
Mwasa the great
@MwasaZB
Followers
1K
Following
1K
Media
30
Statuses
1K
The saddest thing about betrayal is that it never comes from enemies, it comes from those you trust the most"
2
1
2
PUUZENI UJINGA HUU NINAWATAMBUA NA KUUNGA MKONO WANAHARAKATI WOTE WA NDANI NA NJE YA NCHI AMBAO HAWAJIHUSISHI NA KUTUSHAMBULIA SISI TUNAOFANYA KA KADIRI YA UWEZO NA MAZINGIRA YETU. Nimezungumzia kwa kina na kwa uwazi kuhusu wale wanaobeza jitihada zangu kwamba toka niwe Rais wa
78
108
567
@Mwabuk2Boniface Saa ya ukombozi ni sasa watashindana lakini hawatashinda Tanzania lazima ikombolewe
0
0
0
Kila mtu aipost hii apige na retweet iwafikie wahusikaaa 🙌
5
176
244
Biblia Takatifu. Isaya 4:1 [1]Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
0
0
0
Hesabu 6:5 [5]Siku zote za nadhiri yake ya kujitenga, wembe usimfikilie kichwani mwake; hata hizo siku zitakapotimia, ambazo alijiweka wakfu kwa BWANA, atakuwa mtakatifu, ataziacha nywele za kichwani mwake zikue ziwe ndefu.
0
0
0
Kuna muda unakua stressed and no body care life is not fair
0
0
0
Mwanamke ni Kama ua likichanua nyuki na vipepelo wote hulikimbia ilalikinyauka wote hupote be careful
0
0
0