CwcChampion Profile Banner
ΜĐ€Μ€ 👑 Profile
ΜĐ€Μ€ 👑

@CwcChampion

Followers
555
Following
5K
Media
123
Statuses
9K

Football Contents & other || No Politics || Trolling is inevitable || @ChelseaFC fan || Honest Enthusiastic Football fan || I speak Facts || 💙

Tanzania 💙
Joined July 2025
Don't wanna be here? Send us removal request.
@CwcChampion
ΜĐ€Μ€ 👑
2 months
Kulala Na Wanawake Wengi Au Kufanya Mapenzi Muda Mrefu Huo Sio Ulijali Wa Mwanaume Huo ni Uvulana. Ulijali Wa Mwanaume Ni Kupambana Kufikia Malengo Yake Na Kutimiza Ndoto Zake Mwenyewe.
111
81
874
@samdoctortz16
sam
8 hours
Ni nyota tuu ila Chelsea Manchester United Liverpool Arsenal Madrid Barcelona Na viunga vyake hakuna wa kuniweka bechi😂
8
4
21
@blackculer
BARÇAGUY 🕯
6 hours
Leo nimedondoka na sahani ya msosi mgahawani mbele ya watoto wazuri. So much Aura lost 😭😭
8
9
27
@kaji_sijo
Kaji
11 hours
Lakini wanyakyusa hawanaga mambo za limbwata, sasa huyu mke wangu amenipa nini mbona nna mpenda hivi?
16
28
80
@kasesco_tz
kasesco☆
7 hours
Hiyo simu yako ikipotea leo.. itachukua miezi mingapi kujichanga ili uweze kununua tena kama hiyo...?
17
12
73
@Man_sheka360
𝐌𝔸𝐍 _🅂🅷🄴🅺🄰😎
7 hours
Ulikuwa mkali wa game gani kati hz hap chini kwenye PS 2
25
27
62
@CwcChampion
ΜĐ€Μ€ 👑
17 hours
Leo ikawe bora kuliko jana 🤲🏽
9
19
29
@Alex_komba00
Alex debrizy👑
18 hours
Binadamu anajivunia kua tajiri, kumiliki mali nakadhalika lakini yote kwa yote bila zawadi adhimu ya uhai kutoka kwa MUNGU binadamu wote si kitu tusiache kumshukuru muumba wetu, Good morning my X family in GOD we believe 🙏.
20
30
43
@Bob_sanchoo
BOB SANCHOO™
19 hours
Tuambie hii verse imetoka kwenye wimbo gani? Kutoka kwa Young Killer “Ukitaka Chuku ni Chuku Ukitaka Tupu ni Tupu Kwenye Ulingo wa Ngumi Watu Wamebeba Mitutu”
11
17
78
@Mkushiiiiii
Mkushi
20 hours
Nakutakia jumapili njema wewe n familia yako, ukipata Muda nenda Ibadani ✝️❤️🙂
20
40
72
@singelizabongo
Singeli za Bongo
23 hours
Binti Anajina Fatuma Halafu Mahari Yake Eti Ni Million 3! Hata Ningekuwa Mimi Nisingelipa😂😂
9
22
104
@heisnabeel
𝑵𝑨𝑩𝑬𝑬𝑳
19 hours
Kanisani pastor:😅 Mkiwa kidogo Kanisa likijaaa
29
42
250
@Ayodimejitz
𝐀𝐲𝐨 𝐃𝐢𝐦𝐞𝐣𝐢
19 hours
Tunaiyanza siku kwa kumshukuru mwenyezi MUNGU mwenye khaki miliki ya uhai wetu. 🙏 Good morning GOD's people. ❤
6
8
8
@udsm_finest
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘
19 hours
Good Morning X family Group letu maneno kidogo kazi za uhakika kila siku 🔥🔥🔥 Kila siku tunampiga kanji, na huku tunabet kitofauti sanaa sogea ujionee Join bure link👇🏻 https://t.co/JjlWv5d6PF NB: Mikeka yote ni bure kabisa
@udsm_finest
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘
2 days
Good morning X family Jana tulikuwa na slip 2 zote tuli win ✅🔥 Kwenye group letu Jiunge sasa na group la WhatsApp 🎯Kila siku ni fursa mpya ya kushinda usibaki nyuma Odds 5 Odds 10 👉Bonyeza link ujiunge na timu ya washindi💰 https://t.co/JjlWv5cz07 NB; mikeka ni bure✅
26
53
53
@Tweener003
PàChâ#1738 💫
18 hours
Good morning x family 🍀
18
25
74
@Alphared_11
ALPHA
19 hours
HAPPY BIRTHDAY TO ME ✍ Asante Mungu wangu kwa Siku hii tena Umri Umesogea na siku za kuishi ndo zinavozidi kupungua, Nipe Mwisho Mwema Mola wangu Inshallah
25
33
53
@AkiliBrain1
Akili brain
19 hours
Je wewe ni ntumiaji wa voda? Kwa Tsh 10,000 tu unajipatia Gb 20 utakazo zitumua mwezi mzima. Ata kama laini yako ina deni nitakuunga bando bila shida. Na haichukui ata dkk 2 ntakua nimesha kuunga Mawasiliano 0657401752 Normal call only.
39
59
87
@kasesco_tz
kasesco☆
19 hours
Kumekucha zile hesabu za KKS na KDS zitupatie leo breakfast, lunch na dinner 😁
28
48
265
@Meku_255
MEKU
19 hours
Mwenye hekima huogopa, akajitenga na uovu; Bali mpumbavu ana ufidhuli,na kujitumai. Mithali 14:16
7
24
73
@Bwoy_zackie
Chelsea Stan 🍁
20 hours
Ikumbuke siku ya bwana na kuitakasa Good morning God's people.
14
13
31
@man_sebo77
kaka seßo
19 hours
Wenye chakula hawana appetite na wenye appetite hawana chakula Wagonjwa wanaomba uzima na wazima wa afya wanajiua Wagumba wanalilia watoto na wasio wagumba wanatoa mimba Anayepewa upendo hauthamini na asiyependwa kutwa anayalilia mapenzi YA DUNIA MENGI
10
34
51