mnf_1996 Profile Banner
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF) Profile
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)

@mnf_1996

Followers
65
Following
2
Media
27
Statuses
29

The Mwalimu Nyerere Foundation (Taasisi Ya Mwalimu Nyerere) was established on the 26/06/1996 as a permanent tribute to Mwalimu Julius Nyerere’s contribution

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
11 hours
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Bi Emily Kariuki amekutana na Dkt. Noel Lwoga, Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa katika kuimarisha mahusiano ya Taasisi hizi mbili, Mkutano ulifanyika tarehe 20 Agosti 2025 katika ofisi za Taasisi ya Mwalimu Nyerere.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
1
3
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
3 months
Welcoming remarks from Mzee Joseph Butiku , Chairman of the Mwalimu Nyerere Foundation at Blue Economy Roundtable
0
4
5
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
3 months
Tune in NOW to the Blue Economy Roundtable!. Celebrate Africa Day by diving into powerful discussions shaping the future of our oceans and coasts. Don’t miss out — join the live stream here: . #africaday2025
Tweet media one
0
2
5
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
3 months
RT @mnf_1996: Mzee Joseph Butiku, Chairman of the Mwalimu Nyerere Foundation, shares powerful insights on Africa’s journey, challenges, and….
0
20
0
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
3 months
Mzee Joseph Butiku, Chairman of the Mwalimu Nyerere Foundation, shares powerful insights on Africa’s journey, challenges, and future — a voice of wisdom and institutional memory." Live @Powerfm987 .@TMFoundation_ . #TMAfricaDayLecture #AfricaWeek
1
20
44
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
3 months
INVITATION. Blue Economy Roundtable. Theme: "Harnessing the Blue Economy and Tourism for Africa's Renaissance".Venue: Johari Rotana Hotel, Dar es Salaam, Tanzania.Date: Tuesday, 20 May 2025.Time: 11:00 - 15:00 (EAT).RSVP Link: @unisa @TMFoundation_
Tweet media one
1
2
2
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
3 months
Only One Week to Go!. Join us for the 15th Africa Day Lecture — a celebration of unity, progress, and the future of our continent. 🗓️: May 24th .⏰: 13:00 EAT | 14:00 SAST.📍: Julius Nyerere International Convention Centre. RSVP now to secure your spot:
Tweet media one
0
5
14
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
3 months
Partnership Announcement | 15th Africa Day Lecture. We are proud to announce that the Thabo Mbeki Foundation @TMFoundation_ has honoured the Mwalimu Nyerere Foundation with the opportunity to co-host the 15th Africa Day Lecture. This collaboration is a powerful tribute to
Tweet media one
1
5
10
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
4 months
Celebrating 61 Years of Unity 🇹🇿. Today, as we mark the 61st anniversary of the Union between Tanganyika and Zanzibar, the @mnf_1996 proudly reaffirms its unwavering commitment to Peace, Unity, and People-Centred Development across Africa and beyond. Together with governments,
Tweet media one
0
0
0
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
4 months
The Executive Director @mnf_1996 Ms. Emily Kariuki, recently held a meeting with the @undptz Resident Representative Mr. Shigeki Komatsubara. The discussion aimed at strengthening the collaboration between the two institutions, with a particular focus on youth programmes.
Tweet media one
Tweet media two
0
0
0
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
5 months
Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mzee Joseph Butiku ilikutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, katika kuimarisha ushirikiano kati ya @mnf_1996 na Serikali, Magogoni, Dar es Salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
0
1
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
8 months
Holiday Greetings #Christmas #NewYear2025
Tweet media one
0
0
0
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
9 months
Mzee Joseph Butiku, #MNF Board Chair, held a productive conversation with #EU Ambassador to #Tanzania, Ms. Christine Grau, focusing on strengthening cooperation and fostering relations between their institutions. The discussion centered on #youth development initiatives and ways
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
0
0
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
10 months
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku amefanya Mazungumzo na Balozi wa #Mali Mhe. Demba Sow katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya #Tanzania na Mali yaliyoasisiwa na Mwalimu Julius Nyerere na Komredi Modibo Keita.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
1
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
10 months
Mzee Joseph Butiku akitoa elimu kwa wananchi mbalimbali juu ya mchango wa Baba wa Taifa katika kujenga misingi ya Utaifa, Uzalendo, Maadili na Maandeleo ya Taifa letu katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mwalimu Nyerere Mkoani Mwanza.
Tweet media one
0
0
1
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
10 months
Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaadhimisha Kumbukumbu ya Miaka 25 ya Baba wa Taifa katika kilele cha Mbio za Mwenge Mkoani Mwanza.
Tweet media one
0
1
1
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
1 year
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere @mnf_1996, Mzee Joseph Waryoba Butiku atafanya #mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Taasisi. Karibu
Tweet media one
1
0
1
@mnf_1996
The Mwalimu Nyerere Foundation ( MNF)
1 year
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku atashiriki kwenye kipindi cha #Barazani kitakachorushwa #mubashara kupitia Channel Ten kuanzia majira ya saa 10 jioni. Usikose kufuatilia kipindi hicho.
Tweet media one
0
0
1