Tanzania Wildlife Research Institute
@tawiri_tz
Followers
124
Following
13
Media
121
Statuses
122
Joined March 2020
Kesho mapema tunatimiza haki yetu ya kikatiba ya kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa 27 Novemba, 2024*
0
0
0
TAWIRI tunatoa pole kwa familia zilizopoteza wapendwa wao na waathirika wote wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo Dar es Salaam.
0
0
0
Kituo cha Utafiti wa Wanyamapori Serengeti (SWRC) ni miongoni mwa vituo vitano vya Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kinachobeba historia ya chimbuko la tafiti za wanyamapori hapa nchini ambapo tafiti zilianza miaka ya 1950.
0
0
1
TAWIRI tupo kazi utoaji wa elimu ndani KARIBU KILL FAIR 2024 katika viwanja vya Kisongo- Arusha
0
1
2
Ikiwa 05.06.2024 ni maadhimisho ya Siku ya Mazingira Kimataifa, Wanafunzi wa Shule ya Msingi NALOPA wametembelea makao makuu ya TAWIRI kujifunza umuhimu wa Nyuki na Wadudu katika uhifadhi na mazingira kwa ujumla
0
0
0
TAWIRI tunawakaribisha kutembelea banda letu katika Maonesho kuelekea siku ya Kimataifa ya nyuki yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete CONVECTION Center -Dodoma
0
0
1