π£οΈ Esther Mayala kuelekea mchezo wetu wa kesho dhidi ya JKT Queens. π: Ngao ya jamii Wanawake 25/26 #NguvuMoja
0
3
45
Replies
π¬ Wakati mwingine uzalendo ni kusema ukweli kuhusu taifa lako. Ukweli huwa unasaidia. Nimejiuliza mara kadhaa, tulitaka tufuzu kwenda Kombe la Dunia kufanya nini? Twende Marekani, Canada au Mexico kufanya nini? . Zambia walitufunga pale Unguja hivi majuzi na kuondoa kabisa
47
32
492
Updates βοΈ β‘οΈ Simba Sc πΉπΏ itaondoka na jumla ya watu 50 ikiwemo wachezaji 22, Technical Bench lenye watu 12 na viongozi wengine kuelekea Eswatini πΈπΏ kwaajili ya kuikabili Nsingizini Hotspurs Oktoba 19 β‘οΈ Kikosi kitaondoka kesho Alhamisi saa 4 asubuhi na kitafika Eswatini usiku
4
10
318
Simba SC will begin their journey to Eswatini tomorrow ahead of their CAF Champions League preliminary round clash against Nsingizini Hotspurs on Sunday. #CAFCLwithMicky β’ #NguvuMoja π¦
2
9
326