officialseba337 Profile Banner
sebastian Kapala Profile
sebastian Kapala

@officialseba337

Followers
181
Following
17K
Media
601
Statuses
2K

Manager #The former seminarian who turned a servant. C.E.O @menu.point C.E.O @seba_cloth minister&parliamentarian of @mocuso government. Vicepresident@mocusoc

Kilimanjaro, Tanzania
Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@officialseba337
sebastian Kapala
2 months
Usisahau kuwa mama ni mke wa mtu.
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
4 months
Usimuaribie mtu malengo Usieweza kumtimizia malengo
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
4 months
Ninawakumbusha ndugu wanakijiji wenzangu kuwa furaha tuliyonayo sasa sio ya kudumu baada ya uchaguzi wabunge wataondoka na magari yao mazuri kwenda kwenye makazi yao ya miaka 5 uko dodoma usipoteze kura yako ,ulipoteza kaka,baba,mama,rafiki kisa ubovu wa barabara ,huduma afifu
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
4 months
BORA WALIOKATWA LEO KULIKO WATAKAOKATWA KESHO, MKATO BADO UNAENDELEA,
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
4 months
The parable of the Good Samaritan, found in Luke 10:25-37, tells the story of a traveler attacked by robbers, left half-dead. A priest and a Levite, both religious figures, passed by without helping. A Samaritan, a member of a group despised by the Jews, showed compassion........
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
4 months
Je ni watu wangipi umevunja nao undugu baada tu yakumkopesha pesa.
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
4 months
Ukiwa unajifunza kulima sio lazima upate mazao, jua kulima kwanza mengine baadaye!!!!
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
4 months
Tajiri na mali zake . Maskini na wanae
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
4 months
Siku mbaya na ngumu kwa muweka hazina. Ni siku ya mapato na matumizi..😮‍💨
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
5 months
Kiungo Pekee Kwenye Mwili wa Binadamu kisichochoka (MOYO) ...Moyo ukichoka tunatandika mkeka
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
5 months
NI RASIMI SASA NATANGAZA NIA YA KUCHUKIA FOMU JIMBO LA KIGOMA MJINI
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
5 months
U deserve MVP & Best defender of this season
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
5 months
WE MISS U KAYOKO.
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
5 months
Tunawashukuru wote wanaotunenea mema tusipokuwepo. MUNGU ANAJIBU DUA ZETU.
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
5 months
Unawezakuta Rafiki wa mpenzi wako ndio mke/ mme wako wa maisha ( RAFIKI)
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
5 months
Tunawashukuru wote waliotufunguli njia zamafanikio tunaendelea kupambana.
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
6 months
Days 337 of 365 Kila mwaka kuna tarehe na mwezi wa kifo chako unapita, Bila wewe kujua ila siku ikifika hautaivuka tena. .😭💔 Tunaishi mara moja tu. 😥
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
7 months
MAISHA Usishangae fundi ujenzi anaishi nyumba ya kupanga . Fundi kitanda analala chini.
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
7 months
Tz
0
0
0
@officialseba337
sebastian Kapala
7 months
0
0
0