@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
Inastaajabisha kuona Hilda Newton anajikuta anaijua @ChademaTz kuliko @halimamdee ,Halima kakipigania hicho chama na amekijenga kufika kilipo leo. Halima Mdee ni Mbowe mwanamke Chadema. Leo watoto wa jana wanajiona wanamtosha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Halima Mdee ni sawa na Hilda Newton 4000.
136
11
246

Replies

@wa_uzi
Wa Ntuzu Uzi
4 years
@robyn_fabs @ChademaTz @halimamdee Dogo janja nae kujaza watu nyamagana tu kashaanza kujiita mnazi wa chademaπŸ˜‚πŸ˜‚
1
0
2
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@wa_uzi @ChademaTz @halimamdee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hajui walikuwepo akina Slaa na leo hawapo. Nani alikuwa mwamba kuliko Chacha Wangwe? Nani alikuwa Chadema kindakindaki kuliko Zitto Kabwe? Mnazi Chadema ni @freemanmbowetz pekee,Wengine ni viazi vitamu, CCM inaamua uchome,ichemche,ikaange au ile vibichi. Mliona kwa KM.
1
1
2
@Kilo55onspot
SkyLord
4 years
1
0
3
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@Kilo55onspot @ChademaTz @halimamdee Mimi na @_zackabdul @Chiggscom na @bestantony1 tumepanga tukupotezee maana hustaili kuwa humu unatakiwa kuwa milembe πŸ˜‚πŸ˜‚.
4
1
6
@mabo_trd
LoveLife❀
4 years
@robyn_fabs @ChademaTz @halimamdee Unamuona Hilida4000 lakini🀣🀣
Tweet media one
1
0
3
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@_zackabdul @ChademaTz @halimamdee Nimeona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
0
0
0
@Maelekezo1
Maelekezo
4 years
@robyn_fabs @_zackabdul @ChademaTz @halimamdee Jaman huyu mweshimiwa simlikuwa mnamwita msagaji yeye na mwenzake hawajaolewa wanafatana fatana tu?Leo amekuwa nisawa na Hilda Newton Mara 4000?
2
0
6
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@Maelekezo1 @_zackabdul @ChademaTz @halimamdee The truth must be told,Usagaji wale uko pale pale
0
0
1
@mwaqs
Dr. Mdawa
4 years
@robyn_fabs @ChademaTz @halimamdee Kuweni na msimamo kuhusu maswala amabayo hayahitaji uchama ili kuona dosari.. majuzi tu ilikuwa shangwe kubwa kwenu kwamba hao akina Mdee, Bulaya na wenzao hawarudi mjengoni! Ghafla bin huu mmebadili gia hewani! CCM ina wenyewe... nyie ni wapiga debe matejaπŸ˜‚πŸ˜‚
1
0
3
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@mwaqs @ChademaTz @halimamdee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tunasimamia haki.
0
0
1
@mackphason
Mackphason ΧžΧ§Χ€Χ‘Χ•ΧŸβš½ πŸ‡―πŸ‡²
4 years
@robyn_fabs @ChademaTz @halimamdee Unakosea kusema hivyo inamaana kwa sasa kingunge na polepole na anakijua chama hizi ni taasisi kila mtu anapita kwa zama zake kama mdee kazingua hilda naye anaweza kupigania chama na yeye atapita
5
1
86
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@mackphason @ChademaTz @halimamdee Ulishajipa muda wa kutafakari ni nani amezingua katika maamuzi hayo,Je! ni viongozi wa kiume wa chama au Bawacha? Ukiniiza mimi nitakwambia hakuna Mwaka Chadema imewahi kusema haijaibiwa kura yet walipeleka wabunge bungeni,Kwanini this time wawazuie wanamama kwenda?
9
0
11
@JayBoy10487471
Jay Boy
4 years
@robyn_fabs @ChademaTz @halimamdee Hilda alijua K yake itamrahisishia kazi wamemla akamwacha
1
0
3
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
1
0
2
@ManengeloA
Manengelo Aman
4 years
@robyn_fabs @ChademaTz @halimamdee Hivi unajua kuwa hujui kitu
1
0
3
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@ManengeloA @ChademaTz @halimamdee Sio kweli, Najua kuwa Hilda katumika sana CDM. Pia najua KM anasambaza ukimwi,najua pia Mbowe ameoa mtoto wa Mtei lakini pia anam-cheat mkewe kwa kuwala madem wa bawacha,Najua Chadema ni chama cha matapeli na kila mtu ni mfia tumbo. Najua pia Lissu ni REBEL. Najua pia huna akil-
8
0
4
@EmayaniEngai
Intepen
4 years
@robyn_fabs @ChademaTz @halimamdee Kwahiyo mwl akimfundisha mwanafunzi, Huyo mwanafunzi hawezi kuwa mwl na hata kumzidi mwl wake?
1
0
1
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@engidimata @ChademaTz @halimamdee Kwahiyo Hilda alifundishwa na Halima?
1
0
0
@Gibson44178359
Gibson
4 years
@robyn_fabs @ChademaTz @halimamdee Ujinga mtupu tuu huo sasa kwanini kashindwa kusimamia alichokipigania?
1
0
9
@EJ_Mwita
Emmanuel Mwita
4 years
@Gibson44178359 @ChademaTz @halimamdee Umekisimamia,Sema kwa angle aliyosimama wewe huoni.
0
0
1