No Reforms no Election
@1Maliga
Followers
5K
Following
38K
Media
7K
Statuses
51K
Joined March 2022
Watanzania, safari hii tunatoboa. Haya anayo yaongea Mange Kimambi ni ukweli mtupu, jeshi lipo nyuma ya waanchi. Tushindwe sisi. Tusimuangushe Kapteni Tesha. JWTZ wapo na sisi wananchi. Abdul na mamake watakimbilia Oman.
6
99
385
Majirani wameamua kununua ugomvi. #SuluhuMustGo #SamiaMustGo Song Nam: Idd Amin Mam by Okoth Vicky @JesusisComingr Asanteni sana majirani zetu ๐ฐ๐ช๐น๐ฟ
10
123
367
Daaah! kiukweli Hata Kama Ushiriki Wake Hauto Kuwepo ila Mange Kajitoa Sanaa This Time. Hasa Baada ya Kuisikia ile Voice Note ya Wshirika wa Kijana Dully kwamba Kwenye Msafara wa Mama anatembea na Maself ya Minoti, kwamba anatumia Pesa Kukatisha yetu daa!
31
186
620
Kwenye msafara wa Samia kwa mujibu wa hii clip kuna magari yamebeba pesa nyingi sana , nyingi Wanafanya uharifu wa cyber kuna watu wana mifumo ya kuingilia simu za Watu , mtu amelipia mabilioni ya pesa hili apate mawasiliano ya simu ya mkewe Wanafanya udufuzi wa masimu kama
19
202
745
POLL: Tunapenda kujua maoni yenu siku chache kabla ya Uchaguzi. Je Ukiwekewa Mbwa na Samia, utampigia nani Kura?
104
24
245
Ng'ombe wa kafara wakiwa wamepakiwa kwenye lori tayari kwenda kuanikwa juani kwa buku 10 tu ili baadae waje kwenda msoto mkali wa miaka mi5 ya ufukara, njaa na umasikini wa kutupwa!
2
7
21
AMEANDIKA MSANII ROSE NDAUKA Rafiki yangu,kaka yangu JOHN HECHE upo wapi jamaniii hii inauma sana kwakweli,Mwenyezi Mungu ingilia kati familia zinalia kwakukosa kujua watoto wao wako wapi,watoto wanateseka Kwa kushindwa kuwaona Baba zao,wake wanalia Kukosa kuwaona waume zao na
21
332
1K
WaTanzania tumeshinda huu idharimu,tumeshinda jamani naambiwa mkiona wanajeshi basi jueni ni kutulinda tusidhurike dhidi ya wachache wanaotetea mafisadi na watekaji,wanausalama wanasema sisi na wao ni ndugu pia hali ya maisha haibagui na nchi ni yetu sote hakuna mmiliki
2
11
36
Watawala tambueni; DHULMA ikigeuzwa kuwa sheria na kupoka haki za watu; UPINZANI na utakuwa wajibu kwa wote.
9
24
107
CHADEMA imesalitiwa, na huenda ikasalitiwa tena. Lakini haitasalitiwa na Watanzania walio wengi, wala haitasalitiwa na historia kwa sababu historia huandika ushindi wa wanaosimama upande wa haki. Siku njema za CHADEMA zinakuja na ziko karibu sana!. #PeoplesPower
11
62
363
Samia kakimbilia tena Uganda kuomba aongezewe msaada baada ya kupewa wale Wanajeshi 500๐๐๐ Tatizo ni kwamba Jeshi la Wananchi wamekomalia msimamo wao wa kusimama na Wananchi... Sasa Maandamano ya Oktoba 29 yamezidi kunoga, The country's system has completely rejected Samia.
51
158
606
Nahitaji nikufollow, tatizo akaunti yako haina post yeyote, repost basi nikufollow. Au kama wewe ni kamanda comment hapo chini "OCTOBER TUNATOKA" nikufollow. Repost ๐ซก๐ซก Follow ๐ @IkindaKani11826 CHADEMA NI IMANI โค๏ธ #TutaelewanaTu๐ซต๐ซต๐ซต
14
53
118
AMETEKWA! AMETEKWA! AMETEKWA! Naomba kushare nanyi huu ujumbe kama nilivoupokea.๐๐๐ Huyu anaitwa Rodrick Kakwaya ni Mwalimu wa Usevya Secondary iliyopo Mkoani Katavi na Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe lakini pia aliwahi kuhudumu kama Makamu Mkuu wa shule akiwa hapo Usevya
35
399
1K
Ukiona watawala wanatumia nguvu kubwa kukemea maandamano kuliko utekaji na wanawashughulikia wanaopinga utekaji kuliko watekaji wenyewe basi jibu ni rahisi tu ni kwamba wao ndio wahusika wakuu wa utekaji ๐ฏ %
4
20
60