General Profile Banner
General Profile
General

@jcb_general

Followers
26,192
Following
8,970
Media
168
Statuses
15,525

Tweeter is where strangers become friends so let's be friends,(Arsenal, Yanga and Real Madrid fan💪✊)

Utah, USA
Joined February 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@jcb_general
General
1 year
Kuna watu ukiachana nao kwenye safari yako ya maisha automatically unafanikiwa na kubarikiwa.
48
173
800
@jcb_general
General
2 years
Washauri wa kimaisha wanasema pombe iwe adui yangu washauri wa kiroho wanasema mpende adui yako,nasimama na washauri wa kiroho😂😂
24
58
278
@jcb_general
General
1 year
Ni Mungu atamlipa huyu kiumbe wake.
Tweet media one
@jcb_general
General
1 year
Muda wa kuliwakilisha taifa umewadia
0
0
3
1
8
279
@jcb_general
General
2 years
Imagine mapenzi ni upofu na yanakutesa hivyo yangekuwa na macho si yangekuua😂
14
33
209
@jcb_general
General
1 year
Alhamisi yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning people's ✊🙏
27
26
199
@jcb_general
General
2 years
Kuna mda mtu unajitolea kuwa na kademu hakana matako unakuja kushangaa eti nako kana kucheat nyiee😂😂
22
27
182
@jcb_general
General
2 years
Tunaishi na watu wanaoamini kwenye mpango wa Mungu Kuna mkono wa mtu. Good morning.
15
33
179
@jcb_general
General
2 years
Muwe na Vday njema wanangu💪
Tweet media one
28
20
161
@jcb_general
General
1 year
Ijumaa yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning people's ✊🙏
17
23
175
@jcb_general
General
2 years
Kuna muda unasikia habari zako mpaka unajiuliza kuna mtu mwingine anautumia huu mwili au😂😂
18
27
154
@jcb_general
General
6 months
Sema soka la bongo limekuwa sana.
Tweet media one
7
12
165
@jcb_general
General
2 years
Sema humu ndani wengi tunajiita jobless ila kiukweli mitaa inatudai sana mafanikio, Enewei niamke nikatoe Loki maisha ni haya haya 😂
16
29
136
@jcb_general
General
2 years
Kuto kujali ni bora kuliko kulipiza kisasi. Good morning fam
10
30
126
@jcb_general
General
2 years
Kwenye haya maisha ufunguo wa kufeli ni kujaribu kumfurahisha kila mtu✍️.
9
31
132
@jcb_general
General
11 months
Njoo mjini mkuu uone kama hela zinatunzika
Tweet media one
10
13
139
@jcb_general
General
2 years
We endelea kununulia watu pombe huku mamaako mlango wa chooni ni tambala.
13
23
133
@jcb_general
General
1 year
Wanawanchi tunajikabidhi kwako baba🙏
Tweet media one
11
7
137
@jcb_general
General
1 year
Drop your Wallpaper 👇👇👇
Tweet media one
3
5
128
@jcb_general
General
1 year
Jumatano yako ya leo ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning fam ✊🙏
24
23
131
@jcb_general
General
2 years
Tufanye kila kitu hapa kwa dunia lakini tusisahau ile mikono iliyo tulea imefanya kazi kubwa sana.
8
30
120
@jcb_general
General
1 year
Jumatano yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning people's ✊🙏
20
26
125
@jcb_general
General
2 years
Ukiwa kijana usiruhusu vijana wanaocheza na pesa za wazazi wao wakuumize akili kama unatafuta kwa jasho lako.
10
29
113
@jcb_general
General
1 year
Ukipoteza kazi kuna namna flani ivi na marafiki wanapoteza namba zako za simu.
8
20
128
@jcb_general
General
1 year
Jumatatu yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning people's ✊🙏
12
14
120
@jcb_general
General
1 year
Jumanne yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning people's ✊🙏
17
33
120
@jcb_general
General
1 year
Kila mdada ni mzuri kwa namna yake, ila kuna kitu tofauti kwa hawa wadada warefu. 😂😂
5
12
114
@jcb_general
General
2 years
Mungu hakunyimi vyote akikunyima akili ana kupa ujinga😂😂
6
24
113
@jcb_general
General
10 months
👉Drop your handle 👉Like all handle 👉Follow all likes 👉Follow all repost 👉Followback asap
51
22
112
@jcb_general
General
2 years
Leteni handles zenu tuwainue before tulale👇
49
20
102
@jcb_general
General
2 years
Habari @Tigo_TZ nauliza kama kuna mfanyakazi wenu mmoja na share nae bando langu maana linawahi kuisha isivyo kawaida nataka nijue ili niongeze bajeti.
