Baba yangu alinichukua kwa mama nikiwa na mwaka mmoja na nusu, mpka napata akili nikiamka asubuhi mtu wa kwanza namuona machoni kwangu ni Baba, nimepewa kila nilichostahili kutoka kwa mzazi na Baba, nimekuja kumuona mama yangu nikiwa darasa la nne. Baba hakuwahi kunijaza chuki..