Tephla
@iam_ericmm
Followers
3K
Following
85K
Media
53
Statuses
7K
Jack of all trades but master of none. Jokopie
Nairobi, Kenya
Joined March 2022
Kumbe November iko na weekends tano,mungu baba tupe pesa ya ulevi sasa๐๐
3
13
16
"sorry i didnโt text u back, i was pretending i didnโt see it and ended up completely forgetting"
34
74
133
Loan apps wananitishia wata auction vitu zangu juu ya mia Tano walinipea ,labda waniitie polisi, no way nalipa thao.
0
37
61
Tweets zangu hazisongi, algo inaniona kando, ama ni mimi sina content
1
12
19
Kitambo nilikuwa nadhani opera mini ni mti ndogo ya mapera๐ญ๐
20
76
113
I am tired of pretending, why does super glue not stick inside it's own bottle?
3
21
71
Yaani from Sunday after kukunywa some yellowish makali azijai shuka. Akuna kuoenda choo alfu mwili yote ni uchugu. Nakaa kama mtu mzee kuumwa na mgongo na magoti. Funny thing ni eti nikikunywa maji zinashika zaidi. Mniombee guys.
0
2
3
Mkikuyu ni mtu anaeza kua na ploti mbili mat na duka na bado anaomba watu mafegi baze
5
46
81
Ukiskiza divorce cases hizo story za kumarry utafikiria sana ni aje tu aty watoi umekua ukiraise si wako na ukifanya DNA upate Mmoja ni wako mamaz anakuuliza kama uko sure shii....
1
8
14
Lakini CRE ilikuwa scam, ni wapi ushai ona mtu anaitwa Bartholomew
32
88
211
Good Morning Friends that became family ๐
29
37
78
Unafika kwa nyumba 6pm unakaa 5 mins ukipumzika kiasi kiasi ni 9pm. Unapiga shati pasi for 3 mins alarm ya asubuhi ishalia. Capitalism itaniua bana
2
38
86
Yaani from Sunday after kukunywa some yellowish makali azijai shuka. Akuna kuoenda choo alfu mwili yote ni uchugu. Nakaa kama mtu mzee kuumwa na mgongo na magoti. Funny thing ni eti nikikunywa maji zinashika zaidi. Mniombee guys.
0
2
3
I only deal with women who are naturally drawn to me. If sheโs not, Iโm not chasing.
2
24
37
Kuna Employed kiatu imetoka sole hapa akienda job, mambo gani haya ๐
7
52
79