mulika255 Profile Banner
Mulika Tanzania Profile
Mulika Tanzania

@mulika255

Followers
3K
Following
4K
Media
2K
Statuses
4K

A youth-serving organization with the aim of promoting community development and empowering young people.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mulika255
Mulika Tanzania
4 days
Vijana kutoka Dodoma watashiriki kwenye mafunzo haya yenye lengo la kuwajengea uwezo katika: Uongozi,Mawasiliano Bora,Utetezi kwa Ajili ya Mabadiliko Hii ni hatua nyingine muhimu ya kujenga kizazi kipya cha viongozi wa kesho. #YouthLeadership | #Mulika255
2
5
7
@mulika255
Mulika Tanzania
2 hours
Baadhi ya washiriki waliopata zawadi kutoka kwenye mradi wa YOUTH LEADERSHIP TRAINING uliofanyika Dodoma, hasa kwa kuwa wa kwanza kutufollow, kulike na kucomment kwenye mitandao yetu ya kijamii. #YouthLeadership | #Mulika255
0
1
2
@mulika255
Mulika Tanzania
23 hours
📽 SANDE SANA BHAGOGO, Mulika Tanzania inapenda kutoa shukrani za dhati kwa washiriki wote wa programu ya YOUTH LEADERSHIP TRAINING iliyofanyika jijini Dodoma. #YouthLeadership | #Mulika255
2
3
5
@mulika255
Mulika Tanzania
2 days
1
1
2
@mulika255
Mulika Tanzania
2 days
Baadhi ya Washiriki waliohudhuria katika mradi wa Youth Leadership Dodoma nakuonyesha ushiriki wa hali ya juu kupitia mijadala, maoni na ubunifu wao. Ushiriki wao madhubuti ni kielelezo cha ari ya vijana katika kujifunza. #YouthLeadership | #Mulika255
2
1
3
@mulika255
Mulika Tanzania
2 days
“Mitandao ya kijamii ni zana muhimu kwa kila kiongozi kijana hasa katika kujijengea jina. Kila kijana kiongozi anaweza kutumia jukwaa hili kufanya kampeni za kidigitali.”—Wilbgeorge Bahati, Mkufunzi wa masuala ya Mawasiliano na mitandao ya kijamii #YouthLeadership | #Mulika255
1
3
4
@mulika255
Mulika Tanzania
2 days
Maneno ya kuvutia (‘captions’) yanapaswa kuwa makini na yenye mvuto, huku ‘hashtags’ zikitumika kwa usahihi ili kuongeza mwonekano na ushiriki wa hadhira.”—Wilbgeorge Bahati, Mkufunzi wa masuala ya Mawasiliano na mitandao ya kijamii. #YouthLeadership | #Mulika255
1
3
4
@mulika255
Mulika Tanzania
2 days
Tunapozungumzia maendeleo shirikishi, hatuwezi kuyaona bila kuhakikisha kwamba kila kundi la kijamii linapewa nafasi ya kushiriki na kushika nafasi za uongozi.”—Jennifer Kayombo, Mkufunzi wa masuala ya afya na jinsia #YouthLeadership | #Mulika255
1
2
4
@mulika255
Mulika Tanzania
3 days
Pamoja na tofauti zetu za kijamii, ni muhimu kuzingatia usawa wa kijinsia na usawa wa haki. Hii inasaidia kuvunja vikwazo vya kijamii na kitamaduni vinavyowazuia wengine kushiriki”—Jennifer Kayombo, Mkufunzi wa masuala ya afya na jinsia #YouthLeadership | #Mulika255
1
3
4
@mulika255
Mulika Tanzania
3 days
Ni lazima tuiwekeze katika utu wa vijana na ushirikishwaji wao kama maadili ya msingi. Maendeleo ya taifa huwa imara zaidi pale ambapo sauti za vijana zinasikika kwa usawa na kupata nafasi ya kusimama imara.”—Suleiman Makwita, Mkufunzi wa Uongozi #YouthLeadership | #Mulika255
1
4
6
@mulika255
Mulika Tanzania
3 days
Tuna vipengele mbalimbali vinavyoweza kuwaingiza vijana katika uongozi. Kwa mfano, kisiasa ushirikishwaji wa vijana kwenye masuala ya siasa; kiuchumi na usawa katika nafasi za maendeleo ya uchumi na kidigitali.”— Suleiman Makwita, Mkufunzi Uongozi #YouthLeadership | #Mulika255
1
3
5
@mulika255
Mulika Tanzania
3 days
Lengo la mradi wa leo ni kuwapa mwanga juu ya uongozi na uwajibikaji. Tungependa muelewe nafasi yenu katika jamii, mjifunze kufanya maamuzi sahihi na yenye tija.”—Winfrida Mponzi, Mkuu wa Mradi #YouthLeadership | #Mulika255i
1
3
5
@mulika255
Mulika Tanzania
5 days
Ushuhuda huu unaonesha nguvu ya uwezeshaji kwa mabinti vijana kutoka kwenye changamoto hadi kwenye mabadiliko chanya ya maisha. 🙌 #YouthEmpowermentTz | #Mulika255
2
4
6
@mulika255
Mulika Tanzania
6 days
Hatua hizi kwa pamoja zimekuwa nguzo ya kuwainua vijana na kuwatengenezea njia endelevu ya kujitegemea kiuchumi. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255
2
3
5
@mulika255
Mulika Tanzania
11 days
Kupitia ushirikiano wa wadau mbalimbali, tumeshuhudia hatua kubwa katika safari ya kujenga fursa mpya kwa mabinti. Sauti zao sasa zinapata nafasi, na ndoto zao zinaanza kuchanua kwa msaada wa mifumo inayowaunganisha na rasilimali za kifedha. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255
3
3
4
@mulika255
Mulika Tanzania
12 days
Tunajivunia hatua kubwa tulizopiga katika kuwawezesha mabinti vijana kiuchumi! Kupitia safari hii, tumewafikia mamia ya walengwa na kuwapatia nafasi ya kuongeza maarifa, ujuzi na mtazamo mpya wa maisha #YouthEmpowermentTz | #Mulika255
2
6
6
@mulika255
Mulika Tanzania
13 days
Kupitia mradi huu, vijana huhususani wasichana waliopata Watoto katika umri mdogo na jamii kwa ujumla wanapata fursa ya kubadilisha maisha yao na kujengea familia zao msingi imara wa maendeleo. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255
3
6
8
@mulika255
Mulika Tanzania
26 days
Lishe bora ni nguzo ya mafanikio ya kijana. Wakati wa ujana, mwili na akili vinahitaji virutubisho vya kutosha ili kufikiri kwa makini, kuwa na kujiamini na kufanya vizuri kielimu, kile unachokula leo kinaamua nguvu zako za kesho! - @UNICEFTanzania #AfyaYaVijana | #Mulika255
0
2
4
@mulika255
Mulika Tanzania
27 days
A disability is not a limitation it’s a different strength. True worth is found in resilience, adaptability, and the unique perspective each person brings to the world. – @AyshaMsantu #inclusionmatters | #mulika255
0
2
4
@mulika255
Mulika Tanzania
1 month
On this very blessed day, we join all Muslims across the world in celebrating the birth of Prophet Muhammad (Peace Be Upon Him). May this occasion inspire peace, compassion, and unity in our communities. Happy Maulid day! #happymaulidday | #mulika255
0
2
3