JrMuhama Profile Banner
Jr Muhama Profile
Jr Muhama

@JrMuhama

Followers
370
Following
7K
Media
238
Statuses
3K

Desire of Ages

Joined May 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@JrMuhama
Jr Muhama
3 years
“Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia. ” “Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? Bwana wa majeshi, Yeye ndiye Mfalme wa utukufu. ” — Zaburi 24:9,10
1
10
28
@JrMuhama
Jr Muhama
7 days
“Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. ” Mathayo 24:14
0
1
4
@JrMuhama
Jr Muhama
8 days
Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi. ” — Mwanzo 4:10 Matumizi maishani:Usimwage damu ya mwenye haki mbele za Mungu.
0
1
1
@JrMuhama
Jr Muhama
10 days
Kutoka 20 ³ Usiwe na miungu mingine ila mimi. ⁴ Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. ⁵ Usivisujudie wala kuvitumikia; @MtumwaWaYesu
@Am_Blujay
The Instigator
11 days
It’s better to stay at home because wtf 😐😳
1
1
3
@JrMuhama
Jr Muhama
10 days
MWINUE YESU JUU KAMA MFALME AJAYE “Kwa sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana; hatakunywa divai wala kileo; naye atajazwa Roho Mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye. ” — Luka 1:15
0
2
6
@JrMuhama
Jr Muhama
11 days
“Bwana akamwambia Samweli, Hata lini utamlilia Sauli, ikiwa mimi nimemkataa asiwamiliki Israeli? Ijaze pembe yako mafuta, uende, nami nitakupeleka kwa Yese, Mbethlehemi; maana nimejipatia mfalme katika wanawe. ” — 1 Samweli 16:1
0
1
3
@JrMuhama
Jr Muhama
19 days
“Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia. ” — Mithali 8:13
0
0
0
@JrMuhama
Jr Muhama
23 days
0
0
0
@JrMuhama
Jr Muhama
23 days
Tusipo zimia roho,Bwana atatenda kwa wakati,kama alivyo mtendea Sarah akiwa na miaka 90 akapata mtoto.
0
0
1
@JrMuhama
Jr Muhama
25 days
1Petro2:16  Ishini kama watu huru; lakini msiutumie uhuru wenu kuuficha ubaya, bali ishini kama watumishi wa Mungu
0
0
2
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
“Tazama, yamkini watakusanyana; lakini si kwa shauri langu. Watu wo wote watakaokusanyana juu yako wataanguka kwa ajili yako. ” — Isaya 54:15 Sema Amen,,,.
0
0
0
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
Wananchi wanalalamika Taifa halitendi HAKI ni muda sasa ila mpaka sasa hakuna majibu,chombo kimoja cha habari kinasimama kuonyesha matatizo yaliyowakumba wananchi,msemaji unakuja kulalamika kuwa HAMJATENDEWA HAKI,sasa elewa hayo ndiyo maumivu watu wanayo yapitia haki ikipotea.
0
0
1
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
Maendeleo hayaleti maana kama hamna uhuru na haki.
0
0
1
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
Mungu wetu atajibu
@JohnNgutiCDM
John Nguti Chadema
1 month
Yote yaliyofanywa na Samia gizani yatawekwa nuruni yatashuhudiwa na kila mtu.!! #D9.
0
0
0
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
Waefeso 5 ¹⁵ Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; ¹⁶ mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
0
1
3
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
Hata sasa Bwana anatupigania
0
2
3
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
Ogopa Mungu na Technologia
0
0
1
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
Je ukweli tunao uamini na Bwana Yesu Kristo tunable mhubiri kwa wengine vimebadilisha kabisa maisha yetu wenyewe? Asubuhi njema🙏
0
0
2
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
kwa ajili ya damu iliyomwagwa ndani yake, isipokuwa ni damu ya huyo aliyeimwaga. ” — Hesabu 35:33
0
0
0
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
Herode aliishi muda mfupi sana baada ya kuamuru watoto wa kiume chini ya miaka miwili wauwawe. “Hivi hamtaitia unajisi nchi ambayo mwakaa; kwa kuwa damu huitia nchi unajisi; wala hapana sadaka itoshayo kwa ajili ya nchi,
1
0
2
@JrMuhama
Jr Muhama
1 month
“Bwana ataniokoa na kila neno baya, na kunihifadhi hata nifike ufalme wake wa mbinguni. Utukufu una Yeye milele na milele. Amina. ” — 2 Timotheo 4:18
0
0
2