Ministry of Finance Tanzania
@mofURT
Followers
15K
Following
2K
Media
3K
Statuses
3K
Official Page of the Ministry of Finance of Tanzania | Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Fedha Tanzania.
Dodoma, Tanzania
Joined May 2021
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha kwa kishindo makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali ya shilingi trilioni 56.49 kwa mwaka wa Fedha 2025/26, ambapo zaidi ya wabunge 373 sawa na Asilimia 98.7 walipitisha kwa kura ya ndiyo. Akizungumza wakati akifafanua
0
2
3
Tunakopa na kuwekeza kwenye miradi ya kimkakati inayogusa Maendeleo ya wananchi kiuchumi na kijamii kama hii. Halafu kupitia fedha za watanzania kupitia Bajeti ya Serikali ya kila Mwaka, tunalipa madeni hayo kwa wakati kila yanapoiva. Tushirikiane kwa kulipa kodi kwa hiari na
0
0
2
Daraja hili limejengwa kwa fedha zako. Lipa kodi kwa furaha kwa ajili ya maendeleo ya nchi yako Tanzania.
0
1
3
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ukiongozwa na Gavana wa Benki hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba, ambapo umeangazia mafanikio ya Benki hiyo katika kuendelea kuimarisha uchumi.
3
7
19
Kamishna wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Dkt. Frederick Mwakibinga, akizungumza wakati wa Mafunzo kwa Wahariri Vyombo vya Habari kuhusu masuala ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi katika sekta ya umma, yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha, katika ukumbi wa Nane
0
4
6
Serikali kupitia Wizara ya Fedha, imefanya mafunzo kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi katika sekta ya umma. Akizungumza wakati akifungua rasmi mafunzo hayo, kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizaravya Fedha,
1
2
2
Afisa Mkuu wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bw. Salim Kimaro, amewataka wakazi wa Dodoma na maeneo mengine nchini kufahamu gharama za mkopo na kuziafiki kabla ya kuchukua mkopo wowote. Bw. Kimaro aliyasema hayo wakati akitoa elimu ya fedha kwa watu waliotembelea Banda
0
1
3
Kampuni ya Kimataifa inayojihusisha na kufanya tathmini ya nchi kukopesheka katika masoko ya mitaji ya kimataifa ya Fitch Ratings, imeithibitisha Tanzania (Long-Term Foreign-Currency Issuer Default Rating – IDR) kuwa katika daraja la ‘B+’ ikiwa na Mtazamo Thabiti (Stable
0
2
5
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), anamewasilisha Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali, ambapo ameliomba Bunge ridhaa ya kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 56.49 kwa Mwaka wa Fedha 2025/26. Dkt. Nchemba ameomba ridhaa hiyo bungeni jijini Dodoma, wakati
0
3
10
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @MwiguluNchemba1 (Mb) alivyowasili katika viunga vya bunge kwa ajili ya kusoma Bajeti ya Serikali Mwaka 2025/26, jijini Dodoma.
1
7
19
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya ALSTOM, yenye Makao yake Makuu nchini Ufaransa, iliyoonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi na uendeshaji wa miundombinu ya reli ili kupunguza msongamano wa magari
0
3
2
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), amesema kuwa ushirikiano kati ya Tanzania na Norway umefanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii ikiwemo miradi ya elimu, usambazaji wa umeme vijijini yenye thamani zaidi ya sh. bilioni 188. Dkt. Nchemba
1
3
1
Serikali imeeleza kuwa utekelezaji wa sharti la upendeleo kwa wazawa ndani ya Mfumo wa NeST linatarajiwa kuanza Julai, 2025. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Dkt.
1
3
4
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
0
1
1
Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Fedha 2025/26, Sh. Trilioni 20.19.
0
1
2
TAZAMA YOUTUBE: Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb) akiwasilisha Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2024/25 na Mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka 2025/26. https://t.co/MhVijJGK89
#HAZINATV
2
2
2
Waziri Mkuu Mhe. @KassimMajaliwa_ akiteta jambo na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), kabla ya Dkt. Nchemba kuwasilisha mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2024/25 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/26,
0
0
0