The Open University of Tanzania (OUT) Profile Banner
The Open University of Tanzania (OUT) Profile
The Open University of Tanzania (OUT)

@Open_univ_tz

Followers
2,617
Following
98
Media
223
Statuses
516

The Open University of Tanzania (OUT), is a fully fledged, autonomous and accredited public University, offers its education though Open and Distance Learning.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
7 months
Update: All OUT regional centre's office contacts, locate your nearest centre's contacts for a better solution to your queries! >>> For International customers, remember to begin with the country's code (+255...)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
12
25
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
6 months
Siyo lazima uache kazi zako uende chuoni kujiendeleza kielimu, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tunatumia zaidi TEHAMA katika ufundishaji na hata ada unalipa kwa kiwango unachotaka wewe mwanafunzi.
Tweet media one
30
75
754
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 years
Hon. Deputy Minister of Agriculture, Dr. Mary Mwanjelwa & other PhD graduates listening to various speeches during the 37th graduation ceremony of the Open University of Tanzania held on 28th September 2019 at Bungo, Kibaha.
Tweet media one
7
15
123
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
Inviting Applications Into Postgraduate Programmes For 2019/2020. More information kindly visit
Tweet media one
5
32
69
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA. POSTGRADUATE ADMITTED APPLICANTS BACH 6 SELECTED INTO DIFFERENT PROGRAMS ACADEMIC YEAR-2019/2020. Press this link to observe the entire list:
Tweet media one
3
10
56
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
9 months
Application Window from 2023/24 academic year. #out #odl
Tweet media one
3
15
57
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, kilishiriki katika maonyesho ya 16 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia yanayosimamiwa na kuratibiwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), maonyesho hayo yalifanyika kuanzia Julai 26, 2021 hadi Julai 31, 2021 jijini, Dar Es Salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
7
20
46
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
FACE TO FACE SESSIONS FOR MED APPS & MED QM STUDENTS Date: 04th - 07th JANUARY, 2020 Zones: ARUSHA, DAR ES SALAAM , DODOMA , MBEYA MTWARA, MWANZA
Tweet media one
1
11
40
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Tunawatakia Watanzania wote, maadhimisho mema ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar #OUT #ODL #mapinduzi
Tweet media one
0
15
43
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
8 months
Dirisha la Udahili awamu ya nne: Tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) wameongeza muda wa Udahili mpaka Oktoba 17, 2023. Tunawakaribisha Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kufanya maombi na udahili. Tembelea kwa maelezo zaidi na kutuma maombi kwa mtandao. #out #odl
Tweet media one
Tweet media two
7
11
41
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
Open University of Tanzania 40th Graduation Notice. #university #graduation #Tanzania #zanzibar
Tweet media one
4
17
41
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
6 months
Taarifa kwa Umma
Tweet media one
12
9
41
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Tweet media one
3
5
41
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
Uongozi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania unasikitika kutangaza kifo cha Prof. Tolly S. Mbette aliyekuwa Makamu Mkuu wa CKHT kwa miaka 10 hadi 12/4/2015.
Tweet media one
2
16
37
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 years
Tweet media one
1
10
34
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
6 months
Pia, mwanafunzi anaweza kuomba kufanya mitihani wakati wowote, ni mifumo tofauti na vyuo vingine. Prof. Elifas Bisanda, Makamu Mkuu wa chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Mahafali ya 42 ya OUT, Songea
0
0
40
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
6 months
Entry requirement clarification for degree programmes. #out #odl @wizara_elimuTz
Tweet media one
5
14
37
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Tweet media one
0
2
36
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 months
Press Release; Academic Promotions...!! #out #odl
Tweet media one
2
7
34
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
You are all welcome to the 41st Graduation Ceremony on November 24, 2022 from 0900HRS - 1400HRS at Furahisha Grounds in Mwanza. #graduation #2022graduation #OUT #ODL #watuwanapaswakufahamu
Tweet media one
3
9
33
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
6 months
We, wish you a Merry Christmas and Happy New Year 2024. #out #odl #Christmas2023 #NewYear2024
Tweet media one
0
2
30
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 years
Foundation, Diploma And Certificate Round 3 Selected Applicants. Link KARIBU SANA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA.
