swakesho_ Profile Banner
Sycilia Wakesho Profile
Sycilia Wakesho

@swakesho_

Followers
2K
Following
48
Media
13
Statuses
451

NewsAnchor|Editor NTV|Corporate MC|Child of the Most High🇰🇪 Instagram:@Swakesho_

Joined January 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@swakesho_
Sycilia Wakesho
7 days
@ntvkenya
NTV Kenya
7 days
Zipporah Achieng: Niligrow nikimeza dawa za HIV, nilijua niko na hivyo virusi nikiwa Class 4 nikajichukia. #NTVJioni @swakesho_
1
0
0
@swakesho_
Sycilia Wakesho
15 days
Very heavy traffic around Syokimau headed to town. If you are coming from Kitengela use the nearest expressway and thank me later #traffic #trafficawareness #Mombasaroad
0
0
1
@swakesho_
Sycilia Wakesho
28 days
@ntvkenya
NTV Kenya
28 days
Danstan Omari: Wagonjwa wengi hufa bila kujua kuwa wanaweza kufidiwa iwapo daktari atafanya makosa wakati wa matibabu. #AfyaYako @swakesho_
0
0
1
@swakesho_
Sycilia Wakesho
1 month
After 49 days !!!
@ntvkenya
NTV Kenya
1 month
Mgomo Wa Wahadhiri Kwisha! Mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma hatimaye umefika tamati. Hii ni baada ya serikali na vyama vya wahadhiri kukubaliana kuhusu malipo ya deni la Shillingi billioni 7.9. #NTVJioni @swakesho_ @loftymatambo
0
0
1
@ntvkenya
NTV Kenya
1 month
Waathiriwa Wa Maporomoko Watahiniwa: Katika juhudi za kuwawezesha wanafunzi walioathirika na maporomoko ya ardhi Elgeyo Marakwet, Wizara ya Elimu ilitangaza kuhakikisha kuwa kila mtahiniwa atapokea usaidizi mwafaka kukamilisha mitihani ya kitaifa. #NTVJioni @swakesho_
1
2
2
@ntvkenya
NTV Kenya
1 month
Afya Yako: Haki Ya Tiba Mama Teresia Wambui akatwa mkono baada ya kuwekwa sindano ya mrija katika harakati za kujifungua hospitalini Pumwani. #NTVJioni #AfyaYako @swakesho_ @labaanshabaan
0
3
6
@ntvkenya
NTV Kenya
3 months
Je, ni tunda lipi katika kijiji chako linatengeneza kinywaji unachokipenda? Jiunge na @swakesho_ kwenye #NTVMashinani
1
1
7
@swakesho_
Sycilia Wakesho
3 months
Tuwasiliane my people
@ntvkenya
NTV Kenya
3 months
Ni zao lipi la shambani umeona likiwa na kimo cha kustaajabisha? Jiunge na @swakesho_ kwenye #NTVMashinani
0
0
0
@ntvkenya
NTV Kenya
3 months
Ni zao lipi la shambani umeona likiwa na kimo cha kustaajabisha? Jiunge na @swakesho_ kwenye #NTVMashinani
1
1
11
@ntvkenya
NTV Kenya
3 months
DCP Walia Kuvurugwa na Serikali Chama cha DCP kimeishutumu serikali kwa vitisho vya kisiasa na hujuma baada ya mkutano wake huko Mbeere Kaskazini kuvurugwa siku ya Jumapili na kusababisha machafuko. polisi wanatuhumiwa kwa kurusha vitoza machozi kwenye umati wa watu
0
1
3
@ntvkenya
NTV Kenya
7 months
Watu wanne wamepata majeraha baada ya jiko la kutengeneza chang'aa Kulipuka Kipkelion. Je,ni kipi umeshuhudia kuhusiana na chang'aa eneo unakotoka? #NTVMashinani @swakesho_
1
2
2
@ntvkenya
NTV Kenya
8 months
Ugonjwa Wa Parkinson's: Wagonjwa wengi wanalalamikia ugumu katika kutambuliwa kwa ugonjwa huu kwa wakati unaofaa. Leo kwenye makala ya #AfyaYako tunaangazia ugonjwa huu wa kutetemeka. #NTVJioni @swakesho_
0
3
11
@ntvkenya
NTV Kenya
9 months
Ruto: Muturi Akanyage Kubwa Kubwa! Rais Ruto amemfuta kazi Waziri Wa Huduma Za Umma Justin Muturi na kukamilisha miezi kadhaa ya mivutano baina ya Rais na waziri huyo. Ruto amemteua mbunge Geoffrey Ruku katika nafasi hiyo ya Muturi. #NTVJioni @swakesho_ @Karanja_Ibrah
4
13
91
@ntvkenya
NTV Kenya
9 months
MUBASHARA: #NTVWikendi na @swakesho_
1
2
11
@ntvkenya
NTV Kenya
9 months
Toleo la pili la gazeti la biashara BD kwa nembo "Legal Minds Classic" ya golf ilikamilika Ijumaa kwa mashindano ya kusisimua, yakiwaleta pamoja wanasheria, viongozi wa biashara, na takwimu nyingine maarufu. #NTVWikendi @swakesho_ @MwakaFridah @loftymatambo
0
1
4
@ntvkenya
NTV Kenya
10 months
Michezo Ya Betika Bingwafest Mkondo wa mwisho wa michezo ya Betika BingwaFest msimu wa mwaka 2024/25 utafanyika kuanzia Ijumaa hii hadi Jumapili katika uwanja wa Nairobi Polo Club. #NTVMichezo @swakesho_
0
2
4
@swakesho_
Sycilia Wakesho
1 year
“When you change your thoughts, remember to also change your world.” —Norman Vincent Peale #Safaricom #Motivation
0
0
2
@swakesho_
Sycilia Wakesho
1 year
President William Ruto dismisses his entire Cabinet and AG Justin Muturi, retains Prime Cabinet Secretary and Foreign CS Musalia Mudavadi; PSs to run ministries. https://t.co/zqThz5WaVp
Tweet card summary image
standardmedia.co.ke
0
0
1
@Ali_Manzu
Ali 'Mwamvita' Manzu
1 year
Human rights Activist from @HakiAfrica @husskhalid getting first aid after the #RejectFinanceBill2024 Demos this evening
1
84
205
@swakesho_
Sycilia Wakesho
1 year
Treasury allocates Sh13.4b for conversion of intern teachers contracts to permanent and pensionable terms; Junior Secondary School teachers were on strike over employment terms.
Tweet card summary image
standardmedia.co.ke
0
0
0