TCAA CCC
@tcaaccc_
Followers
146
Following
3K
Media
208
Statuses
249
Taasisi ya Serikali iliyoundwa na Sheria ya Usafiri wa Anga kusimamia Haki na Maslahi ya Wasafiri wa Anga Piga 0800110190 Instagram/Facebook& YouTube: tcaa_ccc
Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2021
Wataalamu wa usafiri wa anga barani Afrika wapongeza Mfumo wa Kumlinda na Kumtetea Mtumiaji wa Huduma za Usafiri wa Anga nchini Tanzania. Hayo yameelezwa katika Kikao kazi cha kutengeneza Mpango wa Utekelezaji wa Ulinzi wa Mtumiaji wa Usafiri wa Anga barani Afrika.
0
0
0
Afisa Mwandamizi wa Elimu na Uchechemuzi wa TCAA CCC, Bi. Debora Mligo (katikati) akifafanua majukumu ya Baraza kwa wadau wa Mkutano wa 18 wa Pamoja wa Mapitio ya Sekta ya Uchukuzi (JTSR) unaofanyika katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
0
0
0
Kampeni ya uelimishaji watumiaji wa huduma za usafiri wa anga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) juu ya haki zao za msingi na wajibu wao kisheria pindi wanapotumia huduma za usafiri wa anga.
0
0
0
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa Mkutano wa 18 wa Pamoja wa Mapitio ya Sekta ya Uchukuzi unaofanyika katika Ukumbi wa AICC, Arusha ambapo Mgeni Rasmi alikua Naibu Wizara ya Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile (MB).
0
0
0
Kampeni ya “Tiketi Yangu, Haki Yangu” inaendelea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA) na Uwanja wa Ndege wa Arusha ambapo watumiaji wa huduma za usafiri wa anga wanaelimishwa kuhusu haki na wajibu wao wa msingi.
0
0
0
Kampeni ya “Tiketi Yangu, Haki Yangu” inaendelea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA) ambapo watumiaji wa huduma za usafiri wa anga wanaelimishwa kuhusu haki na wajibu wao wa msingi. Pia kufahamu mfumo wa utatuzi wa malalamiko uliowekwa.
0
0
0
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yanayofanyika Kimkoa katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam. https://t.co/nDQmMx4dkt
instagram.com
0
0
0
USIKOSE KUFUATILIA! Leo tarehe 12, Machi 2025 Kuanzia saa 2 Usiku @EwuraCCC
@latraccctz
@FCSTZ
@MwananchiNews
@tcraccc
0
0
0