Tweet media one
1
9
28
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA ORIENTATION PROGRAMME FOR JANUARY INTAKE - STUDENTS 2019/2020 Chuo Kikuu Huria cha Tanzania S.L.P 23409, Simu: 255-51-2668992/2668820 Nukushi: 255-51-668759 Dar es Salaam, Tanzania Link:
Tweet media one
1
11
27
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
ANNOUNCEMENT: The Vice Chancellor of OUT Prof. Elifas Bisanda is pleased to inform all students that the physical visitations to University premises are welcomed with effect from 1st June 2020. Read more
Tweet media one
2
3
26
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 years
Digital Forensics and Cyber Security Course is designed to meet the growing needs of preventing and detecting computer crimes in our digital age. To register please contact us; richard.laizer @out .ac.tz george.oreku @gmail .com Tel: 0687063988/0783992020
Tweet media one
1
14
24
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 years
Selected OFP Applicants For 2019/2020 Round 1 And 2. Visit this link:
Tweet media one
1
9
26
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
7 months
Public Announcement: The 42nd Graduation Ceremony of the Open University of Tanzania #out #odl #graduation
Tweet media one
3
8
26
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 years
1. SELECTED POSTGRADUATE APPLICANTS,BATCH TWO(2) 2019/2020. Link 2. Selected Non Degree Applicants For 20192020 Round 1 And 2. Link 3. List Of Admitted Students Bachelor Degree Round 3. Link
Tweet media one
3
16
25
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinashiriki katika Maonesho ya 17 ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kuanzia Julai 18 hadi Julai 23, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
4
25
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
9 months
Save the date, September 21, 2023! Lets get connected at Dodoma!! #outalumni #out #ODL
Tweet media one
1
12
24
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
Announcement! Selected Degree Applicants January 2020. Kindly you may open this link for more details:
Tweet media one
1
13
23
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
The Open University announces the selected degree applicants in the Year 2019-2020. Visit our link to download PDF & view the intakes:
Tweet media one
0
6
24
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA VACANCY Ad. The University hereby invites applications from competent and suitably qualified persons, kindly visit this link: Open University of Tanzania Kawawa Road, Kinondoni P.O. Box 23409, Dar es Salaam, Tanzania
Tweet media one
0
9
24
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
9 months
For enquiries and delivery: Make a call to Alumni Officer 0766404165 #alumni #out #ODL
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
6
23
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Habari, ziara ya Makamu wa Rais, Dr. Philip Isdor Mpango, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania:
0
4
22
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Mh. William Lukuvi (MB), azindua Jumuiya ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT-Alumni Association) na kukitaka chuo hiki kuwatumia vyema wahitimu wake katika maswala ya ushauri na maendeleo! #out #watuwanapaswakufahamu #ODL
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
4
22
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
6 months
Lugha ya kufundishia si tatizo kwa watoto, walimu wanatakiwa wawe na uwezo wa kutoa ujuzi kwa lugha husika. Wanafunzi wataelewa na kupata ujuzi pale mwalimu anapokuwa mahiri katika lugha ya kufundishia Prof. Elifas Bisanda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Tweet media one
6
2
22
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
The Vice Chancellor of the Open University of Tanzania, Prof. Elifas Bisanda, receives the Best ICT Transformative Training Institution Award for 2021 from the Director of IEMT, Dr. Catherine Mkude, while being witnessed by the Head of ICT Service Control and Planning Department,
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
4
20
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
6 months
Tunawatakia Watanzania wote heri ya maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara. #out #odl
Tweet media one
1
1
20
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
Huduma zote za udahili, usajili, ushauri katika maswala ya ELIMU HURIA na MASAFA na pia ushauri wa kitaaluma katika banda la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) zilitolewa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam. Ulipo tupo, Karibuni Tena.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
8
19
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Three Days Left, 41st Graduation Ceremonies at FURAHISHA Grounds in Mwanza. #ODL #graduation #watuwanapaswakufahamu
Tweet media one
0
4
19
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
Matukio katika Picha: Stashahada ya Uzamili ya Ualimu wa Ufundi na Ufundi Stadi (PGD-TVTE), inayotolewa kwa ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro (MVTTC) yazinduliwa rasmi Aprili 28, 2021 mjini Morogoro.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
9
18
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
Highlights: 40th Graduation ceremonies of the Open University of Tanzania (OUT), held in Zanzibar. #graduations #odl #watuwanapaswakufahamu #zanzibar
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
5
19
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kinatarajiwa kutahini takriban wanachuo 9000 katika kipindi cha mitihani ya May/June 2022 kwenye vituo vya chuo hiki vipatavyo 50 nchi nzima. Mitihani hiyo imeanza kufanyika May 30, 2022 na inatarajiwa kumalizika Juni 17, 2022.
