SOFFTanzania
@SOFFTanzania
Followers
10
Following
0
Media
8
Statuses
8
Joined September 2024
Kamati tendaji ya mradi wa SOFF yakutana kutathmini utekelezaji wa mpango kaz uliyoidhinishwa. Soma 👉 https://t.co/5LkowDEKVv
0
0
1
Dondoo za Uzinduzi wa Mradi wa Hali ya Hewa wa SOFF Tanzania. Highlights of High Level Launch of the Systematic Observations Financing Facility (SOFF) project in Tanzania. #soff
#soffTanzania
0
1
1
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi (IPCC), Dkt. Ladislaus Chang’a akieleza namna mradi wa SOFF utakavyosaidia katika kukabiliana na mapungufu yaliyobainika katika miundombinu ya hali ya hewa
1
1
3
🚨Uzinduzi wa Mradi wa Hali ya Hewa wa SOFF Tanzania: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) akizindua rasmi Mradi wa Hali ya Hewa wa SOFF, uliofanyika katika hotel ya Midland Inn View, Dodoma, tarehe 21 Januari, 2025.
0
3
2
Uzinduzi wa mradi wa hali ya hewa wa SOFF: High level launching event of SOFF project in Tanzania. #sofftanzania
0
0
0
TMA YAKAMILISHA UBORESHAJI WA RADA MBILI ZA HALI YA HEWA. Kwa taarifa zaidi tembelea; https://t.co/gOGvzqg9J8
@WizarayaUC @TZMsemajiMkuu @ortamisemitz @TZWaziriMkuu @InfraTech @changa601 @maendeleoyajami @wizarahmth
0
0
1
KAMATI TENDAJI YA MRADI WA SOFF YAKUTANA KUIDHINISHA MPANGO KAZI WA UTEKELEZAJI WA MRADI TANZANIA. Morogoro, Tanzania; 16 Oktoba 2024. Kwa taarifa zaidi tembelea; https://t.co/gOGvzqg9J8
#SOFFTanzania
0
1
2
FIRST MEETING OF PROJECT STEERING COMMITTEE FOR THE SOFF IMPLEMENTATION IN TANZANIA. Morogoro, Tanzania; 16th October 2024. For more information visit; https://t.co/gOGvzqg9J8
#SOFFTanzania
0
0
2