
Femina Hip
@FeminaHip
Followers
8K
Following
6K
Media
4K
Statuses
12K
We work with Tanzanian youth to promote healthy lifestyles, economic empowerment and citizen engagement. https://t.co/HWAfcHjkkg
Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2011
πππ π π²π΅ ππ¦ π’π¨π§! π. Anaitwa Benard Paul, wengi tunamjua kama Ben Pol β kijana kutoka Dodoma mwenye kipaji cha kipekee katika muziki na nidhamu ya hali ya juu. Katika toleo hili jipya, tunakuletea safari yake ya kusisimua β kutoka kuweka sauti bila malipo, hadi
2
1
15
RT @IEAmbDar: Delighted to visit Embassy partner @FeminaHip today and discuss challenges and opportunities for girls and boys in Tanzania.β¦.
0
1
0
Tabasamu lao ni ushindi. Leo tunawakumbusha wavulana wetu kuwa: wanapendwa, wanathaminiwa, na wanastahili furaha. #feminahip #SikuYaMtotoWaKiume
1
0
4
Hata sisi wavulana tunapitia ukatili β tusinyamaze! Ni wakati wa kusikiliza sauti za watoto wa kiume na kuchukua hatua. #sikuyamtotowakiume #msitusahaupia #feminahip
0
0
4
Tunapenda kukutakia wewe na wapendwa wako Pasaka iliyojaa baraka tele. #feminahip #happyeaster
0
0
4
kama wewe ni mkongwe nitajia nyimbo unazozikumbuka za Professar Jay na Sugu?. @therealjongwe @professorjaytz. #tbt #femaclubs #feminahip
0
0
5
Leo tunaungana na Watanzania wote katika kusherehekea maisha na uzalendo wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Karume. Daima tutakuenzi!. #HappyKarumeDay #FeminaHip
0
0
4
Tunapenda kukutakia wewe na wapendwa wako Eid el Fitri yenye baraka tele!. #feminahip #femaclubs #eidmubarak
0
0
5
Aisha Omari Kerefu, a Fema Club Champion under the Kijana Jitambue project in Tanga, is passionate about advocating for sexual and reproductive health and rights. She envisions a world where all adolescent girls and young women can access #SRHR services without shame or
0
0
3
Ni rahisi kuijenga kesho yako ikawa bora kwa kujaribu mambo mbalimbali kuliko kutokuthubutu kufanya jambo lolote. Ikawe wiki ya heri kwa kila jambo unalofanya. #feminahip
1
0
8
RT @Rydx_017: "Mimi ni Bondia ambae Sijawahi kuumia Kwenye Ngumi". βMandonga. Video kwa Comments π
0
7
0