Tweet media one
7
6
19
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
Announcement! Selected Non Degree Applicants Jan 2020 Visit the following link to see the entire list:
Tweet media one
3
10
18
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
Happy Maulid Day #Mawlid2021 #Maulid
Tweet media one
0
4
18
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
June 23, 2023: Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), chazindua Mpango Mkakati mpya wa mwaka 2023/24 mpaka 2025/26, jijini Dodoma! #out #odl
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
12
19
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
6 months
Salamu za pole kwa wananchi wa mkoa wa Manyara kutoka Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania. #odl #out
Tweet media one
0
1
19
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa, ametembelea banda la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na kutoa pongezi kwa chuo hiki kupitia kitengo cha Teknolojia Saidizi kwa wanafunzi wenye Mahitaji Maalum kwa kazi nzuri inayofanyika kuhudumia watu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
3
17
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 months
Wishing You a Prosperous New Year 2024 #out #odl #NewYear2024
Tweet media one
0
2
17
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
8 months
Vyuo vikuu vizingatie ufanyaji wa tafiti zenye kuleta tija nchini ili kuchochea na kuleta ushindani katika kuleta gunduzi, kukuza maarifa na ujuzi katika jamii mbalimbali ndani na nje ya nchi. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda #out #odl
Tweet media one
0
4
16
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
The Fairmont Royal Group of Companies awarded the Chancellor and the Vice Chancellor of the Open University of Tanzania (OUT), Hon. Mizengo Pinda in his absentia and Prof. Elifas Bisanda, with the Peace and Prosperity Awards in recognition of their dedication and outstanding
Tweet media one
Tweet media two
1
5
17
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
9 months
Proud OUT Alumni: Hon. Cecilia D. Pareso Member of Parliament for Arusha. #out #odl #outalumni
Tweet media one
1
5
16
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
OUT Jogging Club, tukikata mafuta ipasavyo! #AfyaYakoMtajiWako #ODL #watuwanapaswakufahamu #jogging
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
4
15
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kinashiriki katika maonyesho ya wiki ya Ubunifu Tanzania 2022 (MAKISATU), yanayofanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma kuanzia May 16, 2022 hadi Mei 20, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
3
16
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 years
1. Applicants With Multiple Admissions For The 2019-2020 Third Round. Link 2. Applicants Selected Into Different Postgraduate Programs Academic Year 2019/2020.Batch Three. Link
Tweet media one
0
5
16
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
The OUT, successfully conducted the Ideation Workshop on Innovative Ideas and Project Proposals. It involved the OUT Public, intends to identify the innovative ideas and projects proposals to be incubated in Huria Innovation Hub under the mentorship COSTECH. #odl #costech
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
4
16
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
ANNOUNCEMENT OF FBM FIELD PRACTICAL 2019/2020 ACADEMIC YEAR. Please contact the Field Practical Coordinator for details (Email: fieldpractical.fbm @out .ac.tz). More visit the link
Tweet media one
0
5
16
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Examination Registration Extension Notice
Tweet media one
1
1
16
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Official Inauguration of the academic year and orientation for New and Continuing Students April 2022 Intake. #out #odl #watuwanapaswakufahamu
Tweet media one
3
5
13
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
Highlights: 40th Graduation ceremonies of the Open University of Tanzania (OUT), held in Zanzibar. #graduations #odl #watuwanapaswakufahamu #zanzibar
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
4
15
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, amefanya ziara makao makuu ya chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kusema kuwa chuo hiki ni nafasi adhimu katika kuhakikisha hakuna Mtanzania anakosa fursa ya kujiendeleza kielimu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
4
15
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 months
Tunawatakia Watanzania wote sherehe njema za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar #out #odl #mapinduziday
Tweet media one
0
0
15
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
MAOMBI MUHULA WA APRILI 2023: Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kinapenda kuwakumbusha kuwa Makataa ya kutuma maombi kwa muhula wa Aprili 2023 ni Machi 10, 2023 katika ngazi za: (a) Certificates (b) Diplomas (c) Foundation Program (d) Bachelor Degrees
Tweet media one
6
3
14
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Eid Al Adha Mubarak #out #odl
Tweet media one
0
1
14
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
PUBLIC ANNOUNCEMENT. THE 39th GRADUATION CEREMONY OF THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA.
