Jambo For Development (JFD)
@jambo4dev
Followers
429
Following
119
Media
40
Statuses
77
We Use Life Skills Games To Promote Better Health, Better Education and Gender Equality.
Bukoba Kagera Tanzania
Joined May 2021
Unafahamu Nini Kuhusiana Nasi? Karibu kutazama kionjo hiki kutoka kwa wadau @KennedyMmari @kalajeremiah pamoja na Malaika.
2
6
41
Hello Monday 😍 Mondays are the start of the work which offers new beginnings 52 times a year -David Dwerk Have a good start y'all. #jambofordevelopment
#Lifeskillsgames
#BetterHealth
#BetterEducation
0
1
4
It's Friday right? Children from Mtundu Primary School in Biharamulo district singing and dancing the Jambo For Development @jambo4dev song during the inauguration of two classrooms and teachers office. #jambofordevelopment
#Lifeskillsgames
#BetterEducation
#BetterEducation
0
0
4
Mwishoni mwa mwezi Januari tulifanikisha mashindano ya michezo ya stadi za maisha ngazi ya mkoa. Shule 7 kutoka katika halmashauri 7 za mkoa wa Kagera zimepata fursa ya kujifunza na kushinda mradi wa ujenzi kulingana na changamoto katika shule husika. #JamboFordevelopment
0
0
2
Dada Iman Paul aliyekuwa mkrugenzi wa @jambo4dev Kijana mwenye Maono na Dada she is no longer with us, Alikuwa ni kati ya wasafiri kwenye Ndege ya Precision Mwenyezi Mungu ampe Pumziko la Amani
308
184
3K
Behold! 7 of 2022's #AfricanVisionaries. 🙌 @Bahatirwanda, @Uwezorwanda
@kwistelle, @WaterRwanda
@akothsoti1, @Devlink_Africa Florence N, Mukisa Foundation @Imani_PaulK, @jambo4dev
@chamuhanya, Centre for Y&D @john_nzira, @TwendeTZ
#AfricanVisionaryFellowship #SFFrockstars
3
12
33
Hakuna Msongamano Tena! Wanafunzi katika shule ya msingi Kijumbura wilayani karagwe wamepokea madarasa manne yenye samani ndani yake. Hatua hii ni muendelezo wa utekelezaji wa miradi katika sekta ya elimu msingi Ili kuchochea elimu bora kwa kila mtoto. #JamboForDevelopment
0
2
10
Mambo vipi? Wimbo huu unakukumbusha wapi? Msikilize mwanamuziki #Malaika ambaye anatueleza umuhimu wa maji shuleni. #JamboForDevelopment
#JamboBukoba
#WASH
#BetterEducation
0
1
8
During Bonanzas, children come, play, compete and have fun together. We empower girls by ensuring their 50% participation in our games. To promote inclusiveness, schools with special needs children are given equal opportunity to participate in the games.#LifeskillsGames
1
5
19
Children are amongst vulnerable group in many societies. Their opportunity are limited by early marriages, illiteracy and many more. Through life skills games we give all children an equal opportunity to learn the basic life skills. #jambofordevelopment
0
2
5
Nothing is stopping children and young people like Emmanuel from Tanzania from advocating for things they are passionate about. Ahead of #WorldChildrenDay, tell us in the comments about a cause you care about. @voicesofyouth
23
132
2K
Eti Jamani ,ujauzito wa kawaida unapaswa kuwa wa wiki ngapi?
5
7
15
"Vyoo vilivyoboreshwa vinatukinga na magonjwa lakini pia vinatupatia usiri tunapokuwa tunavitumia hususani watoto wa kike"-Catherine mwanafunzi wa darasa la tano katika shule msingi Byamutemba-Missenyi. Baada ya uzinduzi wa vyoo #JamboForDevelopment #JamboBukoba #BetterEducation
0
2
16
Mabibi na Mabwana, anayefuatia sasa kuunga juhudi na kujiunga rasmi CCM ni...............................TUMAINIIIIIMAKENEEEEEEEE CCM oyeeeee
84
41
931