15
16
105
@jcb_general
General
2 years
Hata kwa kidogo tunacho kipata tuikumbuke sana ile mikono iliyo tulea imepita kwenye magumu sana.
7
30
110
@jcb_general
General
1 year
Kwahiyo msimamo wetu bado ni ule ule kwenye tattoo au tunasubiri kikao kijacho
Tweet media one
7
9
103
@jcb_general
General
2 years
Unaamka asubuhi unakutana na kameseji ka mtoto wa mtu kameingia saa saba usiku kanasema 'na itoshe kusema mimi nakupenda sana😊' Nyie😂
7
25
104
@jcb_general
General
2 years
Alhamisi yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu. Good morning people's ✊🙏
26
22
108
@jcb_general
General
2 years
Ukimsaidia mtanzania akiwa na shida atakukumbuka tena akiwa na shida. GM fam
13
23
106
@jcb_general
General
2 years
Jumatano yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu. Good morning people's ✊🙏
22
22
110
@jcb_general
General
1 year
Maisha yanafundisha kwa ufanisi zaidi kuliko vitabu vya shuleni Good morning people's
7
12
99
@jcb_general
General
2 years
Lazima uwakere watu wengi sana ukianza kufanya mambo mazuri kwa ajili yako,nikanywe bia sasa😂
9
25
100
@jcb_general
General
2 years
Siku ukipata matatizo ndio utajua hauna marafiki ila una watu wanao kufahamu.
15
18
101
@jcb_general
General
2 years
Tunapambana sana ili kubadilisha hadithi za nyumbani tusikatishane tamaa tuishi👊
4
25
101
@jcb_general
General
2 years
Kusali kwako kuendane na matendo yako Mungu hapokei maombi ya mtu anaye jiona yupo sawa kidunia.
4
22
103
@jcb_general
General
2 years
Kwa hiyo Mungu aachane na wagonjwa hospitali halafu akutafutie boyfriend tajili.
11
20
93
@jcb_general
General
1 year
Ishi na watu vizuri matatizo yana tabia ya kukupeleka kwa ulio wadharau maisha yana badilika. Good morning Africa 🌍.
32
42
104
@jcb_general
General
2 years
Sasa naweza kusema nimeona kila kitu duniani baada tu ya kumuona mchina mweusii tii😂😂
10
22
93
@jcb_general
General
1 year
Drop your wallpapers 👇👇👇
Tweet media one
4
6
97
@jcb_general
General
9 months
👉Drop your handle 👉Like all handle 👉Follow all likes 👉Follow all repost 👉Followback asap
33
13
101
@jcb_general
General
1 year
Kweli kubet ni haramu mimi kabisa nikiwa na akili zangu timamu ni wakuiombea simba ipate goli kweli😂
6
2
97
@jcb_general
General
2 years
Kuna sentensi zingine huwa tu ni dhambi Moja kwa moja mfano 'funga kwanza mlango'😂😂
10
24
86
@jcb_general
General
2 years
Kama huna mpango na lunch drop handle tufuatane
31
23
86
@jcb_general
General
1 year
Kwenye chain ya maisha yako epuka sana kuwa chanzo cha matatizo ya wenzako. Good morning Africa 🌍.
24
35
90
@jcb_general
General
2 years
Kuna watu wana dharau imagine mtu anafuga mbwa kwenye nyumba ya kupanga😂😂
18
19
81
@jcb_general
General
2 years
Ukifukuzwa kazi ndio utajua kuwa simu yako inaweza kukaa siku nzima bila kuita. Gm ol.
18
25
83
@jcb_general
General
11 months
Jumanne yako ya leo ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning Africa 🌍
14
16
88
@jcb_general
General
2 years
Huwa unamwambiaje mgeni kwa upendo kuwa sasa ni muda wa yeye kuondoka nataka nikalewe sasa.
8
16
81
@jcb_general
General
1 year
Ijumaa yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu. Good morning fam ✊🙏
8
10
86
@jcb_general
General
1 year
Akii nimeacha pombe rasmi nimeamka na binadamu sijui hata ni nani na nimeitoa wapi kmmk.
5
6
84
@jcb_general
General
2 years
Wakati wenzio mwalimu anawachapa matakoni wewe ukawa unang'ang'ania mikononi unaona Sasa huna tako we nanii mpaka tukilewa ndio tunaliona😂😂
8
10
74
@jcb_general
General
11 months
Muwe na usiku mwema majirani zangu,ila kuweni makini na mapenzi.