Tweet media one
0
1
14
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
9 months
Proud OUT Alumni: Hon. Jumaa Aweso (MP), Minister for Water and Irrigation. #ODL #outalumni #out
Tweet media one
0
3
14
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 months
Heri ya siku ya kuzaliwa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan #out #odl
Tweet media one
0
3
14
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
5 years
ICT AND DATA MANAGEMENT FIRST F2F 2019-2020 For more details about the program and clarifications kindly visit the this link;
Tweet media one
0
5
14
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Watumishi acheni kupoteza muda mwingi kwenye simu kuperuzi mitandao ya kijamii muda wa kazi, fanyeni kazi kwa bidii ili kuongeza udahili na pato la chuo pia. Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Usimamizi wa Maadili OR, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Ndg. Ally Ngowo
Tweet media one
2
2
14
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA. DOCTORATE OF EXAMINATIONS SYNDICATE. ANNOUCEMENT TO ALL STUDENTS: The Extention of Registration & Examination Days.
Tweet media one
Tweet media two
0
3
14
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Heri ya Sikukuu ya Pasaka Watanzania wote. #out #odl #pasaka2023
Tweet media one
0
1
13
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
6 months
Public Announcement... #out #odl #graduation
Tweet media one
2
2
13
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Siku ya Wanawake Duniani 2022, Dr. Irene Tarimo anasema...!
Tweet media one
1
12
12
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
8 months
Happy Nyerere Day, October 14, 2023 #out #odl #nyerereday
Tweet media one
0
0
13
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA (OUT). DIRECTORATE OF EXAMINATIONS SYNDICATE (DES). ORAL EXAMINATION SYSTEM (OREX). First OREX Event, 20th July 2020 to 14th August 2020. A Quick Short Guide to Student:
0
3
12
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
7 months
Invitation to attend public lecture. #out #odl
Tweet media one
1
4
13
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Tunahitaji mitaala ijayo ilenge mahitaji halisi ya jamii kuendana na kasi ya maendeleo na teknolojia, tunatathmini upya mitaala iliyopo ili kuona kama elimu inayotolewa inakidhi mahitaji ya sasa.
Tweet media one
1
6
13
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kinashiriki katika maonyesho ya wiki ya Ubunifu Tanzania 2022 (MAKISATU), yanayofanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma kuanzia May 16, 2022 hadi Mei 20, 2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
5
12
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
6 months
OUT imekuwa mstari wa mbele kusambaza utamaduni wetu kupitia lugha ya Kiswahili, imeanzisha programu za kufundisha Kiswahili katika nchi ya Malawi na sasa kinakamilisha mipango ya kufundisha Kiswahili nchini Namibia.
