plustvtz Profile Banner
Plus TV Profile
Plus TV

@plustvtz

Followers
6K
Following
3K
Media
17K
Statuses
21K

Welcome to the Official Twitter page for Plus Television, also find us on Instagram @plustvtz and Facebook @plustvtz

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@plustvtz
Plus TV
2 years
na klabu hio baada ya kukamilisha vipengele vyote vya kimkataba. #PlusXtraUpdates.
0
0
0
@plustvtz
Plus TV
2 years
Mchezaji wa klabu ya PSG, Kylian Mbappe (25) raia wa Ufaransa, ameamua kumjulisha Rais wa klabu hio, Nasser Al Khelaifi kwamba ataondoka kama mchezaji huru mwishoni mwa msimu huu. Bado kukamilisha baadhi ya makubaliano ya kimkataba, lakini wame afikiana mchezaji huyo ataachana
Tweet media one
1
0
8
@plustvtz
Plus TV
2 years
0
0
0
@plustvtz
Plus TV
2 years
huyo wa Ufaransa inatarajiwa kutolewa hivi karibuni na kambi yake ingawa mpaka sasa klabu yake ya PSG haijapokea taarifa yeyote juu yake kama atasalia klabuni hapo au atatimka. Mkataba wa Mbappe na PSG unatamatika mwishoni mwa msimu huu na kumfanya nyota huyo kuwa mchezaji huru.
1
0
0
@plustvtz
Plus TV
2 years
Kwa mujibu wa Mwanahabari, Fabrizio Romano ni kuwa, mazungumzo ya usajili kati ya klabu ya Real Madrid na mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappé yamefikia hatua nzuri licha ya kuwa, hadi sasa hakuna makubaliano yaliosainiwa kwa pande zote mbili. Taarifa rasmi kuhusu hatma ya nyota
Tweet media one
1
0
4
@plustvtz
Plus TV
2 years
Yanga yapata ushindi wa goli moja dakika za mwisho dhidi ya Dodoma Jiji, Chamazi Complex. FT: YANGA 1⃣ - 0⃣ DODOMA JIJI. #PlusXtraUpdates
Tweet media one
0
1
3
@plustvtz
Plus TV
2 years
tasnia ya filamu, mwanariadha mahiri, muigizaji na mtu mwema sana kuwahi kumfahamu”. “Tusingeweza kukamilisha filamu ya 'Predator' bila ya umahiri wake na muda mzuri wakati wote wa kazi ya utengenezaji wa filamu hio” amesema Arnold Schwarzenegger. R.I.P Legend🕊. #PlusXtraUpdates.
0
0
0
@plustvtz
Plus TV
2 years
Aliyekuwa muigizaji na mtayarishaji wa filamu Carl Weathers maarufu kama 'Apollo' kwenye sinema ya The Rocky iliyoigizwa na Sylvester Stallone 'Rambo' amekutwa na familia yake amefariki dunia Februari, 01 akiwa amelala. “Carl Weathers heshima yake itabaki kama mkongwe kwenye
Tweet media one
1
0
2
@plustvtz
Plus TV
2 years
nao kazi mwishoni mwa msimu huu. Kinda huyo ameigomea ofa ya muda mrefu kutoka kwenye klabu ya Barcelona nchini Uhispania na kuamka kutimkia Uingereza. Je, amefanya maamuzi sahihi?. #PlusXtraUpdates.
0
0
0
@plustvtz
Plus TV
2 years
Kinda anayecheza nafasi ya kiungo Lucas Begvall raia wa Sweden (18), rasmi amemwaga wino kwenye klabu ya Tottenham akitokea klabu ya Djurgarden, Sweden. Katika siku yake ya kuzaliwa Februari, 02, rasmi amefanya maamuzi ya kujiunga na waajiri wake hao wapya ambao ataanza kufanya
Tweet media one
1
0
0
@plustvtz
Plus TV
2 years
Timu ya taifa ya Congo yatinga nusu fainali kwa kishindo:. FT: DR Congo 3⃣ - 1⃣ Guinea. #PlusXtraUpdates
Tweet media one
0
0
1
@plustvtz
Plus TV
2 years
Kikosi hiko cha Nigeria kimefuzu kwenda nusu fainali. #PlusXtraUpdates.
0
0
0
@plustvtz
Plus TV
2 years
Kikosi cha timu ya Nigeria kimeruhusu goli moja tu katika mashindano ya Afcon yanayoendelea nchini Ivory Coast:. ◾1-1 vs Equatorial Guinea.◾1-0 vs Ivory Coast.◾1-0 vs Guinea Bissau.◾2-0 vs Cameroon.◾1-0 vs Angola
Tweet media one
1
0
1
@plustvtz
Plus TV
2 years
Yanga na Kagera Sugar wagawana pointi baada ya kusuluhu katika uwanja wa Kaitaba. FT: Yanga 0⃣ - 0⃣ Kagera Sugar. #PlusXtraUpdates
Tweet media one
0
0
2
@plustvtz
Plus TV
2 years
nia ya kujiunga na kikosi hiko cha Galatasaray S.K. #PlusXtraUpdates.
0
0
0
@plustvtz
Plus TV
2 years
Beki wa kulia kwenye klabu ya Nottingham Forest, Serge Aurier (31) raia wa Ivory Coast yuko mbioni kujiunga na klabu ya Galatasaray S.K ya Uturuki. Dili ambalo limekuwa katika mazungumzo kwa muda mrefu baada ya kuwa mvutano kwa pande mbili hizo, ila mchezaji Aurier ameonyesha
Tweet media one
1
1
4
@plustvtz
Plus TV
2 years
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa klabu ya Aston Villa, Bertrand Traore (28) raia wa Burkina Faso amevunja mkataba na waajiri wake hao na kutimkia Uhispania kwenye klabu ya Villarreal akiwa kama mchezaji huru. #PlusXtraUpdates
Tweet media one
0
0
0
@plustvtz
Plus TV
2 years
TAARIFA KWA UMMA. #PlusXtraUpdates
Tweet media one
Tweet media two
0
0
0
@plustvtz
Plus TV
2 years
Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Armando Broja (22) raia wa Albania ametua kwenye klabu ya Fulham ya Uingereza kwa mkopo. Kinda huyo atakipiga katika klabu ya Fulham mpaka mwishoni mwa msimu huu 2023/24. #PlusXtraUpdates
Tweet media one
0
0
1
@plustvtz
Plus TV
2 years
Rapa wa kisasa Young Lunya a.k.a Mbuzi, ametuma salam ya freestyle kwenye ngoma ya Diamond Platnumz 'Mapozi' aliyomshirikisha Mr. Blue & Jay Melody. Je, unampa maksi ngapi?. #PlusXtraUpdates
Tweet media one
Tweet media two
0
0
1