Lyonwalker_ Profile Banner
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Profile
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@Lyonwalker_

Followers
1K
Following
231K
Media
201
Statuses
9K

🌍 Helping youth & people with SRH, HIV & mental health. πŸŽ“ ICT Expert & Public Health Advocate, Cure Fellow '24. πŸ’‘ Empowering change. Let’s connect.

Tanzania
Joined September 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
1 year
Finding Hope: My Journey at the Advocacy for HIV Cure Academy (Kigali, Rwanda)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
8
24
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
12 days
Haydom Lutheran Hospital at #THS2025. Kupitia mpango wa Safer Births Bundle of Care #SBBC, Haydom inapunguza vifo vya mama na mtoto nchini Tanzania. Jifunze kutoka kwa mafanikio yao katika vituo 140+ kwenye mikoa 5 ubunifu unaookoa maisha. πŸ“ JNICC Dar |.πŸ—“ 1–3 Oktoba
Tweet media one
0
2
4
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
14 days
Karibu #CARDIMED kwenye Maonesho ya #THS2025!. Ikiwa na jeuri ya kutumikia nchi 50+, CARDIMED ni kiongozi wa kimataifa katika vifaa tiba na bingwa wa afya jumuishi. 🌍 Tembelea banda lao #THS2025 ujionee teknolojia bunifu inayofungua milango ya huduma bora kwa wote.
Tweet media one
0
2
8
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
16 days
SkyConnect at #THS2025 – Who Is Who. πŸ” Waone Who Is Who @ THS 2025.🌍 Jifunze jinsi ubunifu unavyobadili maisha Tanzania. #THS2025 #SkyConnect #DigitalHealth #Innovation #aiforgood
Tweet media one
0
4
10
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
19 days
RT @Lyonwalker_: Finding Hope: My Journey at the Advocacy for HIV Cure Academy (Kigali, Rwanda)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
8
0
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
19 days
Kila kiongozi huanzia mahali. Kwa kijana mtaalamu kwenye sekta ya afya Tanzania, hapo ni YOCAB 2025. Jifunze. Jiongoze. Badilisha jamii. πŸ“ JNICC, Dar es Salaam | .πŸ—“ 1–3 Oktoba.⏳ Mwisho: 15 Julai.πŸ”— #YOCAB2025 #THS2025 .#TanzaniaHealthSummit
Tweet media one
0
4
7
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
20 days
πŸ₯ Je, kituo chako kiko tayari kwa SafeCare?.Ungana nasi kwenye webina kujifunza viwango vinavyoboresha ubora wa huduma!. πŸ—“οΈ 25 Juni 2025.πŸ•’ 8:00 Mchana.πŸ”— Jiandikishe: #AfyaBora #SafeCareTanzania #UHC.#THS2025
Tweet media one
0
4
7
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
23 days
RT @Lyonwalker_: Ungana nasi kwenye SMART 5 SESSION.Tarehe 20 Juni.Tutaangazia: β€œNafasi ya Vijana katika Kutetea Ufadhili Endelevu kwa Afya….
0
4
0
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
25 days
RT @Lyonwalker_: Doctors with Africa CUAMM watakuwepo #THS2025. NGO ya muda mrefu barani Afrika, wanaoongoza kuboresha mifumo ya afya na ku….
0
5
0
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
26 days
Doctors with Africa CUAMM watakuwepo #THS2025. NGO ya muda mrefu barani Afrika, wanaoongoza kuboresha mifumo ya afya na kusaidia walio hatarini. Usikose maonyesho yao maalum πŸ‘‰ 1–3 Oktoba, JNICC Dar es Salaam. #TanzaniaHealthSummit #UbunifuAfya #THS2025
Tweet media one
0
5
10
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
26 days
An opportunity is available for all Advocates and Peer Educators. !.
@iasociety
IAS - the International AIDS Society
26 days
πŸ™‹πŸΏ Are you an #HIV #advocate or peer educator working in a country with limited resources for HIV cure research?. IAS & @HIVpxresearch are pleased to announce applications are open for the 2025 Advocacy-for-Cure Academy!. πŸ“ Learn more & apply by 29 June:
