@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
7 months
Wanafunzi wa kidato cha kwanza watarajiwa wa Shule ya Sekondari Forest Hill Morogoro wakifuatilia maelekezo yanayotolewa na Stella Genge Afisa Mafunzo Kitengo cha Ukuzaji Viumbe Maji kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo walipofanya ziara ya kujifunza chuoni Novemba 30, 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
12
62

Replies

@doumaliky
Nafaka°
7 months
@SokoineU Ni Jitihada nzuri
0
0
1
@Karuhawe
Maluhula
7 months
@SokoineU Admini mwambie nampa salaam
0
0
1
@jackjose075
JB X💎
7 months
@SokoineU Hatuna boom bhan
0
0
0
@MadallaNazael
Nazael Madalla
7 months
@SokoineU Sustainable aquaculture begins with young minds. Kudos SUA for providing space to nurture secondary students
0
0
3
@Mahangi2410
Mahangi
7 months
0
0
0