Tweet media one
9
15
83
@jcb_general
General
2 years
Tukiwapa watoto majina ya kwenye biblia na tabia tuwe tunawafundisha saa hii kapita zebedayo kalewa😂
8
24
74
@jcb_general
General
2 years
Upendo usiwe sababu ya kuvumilia kudharaulika na kuto kuheshimika Good morning fam
9
21
78
@jcb_general
General
1 year
Jumanne yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning people's ✊🙏
9
10
75
@jcb_general
General
9 months
Muda mwingine tunakata tamaa kwa sababu tunataka ratiba zetu ziendane au zibadilishe ratiba za Mungu. Good morning Africa 🌍
15
17
78
@jcb_general
General
2 years
Jumatano yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning people's ✊🙏
7
15
76
@jcb_general
General
10 months
👉Drop your handle 👉Like all handle 👉Follow all likes 👉Follow all repost 👉Followback asap
22
11
75
@jcb_general
General
2 years
Kwahiyo kule misri walienda kumtafuta farao sio😂
2
18
77
@jcb_general
General
7 months
Ishi kitaalamu mafanikio yako hayata mfurahisha kila mtu. Good morning Africa 🌍.
17
32
81
@jcb_general
General
7 months
Ukweli mchungu nobody got rich with a SALARY, Kuajiliwa ni mpaka wa matumizi ya akili yako.
5
18
78
@jcb_general
General
7 months
Jumanne yako ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao, Good morning Africa 🌍
Tweet media one
10
16
82
@jcb_general
General
9 months
👉Drop your handle 👉Like all handle 👉Follow all likes 👉Follow all repost 👉Followback asap
Tweet media one
11
11
81
@jcb_general
General
6 months
Ukitaka kujua maisha yako yanaendaje we waulize tu majirani zako wanajuaga kila kitu hata usichokijua kuhusu wewe😂😂
5
21
78
@jcb_general
General
2 years
Ndege ni ndege bwana nilikuwa na ndoto za kuendesha ndege sasa hivi nafuga zangu bata na kuku😂😂
8
16
68
@jcb_general
General
6 months
Tafuta hela miguu sio chombo cha usafiri😂😂
6
17
79
@jcb_general
General
1 year
Jumanne yako ya leo ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning fam ✊🙏
8
10
75
@jcb_general
General
2 years
Mnashikilia mahusiano na wallet na bado hana wallet down😂😂
5
16
71
@jcb_general
General
2 years
Umri unazeesha mwili kukata tamaa kunazeesha moyo.
4
16
65
@jcb_general
General
1 year
Hakuna changamoto inayo dumu ni suala la muda tu Good morning Africa 🌍.
17
22
74
@jcb_general
General
2 years
Walevi acheni uoga kunyweni kabisa asee Mungu haangalii maini anaangalia moyo tu 😂😂
7
7
64
@jcb_general
General
9 months
👉Drop your handle 👉Like all handle 👉Follow all likes 👉Follow all repost 👉Followback asap
20
12
71
@jcb_general
General
1 year
Jumanne yako ya leo ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning fam ✊🙏
9
11
78
@jcb_general
General
2 years
Kwahiyo wadau walitaka wampige chale mzungu sio😂😂
9
17
68
@jcb_general
General
1 year
Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya uvumilivu na kupoteza mda. Good morning people's ✊
8
11
74
@jcb_general
General
9 months
👉Drop your handle 👉Like all handle 👉Follow all likes 👉Follow all repost 👉Followback asap
22
9
74
@jcb_general
General
10 months
Jumatano yako ya leo ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning Africa 🌍
7
17
74
@jcb_general
General
1 year
Siku yako ya leo ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu Good morning fam ✊🙏
9
10
73
@jcb_general
General
2 years
Mwanamke ni kama bati usipo ligongelea misumari vizuri ukilikuta kwa jirani usilaumu upepo😂😂
7
24
66
@jcb_general
General
11 months
Ukweli mchungu nobody got rich with a SALARY, Kuajiliwa ni mpaka wa matumizi ya akili yako.
8
14
75
@jcb_general
General
2 years
Kitu namshukuru Mungu ni kuto wapenda wadada wenye matako makubwa sa hii ningekuwa masikini wa kutupwa😂😂
7
19
72
@jcb_general
General
9 months
Jumanne yako ya leo ikapate kibali cha baraka kutoka kwa Mungu na kuwalinda wote uwapendao. Good morning Africa 🌍
12
12
74