@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
7 months
SUA imefanya Mahafali ya 42 ambapo Wahitimu 3095 wametunukiwa vyeti vya kuhitimu Elimu ya Chuo Kikuu na Mhe. Jaji Joseph Warioba huku wakihudhurishwa kwa mara ya kwanza Wahitimu wa kwanza wa ngazi ya Shahada kutoka Kampasi ya Mizengo Pinda Mkoani Katavi. @WizaraKilimo @TCU
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
22
124

Replies

@MalemboLE
Lucas E. Malembo
7 months
@SokoineU @WizaraKilimo @TCU Hongereni @SokoineU kwa kazi nzuri ya kutengeneza watalaamu kwenye Nchi yetu na bara letu la Afrika, sisi @MalemboFarm Tanzania na Kenya tunatambua mchango wenu katika kuendeleza sekta ya kilimo,mifugo na uvuvi.
0
1
15
@AmekuShambani
AMEKU SHAMBANI
7 months
@SokoineU @WizaraKilimo @TCU Big up Sua Kama shamba linawapongeza kwa kila jitihada ya kuwa macho ya Kilimo Tanzania
0
0
0
@MrinaEvodi
life is Agriculture🌾🔝live in Politics Life
7 months
@SokoineU @WizaraKilimo @TCU Hongereni sana kwa chuo chetu pedwa @SUA kwa sector ya Agriculture Na Karibu vijana tulisongeshe Jahazi la @HusseinBashe
0
0
0
@kachembenho
Mzee
7 months
@SokoineU @WizaraKilimo @TCU 3095 Bado kilimo, uvuvi na ufugaji UPO hali ya chini.
0
0
0
@themkulimaz
🇿🇦
7 months
@SokoineU @WizaraKilimo @TCU Na makofia yenu Kama mikeka mchango ni sufuri😠
1
0
1
@MeckMesaki
KIROMO AGRO
7 months
0
0
0
@Elly_Ifande
small_voice
7 months
@SokoineU @WizaraKilimo @TCU Admin, iyo picha ya mwisho mbn Ni kama ya wahitimu wa mwaka Jana22.
0
0
0
@mkulima_msomi
MKULIMA🚜👨‍🌾
7 months
@SokoineU @WizaraKilimo @TCU Kudos for the new graduates
0
0
0
@DotoMap
Doctor Map
7 months
1
0
1