇿🇵🇹
3 years
@TitoMagoti Karibu kaka pole sna
0
0
1
@ChiefMontezuma
Montezuma
3 years
@TitoMagoti Pole sana ndugu yetu.
0
0
1
@SusannaN2
Susanna Nordlund 🐐 🇹🇿
3 years
@TitoMagoti Pole sana na karibu tena. Mapambano yanaendelea.
0
0
1
@FinanceEmma1
JAY MELODY
3 years
@TitoMagoti @timothynashon Polee sana broo, karibu tena tujenge nchi yetu na kupambania hakii
0
0
2
@GodlistenPharma
godlisten mshigwa
3 years
@TitoMagoti mapambano yanaendelea.
0
0
1
@ObadiaMalopa
MALOPA✍️
3 years
@TitoMagoti Bless up kaka.
0
0
1
@Justinebaada1
Justine baada
3 years
@TitoMagoti Tayari hapo displacement reaction imetake place. Pole sana ndugu
0
0
1
@king_kinya
king kinya
3 years
@TitoMagoti @mansoorhimid Karibu tena Tito.hongera KWA uzoefu pia
0
0
15
@LSB1905
Kaka wa wote
3 years
@TitoMagoti @poeticTricy Pole sana, karibu jamvini.
0
0
2
@TitoMagoti Karibu Sana brother usikate tamaa endelea kupambana
0
0
1
@Thedikilaka
dikilaka
3 years
@TitoMagoti @MariaSTsehai Welcome back kaka kiongozi, we missed you njoo sasa tuwanyooshe tena safari hata wakikupeleka gwatanao na sisi tutaruka ukuta wa nyumba nyeupe pale maporini chamwino kama yale manamba ya trump.
0
2
23