HaongaHon Profile Banner
Pascal Yohana Haonga Profile
Pascal Yohana Haonga

@HaongaHon

Followers
15K
Following
2K
Media
285
Statuses
680

Member of Parliament-Mbozi Constituency (2015-2020).

Tanzania
Joined August 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
4 days
It is a wastage of time and misuse of public funds kuunda Tume ya kuchunguza jambo fulani wakati majibu unayo inadvance. Kwa hotuba ya leo nahisi Novena imeanza kufanya kazi kwa kasi.
2
42
195
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
5 days
Breaking News!! Lucy Shayo(Binti Lissu) amekamatwa jana tarehe 30/11/2025 na Jeshi la Polisi akiwa Tanga mjini.Hadi sasa haijulikani kituo cha polisi alichopelekwa.
7
265
662
@Shareablee
Shareablee
7 days
Big brands often guess what you want. We prefer to ask. We are looking for honest feedback on brand awareness. Whether you own these scents or have never heard of them—your perspective counts.
0
0
1
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
10 days
Huyu OCD lengo lake ni kuhujumu uchumi wa nchi yetu? Huyu anatakiwa kupewa kesi ya uhujumu uchumi.Petroli isipouzwa ya kutosha maana yake serikali itakosa mapato kupitia kodi. Jeshi la polisi linatakiwa kuundwa upya ili kudhibiti watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama huyu.
2
17
63
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
11 days
Mauaji ya Oktoba 29 na siku ziuzofuata yametua ICC.Hakuna tone la damu ya Mtanzania itapotea.
@Sativa255
SATIVA
11 days
Habari njema Kutoka ICC. Kesi ya kwanza ya mambo ya Tanzania imefika ofisi ya Mwendesha Mashitaka wa ICC, nyingine zinakuja! Hii ni hatua ya awali kabisa ya kuanza kwa mchakato wa uwajibikaji. Hakuna KIFO cha mtanzania kilichotokea siku ya Uchafuzi na baada ya UCHAFUZI kitaenda
1
19
126
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
11 days
Tunaomba maagizo yatolewe ya kuwaachia vijana waliochukuliwa na vyombo vya dola kama vile Mdude Nyagali,Dioniz Kipanya,Deus Soka na wengineo.Tunaamini watarejeshwa wakiwa hai.
0
10
56
@MazuranDomagoj
DIFFUSIO
4 days
LUMA RAY-3 — simply the best. No need to chase AI-video news… I just chill, create, and let the work speak.
0
0
5
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
14 days
Baada ya kukaa lockup zaidi ya mwezi 1, Daud Mtawa mkazi wa Mbezi Luisi Dar es salaam amepata dhamana leo. Ikumbukwe kwamba Daud alikamatwa Oktoba 18,2025 akiwa Mbezi mwisho Dsm.Alipelekwa kituo cha polisi Oysterbay na baadaye kusafirishwa hadi mkoa wa Lindi.Ataripoti Nov 25.
1
21
55
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
16 days
"Tume ikaangalie matamshi ya vyama vya upinzani wale waliokuwa wakisema lazima kiwake,hapakaliki,lazima aondoke,uchaguzi hautafanyika.Kitu gani hasa kimewapelekea kufanya vile?".Maneno ya Samia akizindua Tume ya uongo aliyounda. Hapa nadhani anataka kuitengenezea CHADEMA zengwe.
3
7
43
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
25 days
Hawa wawakilishi wa Jamhuri wanafikiria kutumia shingo?kama mashahidi wameshindwa kufika mahakamani kwa sababu za kiusalama,je wao wamewezaje kufika mahakamani?majaji,mawakili wa Lissu na wafuatiliaji wa kesi wao wamefikaje mahakamani kama hakuna usalama? Huu ujinga utaisha lini?
3
17
72
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
1 month
USHAURI: Tusiwaamini haraka na kuwapa vyeo wahamiaji haramu.Tuchukue muda wa kutosha na kujua dhamira zao kabla ya teuzi.
@jjmnyika
MNYIKA John John
1 month
Usaliti unaombatana na uongo katika mambo yanayohusu uhai na maisha ya watu ni uuaji. Nyamatari (William) Tengecha hajawahi kuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama @ChademaTZ2 aliteuliwa kama Mtaalam wa Hamasa. Amerusha uchafu wa uongo ambayo ni vyema ukapuuzwa na wapenda ukweli
10
23
135
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
1 month
Kuna tetesi kwamba kuna wanachama wa CHADEMA nikiwepo mimi tunawindwa kimya kimya ili tukamatwe kabla ya uchafuzi wa Oktoba 29,2025.Kama kuna makosa tumefanya tuitwe kwa utaratibu wa kimahakama na siyo kutuvizia kihuni. Acheni kuleta taharuki ili kumfurahisha mtu yeye siyo Mungu.
5
84
340
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
1 month
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa John Heche @Heche John amekamatwa na Jeshi la polisi Dsm anapoingia mahakama kuu kwenye kesi ya uhaini inayomkabili TAL. Huu ubaya anaopanda mama Abdul ni mkopo wenye riba kubwa,she will pay back with very high interest. Madikteta huishia pabaya.
1
32
118
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
2 months
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche @HecheJohn amezuiwa boda ya Sirari na Serikali ya CCM wakati anaelekea msibani kumzika Raila Odinga nchini Kenya.Samia ajue kwamba ubaya ni mkopo wenye riba kubwa sana kuna siku atalipa.
1
20
55
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
2 months
"Siku yaja ambapo hawa watu unaowakandamiza,kuwanyanyasa na kuwaumiza sana kuliko kawaida,wataona kifo ni bora kuliko kuvumilia manyanyaso.Ole wao wale wanaoharakisha siku hiyo".(Julius Kabarage Nyerere).R.I.P Baba wa Taifa.
0
1
3
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
2 months
Huyu dalali wa kisiasa alipiga pesa za Abdul akadhani watakuwa wanamchekea tu. Lakini hawa aliohamia kwao si ndiyo wale aliowatuhumu kumuua kaka yake?ama namna gani?
2
9
57
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
2 months
Mama wa Kizimkazi ajaribu kuvaa viatu vya huyu mwanamke mwenzake.Very painful!,
1
7
32
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
2 months
Ukosoaji siyo dhambi.
4
17
101
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
2 months
Tutendeane mema duniani tunapita.
0
0
1
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
3 months
Hawa askari polisi wa Dar waliopiga na kuwajeruhi wanachama na wafuasi wa Chadema eneo la Mahakama kuu Dsm wanatakiwa kushitakiwa kwa majina yao.Huu upumbavu na uzwazwa wa kuonea watu kwa kutumwa inatakiwa ukomeshwe kabisa.Hawa Polisi wanatia aibu sana.
7
42
120
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
3 months
Tatizo la askari wa jeshi la polisi ni kutosoma PGO au kuisoma na kuipuuza.Hatuwezi kuwa na jeshi la polisi ambalo linakamata watu bila utaratibu na kuwaweka lockup kihuni tu.Kama Lucy Shayo amekosea afikishwe mahakamani au adhaminiwe polisi.Acheni kutumika na CCM kutesa watu.
0
0
0
@HaongaHon
Pascal Yohana Haonga
3 months
Wakishapelekwa kwenye mikutano ya hadhara ya CCM mara nyingi wanasahau kuwarejesha walikowatoa. Hapa ni Mbimba wilaya ya Mbozi, wanafunzi wamebebwa kwenye malori na mabasi usiku kucha ili kumtengenezea Samia nyomi ya mchongo. CCM ilishapoteza mvuto na ilishakataliwa na watu.
3
49
150