@SokoineU
Sokoine University of Agriculture (SUA)
9 months
Makamu Mkuu wa Chuo cha SUA Prof. Raphael Chibunda (wanne kutoka kulia kwa waliosimama mstari wa kwanza), katika picha na Rais wa JMT Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Makamu Wakuu wa Vyuo vya Umma baada ya kumalizika kwa kikao Ikulu tarehe 29 Septemba, 2023
Tweet media one
3
7
58

Replies

@kasulukwetu
Kasulu
9 months
@SokoineU Natumaini VC Prof. Mvuma wa MUST ameacha tabia ya kupendelea walokole wenzie na kuwatenga wengine mahali pa kazi. Ofisi ya umma sio Kanisa, afanye kazi na kila mtu.
0
0
0
@Opondo25
Opondo
9 months
@SokoineU Yule tapeli VC wa @UdsmOfficial simuoni hapo. Anataka kututhulumu ela zetu wakandarasi. Hataki kutulipa toka mwezi April. @SuluhuSamia @KassimMajaliwa_ tunaomba mtusaidie wakandarasi wa ndani tunazulumiwa na @UdsmOfficial . Tuko chini ya miguu yenu tunaomba mtusaidie
0
0
0
@GregorySimeo
Gregory Simeo
9 months
@SokoineU Prof.Chibunda @RChibunda na mkakati wa kuzalisha Wanataaluma watakaotengeneza Ajira kwa Wenzao na kuongeza uzalishaji Viwandani. #SUA is going to next level of Academic, Research and Entrepreneurship to increase Employment opportunities. Kudos!!!
0
1
3