mbeyauniversity Profile Banner
Mbeya University of Science and Technology Profile
Mbeya University of Science and Technology

@mbeyauniversity

Followers
370
Following
64
Media
212
Statuses
347

Mbeya University of Science and Technology (MUST) is a public University located in Mbeya Region, in the Southern highlands of Tanzania.

Mbeya, Tanzania
Joined June 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
6 days
Employment Opportunities.We are seeking qualified individuals to fill various vacancies. For more information, please visit or access the recruitment portal.
Tweet media one
0
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
11 days
Baraza, Menejimenti, Wafanyakazi na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) tunaungana na Watanzania wote kuwatakia heri wakulima katika maadhimisho ya siku hii muhimu ya Nane Nane 2025.
Tweet media one
0
0
0
@grok
Grok
8 days
Generate videos in just a few seconds. Try Grok Imagine, free for a limited time.
416
687
3K
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
18 days
We acknowledge and congratulate our fourth-year Bachelor of Architectural Technology student, Frida Mtewele, for securing an international exchange opportunity to Manipal University Jaipur in India. Her participation highlights the talent and quality nurtured at MUST
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
1
5
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
ya Taifa. Naye Mkurugenzi wa MCB Mhandisi Ivor Ndimbo amesema wao kama Washauri elekezi watahakikisha wanasimamia kikamilifu mradi huo ili kufikiwa malengo yaliyokusudiwa.
0
0
3
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
ya kwa taifa. Katika Uzinduzi huo Prof. Zacharia Katambara kutoka chuo kikuu cha Must akitoa maelezo juu ya mradi huo kwa mhe. Makamu wa rais amesema mradi huo unategémewa kua msaada kwa taifa kwasababu utapunguza changamoto ya umeme katika taifa kwani unaelekezwa katika grid.
1
0
3
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
mshauri Elekezi wa mradi, mhe. Makamu wa rais ameeleza nia ya serikali ni kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwataka wananchi kutumia vyema fursa za miradi inayoanzishwa. Aidha amesema serikali itaendelea kutoa ushirikiano na madhehebu yote ya dini ili kuendelea kuleta maendeleo.
1
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
kampuni ya Mcb consultancy Bureau iliyopo chini ya Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia (MUST). Makamu wa rais mhe. Dkt. Isidor Philipo Mpango aliwashukuru wote waliofanikisha kuzindua mradi huo hasa Kanisa la KKKT kwa kupata maono hayo. Pia amewashukuru wakandarasi pamoja na.
1
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
dini, viongozi mbalimbali wa vyama na taasisi mbali mbali. Mradi huo ulio chini ya kanisa la KKKT umegharimu zaidi ya bilioni tatu mpaka sasa. Katika kuhakikisha Mradi huu unafanikiwa na kuleta matokeo,zaidi ya makampuni matano yameshiriki na mshauri elekezi wa mradi huo ni.
1
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
muendelezo wa utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya kiuchumi (HEET), ambapo mbali na mafunzo mbalimbali Mradi huu umewezesha kuwa na Kampasi maridadi, ujenzi wa majengo mbalimbali na ununuzi wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia.
0
0
1
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
Mnato, namna ya kuandaa sauti, namna ya kuandaa video, namna ya kuweka maudhui kwenye mitandao, namna ya kuendesha mihadhara kwa kutumia mitandao na namna salama ya kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kufundishia. Mafunzo hayo yaliyoanza Oktoba 23 hadi Oktoba 27, 2023 ni.
1
0
1
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
Kujifunza namna ya kuandaa Vipindi lakini Chuo kiangalie uwezekano wa kutupatia Komputa kubwa ambazo zitakuwa na uwezo wa kuhifadhi Programu hizi”,amesema Mhandisi Namsemba Mzava. Jumla ya Masomo kumi yamefundishwa kwenye Mafunzo hayo ikiwa ni pamoja na kupiga Picha Jongevu na.
1
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
hayo wameonesha kuridhika na kufurahia Mafunzo hayo huku wakisisitiza Chuo kuweka Mpango wa kuwawezesha Wanataaluma wote kuwa na Kompyuta Mpakato zenye uwezo wa kuweka Programu kubwa zinazotumika kuandaa Vipindi hivyo. “Mafunzo haya ni mazuri sana, tumepata nafasi nzuri ya.
1
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
kugawa Vyeti kwa Washiriki, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Dkt. John Willy Massoy amekishukuru Chuo kwa kuwapatia fursa ya kutoa Mafunzo hayo kwa Watumishi huku akisisitiza kuwa Wako tayari kutoa Mafunzo hayo wakati wowote watakapohitajika. Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo.
1
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yaliyofanyika Mkoani Morogoro. Mafunzo hayo yameendeshwa na Kampuni ya TWV Strartegic Solutions Limited ya Jijini Dar es salam ambayo imekuwa ikiendesha Mafunzo kama haya kwa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi. Akiongea wakati wa.
1
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
Mradi huu ulioanza 27.05.2022 unatarajiwa kukamilika ifikapo 26.05.2024. Jengo hilo la kisasa lenye ofisi zaidi ya 36 na kumbi za mikutano umegharimu zaidi ya bilioni sita, na mpaka sasa mradi umekamilika kwa asilimia hamsini.
0
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
Ndimbo amesema MCB itahakikisha inafuatilia na kusimamia miradi yake yote ya ujenzi ili ikamilike kwa wakati ili kuleta tija kwa taifa. Mkurugenzi huyo ameyasema hayo alipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa ofisi za kisasa za Mkuu wa Mkoa Morogoro.
1
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
zote za Miradi ya maendeleo zinazoletwa na Serikali Chuoni hapo. Amewataka Wataalamu wa Chuo hiko kufanya tafiti mbalimbali zitakazotoa majibu ya matatizo mbalimbali yanayowakabili Wananchi.
0
0
1
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
Miradi yote inayotekelezwa Chuoni hapo imetekelezwa kwa ubora na kiwango kinachotakiwa na hivyo amempongeza Makamu Mkuu wa Chuo pamoja na Menejimenti yake yote kwa usimamizi mzuri wa Miradi hiyo ya maendeleo. Ameendelea kusisitiza Uongozi wa Chuo kuendelea kusimamia vizuri fedha.
1
0
1
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
Oktoba 20, 2023 alipokuwa akikagua ujenzi wa mabweni ya kisasa ya Wanafunzi, ujenzi wa jengo la Taaluma, kituo cha Ubunifu na Uhaulishaji Teknolojia, Karakana na ujenzi wa maabara za kisasa za Ndaki ya Sayansi na Elimu ya Ufundi zinazoendelea kujengwa Chuoni hapo. Amesema kuwa.
1
0
0
@mbeyauniversity
Mbeya University of Science and Technology
2 years
RC HOMERA AIPONGEZA MUST KWA UTEKELEZAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera amekipongeza Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kwa usimamizi mzuri wa Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa Chuoni hapo. Mhe. Homera ametoa pongezi hizo leo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
0
4