@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
Mdogo wangu @abdulnondo2 ameibua mjadala. Ninamuunga mkono. 1. DC Gondwe amepataje credential za kuvaa sare za JWTZ? 2. Nani amempa DC Gondwe sare za JWTZ? 3. Sheria inasemaje kuhusu matumizi ya sare za JWTZ?
Tweet media one
322
143
1K

Replies

@makanikia2016
rahim
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 Tegemea kujibiwa kuwa huyu ni "Rais wa district"
1
0
32
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
@makanikia2016 @abdulnondo2 Petty kabisa. Kwahiyo, he can put on sare ya Zimamoto, Magereza, Polisi, JWTZ, Mgambo, etc.. na anazipataje? Na mipaka yake ikoje? Kama ni Top in District, kwanini hajavaa VYEO vya juu zaidi? This narrative needs to be fact-checked.
6
2
78
@ShowmieSoud
5H-SHM
5 years
@TitoMagoti @MarekaMalili @abdulnondo2 Ifike time waelewe combat sio jeans kila mtu anavaa
2
1
14
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
@ShomarySoud @MarekaMalili @abdulnondo2 Yaani wangejua tunavyoheshimu hilo vazi, wangekaa mbali kabisa.
2
1
26
@KalokolaBR
Brightius Kalokola
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 😁.... aisee... gwanda na ndevu (sharubu) wapi na wapi, af katia glasses πŸ‘“πŸ˜‚!!!
1
0
4
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
@DrKalokola @abdulnondo2 Yaani vazi la heshima, jasho na damu, kama combat jamaa analivalia styles zake. Well. We need to see the reaction of Gov on this.
1
0
8
@faustinemavunde
Faustine
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 Halafu kila kukicha hawa maDC wanatumbuliwa..Je magwanda inakuaje hapo?
3
0
9
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
0
0
3
@arthur_lusekelo
munyamwezi
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 Ni mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya
3
0
7
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
0
0
10
@hancymachemba
Hancy Machemba
5 years
@TitoMagoti @fadhilikangusi @abdulnondo2 Yy ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usslama wa wilaya so ameona ni mwanajeshi tayari kama wengine. Hii nchi kwa sasa wacha tuenjoy maisha. Ule utafiti wa kuwa Sisi ni nchi isiyo na furaha ni waongo tu,raja zote hizi?
6
5
59
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
@hancymachemba @fadhilikangusi @abdulnondo2 Yaani zile tafiti haziko fair mpwa! Haiwezekani tukose furaha wakati tuna vituko kibao hivi!
2
1
58
@dismas_joseph
Mr. Morale
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 Vijana mnaojidai kuwa wasomi ndo mnaongoza kwa kudiscuss petty issues huku twitter
3
0
8
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
@dismas_joseph @abdulnondo2 Na wewe unafuatilia petty issues.. so who’re you? We’ll keep u following. Karibu sana.
4
0
25
@Mrisho_K
β˜†
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 Hao ndio huwa wanawakodishia majambazi wanazitumia kufanya uhalifu
1
0
63
@dchikaka
Daniel
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 Hiyo picha itakua fake....I can't blv it!
2
0
3
@Mkungu891
Mkungu89
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 HUO AENDELEE KUBAKI NAO TUKO BIZE NA MAENDELEO NA KUJIANDIKISHA ILI TUPATE ILE DAWA YENU AKA VICHINJIO VYA 2020 TUU HAYO MAMBO YA SARE MTAYATUMIA NINYI KWENYE KAMPENI MAANA YATASAIDIA KULETA NDEGE.
11
0
13
@hellen_sisya
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 Nilimuona kupitia habari ya Azam...nikabaki najiuliza tu maswali πŸ€”πŸ€”
0
1
5
@imposibo_
SIRπŸ•·
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 Huwa nawaza ivi Tanzania ilikuwaje ikawa nchi?🀣
2
0
2
@chronic255
Chronic
5 years
@TitoMagoti @abdulnondo2 Yale yale ya Bashite kupiga salute.. πŸ€”πŸ€”
0
0
3