Tweet media one
0
1
2
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
27 days
#DeadlineExtended.CHIA Innovation Awards 2025. Una wazo bunifu la kubadili afya? πŸ’‘Omba kabla ya 18 Juni.πŸ† wasilisha & Tambulika kwenye #THS2025 .πŸ“†(1–3 Okt,.πŸ“JNICC Dar). πŸ”— #CHIA2025 #UbunifuAfya #THS2025
Tweet media one
1
3
6
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
27 days
RT @Lyonwalker_: Habari Njema! Muda wa kuwasilisha abstract umeongezwa!. πŸ‘‰ Jiunge na viongozi 2,500+ wa afya katika #TanzaniaHealthSummit20….
0
4
0
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
27 days
RT @Lyonwalker_: #DeadlineExtended.Je, unamjua shujaa wa afya anayestahili pongezi?. Wape heshima wanayostahili kwa kuwapendekeza kwenye He….
0
6
0
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
27 days
Tanzania sio tu tunapambana, tunasonga mbele kwa speed ya maana! Hizi takwimu ni ushahidi kuwa juhudi za afya ya umma zina matokeo. VVU, TB, na Hepatitis – tunazikaba koo moja moja mpaka zishindwe! πŸ™Œ.SALUTE Kwa @wizara_afyatz Na #wadau wote.
@eastafricatv
EastAfricaTV
27 days
#HABARI Serikali kupitia Wizara ya Afya imepiga hatua ya kupunguza magonjwa ya kuambukiza ikiwemo kiwango cha maambukizi ya VVU kwa watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi kutoka asilimia 4.7 mwaka 2016/17 hadi asilimia 4.4 mwaka 2022/23 ikiwa ni mwelekeo sahihi wa kutokomeza
Tweet media one
0
0
1
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
27 days
Aisee, huu ni upotoshaji mbaya sana. Huwezi kumtambua mtu mwenye VVU kwa vidoti miguuni, hiyo ni Stori za mitaa bila msingi wowote wa kisayansi. Hatuwezi kuruhusu uongo kama huu uendelee kueneza, VVU haionekani kwa macho. Respect kwa Wizara kwa kkanusha. #VVUsioAibu #AfyaNiElimu.
@kabigwa_78
Kabigwa_AfyaπŸ’Š
28 days
Yule dada aliyesema Unaweza Kumtambua anayeishi na VVU kwa kuangalia vidoti vyeusi kwenye unyayo wa Miguu, Wizara imetoa taarifa ya kukanusha. Soon na yeye ataomba radhi Hadharani kwa Kupotosha Umma.
0
0
1
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
28 days
#DeadlineExtended.Je, unamjua shujaa wa afya anayestahili pongezi?. Wape heshima wanayostahili kwa kuwapendekeza kwenye Healthcare Workers of the Year Awards 2025!.πŸ“… Mpendekeze kabla 18 Juni.πŸ”—πŸ† Washindi watatambuliwa rasmi kwenye #THS2025 (1–3 Oktoba
Tweet media one
0
6
8
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
28 days
RT @Lyonwalker_: Deadline Extended to June 18!.Hey changemakers! Got research, a health innovation, or know a health hero?. πŸ“’ Submit your a….
0
2
0
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
28 days
RT @ahfugandacares: Stay winning, stay undetectable✌️.Taking your medication on time everyday, just as prescribed by your health worker kee….
0
13
0
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
29 days
Habari Njema! Muda wa kuwasilisha abstract umeongezwa!. πŸ‘‰ Jiunge na viongozi 2,500+ wa afya katika #TanzaniaHealthSummit2025.πŸ“ JNICC, Dar es Salaam .πŸ—“ 1–3 Oktoba.⏳ Muda mpya: 18 Juni 2025. Tuma kazi yako sasa: #THS2025 #Afya #Utafiti #InspireChange
Tweet media one
0
4
5
@Lyonwalker_
George Mfanando πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
29 days
Ungana nasi kwenye SMART 5 SESSION.Tarehe 20 Juni.Tutaangazia: β€œNafasi ya Vijana katika Kutetea Ufadhili Endelevu kwa Afya ya Uzazi na VVU.”. Jiunge nasi kwa mjadala muhimu!.πŸ‘‰ Jisajili hapa: #UwezeshajiWaVijana #AfyaYaUzazi #VVU #Utetezi
Tweet media one
0
4
4