RashidAbdalla Profile Banner
Rashid Abdalla Profile
Rashid Abdalla

@RashidAbdalla

Followers
58K
Following
162
Media
876
Statuses
19K

TV Presenter |Translator| Motivational Speaker| Station Voice| Journalist| #SisemiKitu Subscribe to my YouTube Channel- https://t.co/SjByWPsqc7

Kenya
Joined June 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@GDN_Kenya
Gusii Digital News
14 days
CS Hassan Joho : "Rashid, hauna credit — chukua mkopo kutoka Hustler Fund." @RashidAbdalla
0
1
2
@RashidAbdalla
Rashid Abdalla
1 month
Kilichokufa kiliishi.
2
2
11
@RashidAbdalla
Rashid Abdalla
1 month
BURIANI RAILA ODINGA
0
1
4
@machedamike
Mombasa Control
5 months
SATO!!! We bash and enjoy the beautiful game of football. Entertainment starts at 10am, kickoff 3pm. Tukutane Mombasa Sports Club for the launch of the 6th edition RASHID ABDALLAH SUPER CUP 🔥🔥🔥 @LuluHassan @RashidAbdalla
0
4
6
@RashidAbdalla
Rashid Abdalla
5 months
#sisemikitu 🇰🇪
4
0
4
@RashidAbdalla
Rashid Abdalla
7 months
#sisemikitu Maishani jaribu ushike uchi wa ndoto zako kwa vidole vyako.
7
2
21
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
7 months
Tabitha Mutinda: Rais Ruto amefungua mlango kwa viongozi wote na huhusisha watu katika mazungumzo ya maendeleo ata wale waliochaguliwa na vyama vingine lakini wakati wengine wao hukataa mwito #SemaNaCitizen @RashidAbdalla
8
2
12
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
7 months
Enoch Wambua: Sio kazi ya mbunge kuenda kupiga magoti mbele ya Rais kuomba maendeleo. Ukambani ni Kenya na watu hawa wanalipa kodi kwa serikali, hivyo wana haki ya kupata maendeleo #SemaNaCitizen @RashidAbdalla
8
29
188
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
7 months
Dan Maanzo: Serikali inatumia pesa ya wananchi vibaya; uongozi hauzingatii mambo muhimu. Pesa inapotea kwa ufisadi na mabwenyenye wachache #SemaNaCitizen @RashidAbdalla
11
5
23
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
7 months
Vincent Kawaya: Kiongozi ahitaji kualikwa kule Ikulu kuteteta haki ya wananchi. Ni lazima ujitume mwenyewe. Ukienda kuwawakilisha watu wako na kung’ang’ania rasilimali si kupiga magoti #SemaNaCitizen @RashidAbdalla
0
2
13
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
7 months
Enoch Wambua: Sisi kama viongozi wa Mt Kenya South tukae pamoja na tukubaliane jinsi tutakavyo ongoza jamii yetu ndani ya serikali. Tukigawanywa, ina dhoofisha msingi wetu #SemaNaCitizen @RashidAbdalla
2
4
19
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
7 months
Enoch Wambua: Uchaguzi unaokuja, jina la Kalonzo litakuwa kwa ‘ballot’ kama mgombea wa urais. Kama kuna kiongozi ambaye atapeleka Ruto nyumbani asubuhi 2027, ni Kalonzo Musyoka #SemaNaCitizen @RashidAbdalla
1
2
37
@Kenyans
Kenyans.co.ke
7 months
Wishing Citizen TV journalist @RashidAbdalla a happy birthday and a prosperous year ahead #KenyansBirthday
12
4
89
@meru_icon1
meru_icon1🇰🇪
7 months
@Kenyans @RashidAbdalla Birthday blessings
0
1
0
@EndaUsome
Msema Kweli
7 months
@Kenyans @RashidAbdalla Happy birthday Rashid
0
1
0
@SidiLydia
Lydia Sidi
7 months
@Kenyans @RashidAbdalla Happy birthday to him
0
1
0
@enock_mandila
ENOCK MANDILA
7 months
@citizentvkenya #CitizenDayBreak Happy birthday 🎈🎂 @RashidAbdalla Rashid Abdala
0
1
1
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
7 months
Mark Mwenje – Mbunge, Embakasi Magharibi: Nairobi lazima iwe na mpango mkuu. Tunahitaji kuleta wataalam tupange jiji tena. Kwa sasa, takataka Nairobi inaondolewa na NYS. #SemaNaCitizen @RashidAbdalla
0
6
34
@citizentvkenya
Citizen TV Kenya
7 months
Tim Wanyonyi: Nimemwita lakini jamaa haitiki, hata upige simu hashiki…Tumejaribu na tumeshindwa #SemaNaCitizen @RashidAbdalla
12
236
1K