Dr Angeline Mabula
@AngelineMabula
Followers
914
Following
3
Media
109
Statuses
151
Joined January 2019
Nimamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema. Aidha Ninamshukuru sana Mhe SSH Rais wa JMT kwa kuniamini nakuniteua kuwa Waziri wa Ardhi, naahidi kufanya kazi kwa weledi mkubwa ktk kumsaidia Mh Rais. Namuomba Mwenyezi Mungu aniongoze ktk utumishi wangu Amen!!
12
1
22
Mungu akupe maisha marefu General Msuguri 102yrs siyo mchezo
2
1
7
Wale wote wanaojipatia fedha kwakutumia mali za umma 40 zao zimefika. Mtanzania yeyote aliyepanga duka ama kukaa ktk nyumba za NHC lakini hana mkataba na NHC bali amwpangishwa ajitokeze mara moja ofisi za NHC ili atambuliwe kama mpangaji halisi.
0
0
3
Pumzika kwa amani Mpendwa wetu Mhe Elias Johnn Kwandikwa, umevipiga vita vilivyo vyema, mwendo umeumaliza, imani umeilinda R.I.P
1
0
11
Pumzika kwa amani mpendwa wetu Comrade Elius John Kwandikwa, Umevipiga vita vilivyo vyema, mwendo umeumaliza, imani umeilinda R.I.P
0
1
13
Nakushukuru sana Mungu kwa kunipa fursa yakumjulia hali Mkuu wa Majeshi mstaafu General David Msuguli. Mungu ni mwema anaendelea kumlinda akiwa na umri wa miaka 101.
0
0
4
Mungu ni mwema tumeshiriki send off ya Hilda Venance Mabeyo, mungu ni mwema sherehe ilipendeza sana.
8
1
30
Tumesogeza huduma ya Baraza la Ardhi la wilaya wilaya ya Mbarali na Songwe. Tutaendelea kusogeza huduma kadri inavyowezeka
1
0
10
@wizara_ya_ardhi @kaziiendelee @AngelineMabula Ndugu waziri wa ardhi, naomba umsaidie mama yangu Bi.Kuruthum Issa Abdallah wa Igogo Mwanza , Mama amedhirumiwa Kiwanja chenye nyumba na Tajiri mmoja akishirikiana na mwenyekiti na diwani wa Igogo, mama ni mjane karibia miaka 30 sasa, msaada tafadhali, asante.
1
1
1
Karibu Mwenge wa Uhuru 2021Wilaya ya ILEMELA wenye kauli mbiu "TEHAMA NI MSINGI WA TAIDA ENDELEVU ITUMIE KWA USAHIHI NA UWAJIBIKAJI" Tuko tayari kupokea ujumbe wa MWENGE WA UHURU na kuufanyia kazi
0
0
13
Kazi inaendelea kwa kukagua na kuangalia hali halisi ya hifadhi zetu na uvamizi uliopo ktk bonde la Kilombero
2
2
15
Hongera sana Mhe Janeth Masaburi kwa binti yako kupata mwenza, Mwenyezi Mungu awape ndoa yenye furaha na amani tele siku zote wamche bwana Mungu wao bila kuchoka
0
0
5
Mwenyezi Mungu atujaalie kuwa na sherehe njema yenye Amani na Furaha tele huku tukimtukuza Mungu kwa mema mengi anayotujalia.
2
2
15
Hongera sana Mhe Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutuheshimisha Wanawake. Tutaendelea kuchapa kazi kwa bidii ktk Kutekeleza Ilani ya CCM kama tulivyoinadi. Mungu akupe Afya njema siku zote
Nawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kunichagua kwa kura zote (100%) kuwa Mwenyekiti wa CCM. Nawaahidi utumishi uliotukuka na CCM imara ambayo inaongoza Serikali yetu ya Awamu ya Sita.
0
0
5
Kazi mliyotutuma tumeikamilisha kwa kiwango cha juu sana. Hongera sana Mwenyekiti wa CCM Taifa Shujaa wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Tuko pamoja Kazi Iendelee
1
0
9
Asante Mungu kwa kuniwezesha kushiriki Sikukuu ya Pasaka na wanao wahitaji ktk vituo vya kulelea watoto Yatima. Eee Mungu nipe uwezo wakuhudumia wanao wahitaji
8
2
18