
Simp.Oh.Boy🇰🇪
@NUCHO222
Followers
3K
Following
16K
Media
210
Statuses
13K
MORARA'S PAGE●| LEARNING●|DISCOVERING●| Fan 101 LIVERPOOL FC●| LOVE THE KOP●| YNWA●|ANIME LOVER|
Nakuru, Kenya
Joined August 2020
Nmepanda mat nikapata conductor ni dem kumuuliza ni ngapi akaniambia ni mbao ady tao
2
3
9
Ushairealize maboyz wakiwa maraundi alaf mmoja aende kando ya njia kukojoa huwa wengine wote wanakojoa pia😂👀
1
8
18
Kuna dem ameteremsha kioo kwa range rover leo hapo national oil Nakuru na akaniita "KOT socha come I give you a ride" nikamwambia I have a wife na nikapanda tuktuk kama nimeondokea ngori
30
69
528
A woman slept with a man to pay her children's school fees, is she a prostitute or a caring mother?
30
60
171
Narudi after siku mbili mshanisahau kama former Inspector Generali Boinnet😭😂
6
29
72
Huyo alikua anaregister lines hapa alingia kwa kwa nyumba ya huyu Mubaba kuchukua Id 2 hrs ago na bado hajatoka 😂😂
19
37
88
Real definition of If you're small you're small💀
4
14
21
Huku Nairobi CBD kuna dame ameshikwa ikabidi ametolea afande matiti, guess who's free 🤌🏿😂
16
35
98
I visited Busia last week ,all roads ni za murram hadi main roads zinaconnect different towns,the only tarmac road ni Ile ya kuenda Busia town na ni single carriage,then you wonder here in Nyeri roads zote hadi feeder roads za kuingia shamba ziko tarmacked.
1
13
21
Ukisha grow up huwa unatafuta pesa ndio upate zile vitu hukupata ukikua mdogo, in short we just work hard to nurse our childhood traumas.
10
47
182
Mbona mt kenya kuna barabara zimeweza kuliko western? Na kila Mp na governor huwa anapewa pesa
11
22
74
Kuna mmoja alinifanya ninywe maji katikati ya kazi. 6yrs na bado nimeshindwa kumuavoid.
0
2
2