
BRËËZY-BENZ🔯
@Breezy_GLE450
Followers
901
Following
1K
Media
21
Statuses
5K
🔃 LIFE STYLE IS A MARATHON****💙 ✍️Young africans💚&man united fan⚽❤️
Mexico, Central Luzon
Joined March 2022
Kama huwezi TAFUNA nyama achana nayo kabisa sio kushikashika na kupakapaka mate 😂⬇️
24
33
131
Saizi Ndio Naelewa Kwanini Wazazi Walikuwa Wanasema Akija Mtu Yoyote Kuniulizia Mwambie Nimetoka Wakati Amelala Ndani.😂
10
19
53
“Tafuta hela za kutosha ila usipige nazo picha” Kuna WALINZI WA AMANI walifikiri Falsafa anamaanisha. Leo wameonyeshwa parking ina mipira namba E, mwaka wa mbele — yote inakula pupwe la AC wanabaki kutoa ngolo.🫵🏾😅
14
61
465
Bao la kwanza unahifadhi unaenda kumwagia ofisi za Necta😄....
25
32
152
Huyo mwanamke uliyemkuta yupo single Hadi miaka 30, ipo siku atakufundisha somo gumu, Na hapo ndipo utagundua kwanini wanaume waliamua kumpuuza.. Hakuna bidhaa Bora inayopuuzwa.
6
21
86
Alfajri hii Neymar Jr aliamua tu kuionesha dunia nini ambacho kipo mguuni mwake, hii siku ulipigwa mpira mpaka Messi wenu alikuwa anamkaba Fundi kutoka City of Mogi, Mtalam kutoka Mogi Da Cruzes pale Sao Paulo kifupi walikuwa wanakaba wanne wanne maana mmoja ilikuwa haiwezekani,
31
22
613
Vijana wa hovyo hapo round ya kwanza unamwagia wapi? 😂 mm nikipata kama huyu nalia machozi kwanza
33
18
157
"Top 10 Crypto Billionares hakuna trader hata mmoja" @nickyrabit Kilichotokea kwenye Gold Rush ni the same na kinachotokea kwa Crypto Pia kwenye trading Brokers/Propfirms wanapiga pesa kuliko traders Vipi wauza signals/robots..?
4
9
44