Amb Dr John Simbachawene Profile
Amb Dr John Simbachawene

@JSimbachawene

Followers
1K
Following
461
Media
56
Statuses
244

High Commissioner of the United Republic of Tanzania to the Republic of Kenya

Nairobi, Kenya
Joined September 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Leo Balozi @JSimbachawene amemtembelea na Mhe. @kipmurkomen Waziri wa Uchukuzi wa Kenya katika ofisi yake kwa mazungumzo. Wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta ya uchukuzi ili kuongeza biashara na kutatua changamoto zinazojitokeza na mpango wa kubadilishana uzoefu
1
1
6
@kipmurkomen
KIPCHUMBA MURKOMEN, E.G.H
3 years
Nilipata fursa ya kukutana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt. John Simbachawene kwenye makao makuu ya wizara ya barabara na uchukuzi hapa Nairobi asubuhi hii. Mazungumzo yetu yaliangazia maswala kadhaa wa kadhaa yakiwemo uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi zetu mbili,
17
24
125
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Ubalozi umewezesha mazungumzo kati ya Mhe @AngelineMabula na Bi. Maimunah Sharrif, Mkurugenzi Mtendaji wa @UNHABITAT, wamejadili kuhusu programu za kuendeleza makazi nchini Tanzania na wamesaini MoU ili kuwa ofisi za @UNHABITAT Tanzania na kupanua wigo wa miradi yake nchini kwetu
0
3
9
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Balozi @JSimbachawene amepokea ujumbe wa Tanzania unaoshiriki Mkutano wa Baraza la Umoja wa Mataifa la Makazi #UNHA2 unaofanyika Nairobi tarehe 5-9 Juni. Ujumbe umeongozwa na Mhe. Dkt. Angeline Mabula, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi @wizara_ya_ardhi @mfa_tanzania
0
4
8
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Balozi @JSimbachawene na mwakilishi wa Tanzania katika UNEP ameongoza ujumbe Tanzania ktk mkutano wa pili wa majadiliano ya kuandaa mkataba wa kimataifa wa kukabiliana na taka za plastiki. Pamoja naye ni wataalam wa NEMC, Ofisi ya Makamu wa Rais, TBS na Mkemia Mkuu wa Serikali
0
3
9
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Leo tarehe 5.5.2023 Balozi wa Tanzania nchini Seychelle mwenye makazi Nairobi Dkt John Simbachawene amekutana na Waziri wa Afya wa Seychelles, Mhe Peggy Vidot na kufanya naye mazungumzo yaliyolenga kuboresha mahusiano kati Tanzania na Seychelles kwenye sekta ya Afya
0
5
10
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Mhe. Balozi @JSimbachawene akisalimiana na baadhi ya Diaspora wa Tanzania waliopo Kenya katika maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano, Diaspora hao ni pamoja na wafanyabiashara, wanafunzi, wafanyakazi wa UN, wafanyakazi wa sekta binafsi na Jumuiya ya Wanawake wa Tanzania Kenya ULWA
1
11
13
@WisoVincent
Vincent Wiso
3 years
Heri ya Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar @mfa_tanzania @TzHighcom @JSimbachawene
0
1
3
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Ubalozi umepokea ujumbe wa Maafisa kutoka Chuo cha Ulinzi Tanzania (NDC) waliopo kwenye ziara ya kimafunzo nchini Kenya inayoitwa "Immediate Strategic Neighbourhood Field Practical Training". Maafisa hao wanatoka kwenye nchi mbalimbali wakiongozwa na Brig. Jen. BT Rutambuka
0
6
13
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Balozi @JSimbachawene alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Madini, Blue Economy na Maritime wa Kenya, Mhe Salim Mvurya katika ofisi ya Wizara,Nairobi. Viongozi hao walijadiliana kuhusu kuboresha mahusiano katika maeneo ya madini na maritime kati ya Tanzania na Kenya.
0
5
15
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Balozi Simbachawene pamoja na Konseli Mkuu wa Tanzania aliyepo Mombasa, Mhe. Athuman Haji wamefanya mazungumzo na Bw. Andrew Sisau wa @PMAESAHQ na kuwakaribisha kuwekeza kwenye meli za kitalii - cruise ship kwa ajili ya utalii katika fukwe za Tanzania na Afrika Mashariki
0
8
16
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Balozi Dkt John Simbachawene amekutana na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma ambaye yupo nchini Kenya akihudhuria Mkutano 3rd Symposium on Greening Judiciaries in Africa unaofanyika Nairobi, tarehe 3 - 5 Aprili. Majaji kutoka nchi 25 za Afrika wameshiriki mkutano huo.
0
3
8
@gardnerakayla
Akayla Gardner
3 years
.@VP has arrived in Tanzania.
22
243
1K
@Hakingowi
Haki Ngowi
3 years
Balozi wa Tanzania nchini Kenya na Sudan kusini Balozi John Simbachawene kushoto akimpongeza Bw. Benson Meikoki,Meneja Mauzo na Masoko  Kiwanda cha madawa cha Kairuki Health and Organization Nertwork (KHEN) mara baada ya kuwasilisha mada Katika kongamano la msafara wa kibiashara
0
3
10
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
This morning Amb Dr John Simbachawene led a delegation from @UdsmOfficial including Prof. Rutinwa & Prof Mbamba to visit Juba University and met with the Deputy Vice Chancellor Prof. Robert. Discussions were centred on how @UdsmOfficial & Univ. of Juba can enhance cooperation
0
6
18
@AirTanzania
Air Tanzania
3 years
Air Tanzania Head of Marketing, Ms. Christina Tungaraza in South Sudan participating in Tanzania South Sudan Business forum organized by Tantrade under the supervision of H.E Dr. John Stephen Simbachawene Ambassador of Kenya & South Sudan.
7
20
121
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Balozi wa Tanzania nchini Kenya ambaye pia anawakilisha nchini Sudani Kusini ameshiriki Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Sudani Kusini lililofanyika tarehe 22-23 Machi 2023 Jijini Juba, Sudani Kusini
1
11
19
@UbaloziKenya
Tanzania High Commission I Kenya
3 years
Kongamano la Kwanza la Kibishara kati ya Tanzania na Sudani Kusini linaendelea hivi leo katika jiji la Juba. Kongamano limefunguliwa na Mhe. Agog Makur, Naibu Waziri wa Fedha wa Sudani Kusini na kuhudhuriwa na washiriki wapatao 120 kutoka nchi zote mbili
0
5
13
@TheRealMugoya
Patrick Kennedy Mugoya
3 years
With Amb ⁦@JSimbachawene⁩ at Tanzania-South Sudan Business Forum underway in Juba. NRA supports enhanced cross border trade and investment between the two sisterly nations through an efficient, simplified and transparent tax regime ⁦⁦@TanTradepage
1
8
30