Tweet media one
1
2
12
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
#42USRCManyara Mwanafunzi kwetu ni Mteja, Mteja ni Mfalme! Haitakiwi kuwekwa appointment ili apate huduma. Mteja ahudumiwe muda wowote anapohitaji huduma - Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Elifas Bisanda #out #odl #outso
Tweet media one
0
4
12
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
USHINDI WA KISHINDO CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA OUT, kimeibuka na ushindi wa kishindo kwa wabunifu wake wawili kuibuka washindi katika tatu bora ya washindi kwenye kundi la wabunifu wa vyuo vikuu nchini kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya Ubunifu jijini Dodoma. #ODL #OUT
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
4
12
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
32nd Annual General Meeting of the Convocation, November 23, 2022 at OUT Mwanza Regional Centre. #ODL #convocation #watuwanapaswakufahamu #OUT
Tweet media one
0
2
12
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
7 months
Postponement of the 42nd Graduation Ceremony of the Open University of Tanzania. #out #odl #graduation
Tweet media one
Tweet media two
0
4
12
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Notification for January/February 2023, Written Examinations and it's registration procedures. #ODL #OUT #watuwanapaswakufahamu #OUT2023
1
4
12
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Tweet media one
0
4
11
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 months
Wanafunzi 17 na wahadhiri watano kutoka vyuo vikuu vya Norway ikiwemo Chuo Kikuu cha Molde na Chuo Kikuu Kishiriki cha Sayansi Shirikishi cha Western, wamefika nchini kufanya shughuli mbalimbali za kijamii ikiwa ni sehemu ya ushirikiano baina ya vyuo hivyo na vyuo vya Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
3
12
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA (OUT). DIRECTORATE OF POSTGRADUATE STUDIES. POSTGRADUATE SELECTED APPLICANTS BATCH ONE FOR ACADEMIC YEAR 2020/2021. Download the PDF file to view the whole list:
0
7
11
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
4 years
WARSHA YA STADI NA MBINU ZA KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI NA UTAMADUNI KWA WAGENI. Ilikujiandikisha bofya kuingia hapa Na pia kupata maelezo ya kina kuhusu warsha hii bofya Mawasiliano: 0712569555/ 0784 447697/ 0714519226
Tweet media one
2
5
11
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
3 years
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA (OUT). FACULTY OF BUSINESS MANAGEMENT DEPARTMENT OF MARKETING AND ENTREPRENEURSHIP. BACHELOR OF PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT (BPSCM). To apply this programme go directly through online portal available on the OUT website which..1/1
1
3
11
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
OUT YARINDIMA MAONYESHO YA TVET ARUSHA Wakazi wa jiji la Arusha wamiminika kwa wingi katika banda la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika maonyesho ya pili ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (TVET) kupata huduma na ushauri wa kujiunga na mafunzo ya elimu ya juu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
1
11
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Kujiandaa na wimbi hilo la wingi wa wanafunzi linalotarajiwa miaka michache ijayo, serikali ingeweza kukiingiza Chuo Kikuu Huria cha Tanzania katika mpango wa miaka mitano ili kukiimarisha na kukiwezesha sababu ndiyo chuo pekee kinaweza kupokea wanafunzi wengi kwa wakati mmoja.
Tweet media one
1
6
11
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
2 years
Selected Students for Various Postgraduate Program Batch 18 – 2021/22 #out #watuwanapaswakufahamu #odl
1
3
11
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) Makao Makuu, wameungana na wafanyakazi wengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani MeiMosi kwa mwaka 2023, katika uwanja wa Uhuru jijini Dare es Salaam. Uongozi wa OUT unawatakia kila la heri Wafanyakazi wote.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
7
10
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
The 42nd graduation ceremony of the Open University of Tanzania (OUT) will be held on November 30, 2023, in Songea Municipality, Ruvuma. Vice Chancellor, The Open University of Tanzania (OUT) Prof. Elifas Bisanda #out #odl #graduation #watuwanapaswakufahamu
Tweet media one
0
4
11
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
9 months
Proud OUT Alumni: Hon. Adv. Dr. Damas Ndumbaro (MP), Minister of Culture, Arts and Sports #ODL #outalumni #out
Tweet media one
0
8
11
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
9 months
Guest of Honour on Alumni Day 2023. #outalumni #out #ODL
Tweet media one
1
0
11
@Open_univ_tz
The Open University of Tanzania (OUT)
1 year
Eid Mubarak....!! #out #ODL #EidUlFitr
Tweet media one
0
0
11