MadiniTanzania Profile Banner
Wizara ya Madini Profile
Wizara ya Madini

@MadiniTanzania

Followers
74K
Following
2K
Media
4K
Statuses
7K

HUU NI UKURASA RASMI WA WIZARA YA MADINI ILIYOUNDWA TAREHE 7/10/2017 BAADA YA KUGAWANYWA KWA ILIYOKUWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.

Dodoma, Tanzania
Joined October 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
1 month
Tweet media one
1
2
8
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
2 days
UGANDA YAVUTIWA MWENENDO WA BIASHARA NA MFUMO WA MASOKO TANZANIA. Wizara ya Madini na Fedha ya Jamhuri ya Uganda imeonesha kuvutiwa na namna Tanzania inavyoendesha shughuli za biashara ya madini, hususan mfumo wa masoko unaotumika nchini, ikilenga kuboresha mifumo yao kwa kutumia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
3
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 days
RAIS SAMIA : MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI. ✅️ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma . ✅️ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani. ✅️ Mradi kuzalisha tani laki 3 za
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
1
4
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 days
Tweet media one
Tweet media two
0
2
5
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 days
RT @Jambotv_: VIDEO:. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameitaka kampuni ya Mantra Tanzania inayosimamia m….
0
2
0
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 days
RT @Jambotv_: VIDEO:. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa kukamilika kwa kiwanda cha majaribio….
0
3
0
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 days
RT @Jambotv_: VIDEO:. Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Andrey Avetisyan, amesema uzinduzi wa kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini….
0
7
0
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 days
RT @Jambotv_: VIDEO:. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa….
0
2
0
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 days
RT @ikulumawasliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi katika uwanja wa Shule ya Se….
0
102
0
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 days
Matukio katika picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua kiwanda cha majaribio cha kuchenjua Madini ya Urani cha kampuni ya Mantra Tanzania Limited Wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma. #MantraTanzania.#InvestInTanzania.#Mining4Development
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
4
3
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 days
Mwonekano wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai, 2025.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
6
7
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
3 days
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti:
Tweet media one
0
0
1
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 days
Tweet media one
0
0
2
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
4 days
TANZANIA KUWA NCHI YA TATU BARANI AFRIKA UZALISHAJI URANI. ●Utafiti wabaini akiba ya tani 54,000 za Urani. ●Historia inasema kabla ya mwaka 1912 kiasi cha kg 400 za Mbale ya urani zilichimbwa na kusafirishwa. ●Uzalishaji utadumu kwa kipindi cha miaka 12 kwa awamu ya kwanza
Tweet media one
Tweet media two
1
2
2
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
6 days
RT @LifezoneMetals: "We have a very high level of confidence in delivering the Kabanga nickel project within budget and on time as outlined….
Tweet card summary image
cnbcafrica.com
Lifezone Metals has completed the acquisition of BHP’s 17 per cent stake in the $2.5 billion Kabanga Nickel Project in north-western Tanzania, now owning 100 per cent of the asset.
0
2
0
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
8 days
RT @ikulumawasliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Maadhimisho….
0
83
0
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
8 days
RT @ikulumawasliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya S….
0
103
0
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
9 days
MakeSTAMICOShineAgain.Leseni ya.Uchimbaji Mkubwa Madini Adimu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
9 days
STAMICO YAKABIDHIWA LESENI KUBWA YA UTAFITI NA UCHIMBAJI MADINI ADIMU VILIMA VYA WIGU,MOROGORO. ▪️Ni maelekezo ya Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan. ▪️Lengo ni kukuza uwekezaji wa STAMICO kwenye madini mkakati. ▪️Waziri Mavunde akabidhi Leseni na kuelekeza uendelezaji wa Leseni
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
1
0
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
9 days
UCHIMBAJI NA UCHAKATAJI WA GYPSUM ITIGI WACHANGAMSHA UCHUMI, WAWEKEZAJI WATAKIWA KUJITOKEZA. Itigi, Singida – Julai 24, 2025. Uchimbaji na uchakataji wa madini ya gypsum katika Wilaya ya Itigi, mkoani Singida, umeendelea kuwa chachu ya maendeleo ya kiuchumi kwa wakazi wa eneo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
2
@MadiniTanzania
Wizara ya Madini
9 days
WAZIRI WA MADINI MHE. ANTHONY MAVUNDE LEO JULAI 24, 2025 ATAKABIDHI LESENI YA UTAFITI NA UCHIMBAJI MKUBWA WA MADINI ADIMU NA MUHIMU KWA STAMICO.@Stamicotz1 .#MakeSTAMICOShineAgain
0
0
1