Explore tweets tagged as #wote
@AaronO56249
Gloriana Chuwa
21 hours
Rais Samia anatimiza ahadi: Bima ya Afya kwa Wote 2026. Maskini wanalipiwa bure.
0
8
8
@nyuki_malkia
Malkia Nyuki 👑
6 days
Weka ❤️ kwa watanzania wote waliopoteza maisha kwenye maadamano ya octoba 29
36
92
2K
@son_noeli
Heis_
14 hours
Mkikutana site wote mmesoma UDSM.
27
35
221
@TheRealJongwe
Joseph Mbilinyi
18 hours
Wakatoliki na VIJORA wapi na wapi?! Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?! Sasa ngoja WAKATOLIKI wenyewe watoke wakiongozwa na MAPADRI na MAASKOFU kama walivyoandamana DRC mpaka Kabila akachemka. NB: Hawa wote MALOFA pamoja na waliowatuma,matako yenu😎
98
230
1K
@i_am_realfinest
i_am_Real_Finest
8 hours
Captainsbet 3+ odds rollover DAY 1 HERE.. LETS continue together 📌Register 🇰🇪 https://t.co/XFnbev33vB 📲USE Booking Code : 17422739 (tuanze Wote Hii Roll Over na 1000) Target 90k on Day 4 mornin) tunakafunga Day 1 ✅ Retweet ✅
0
2
2
@SadiqKQ
SADIQ™️
16 hours
Hii ukiwa nayo MKU unaweza funza hata lecturers wote😂😭
0
7
11
@VIVIANWERE2
Koi❤
2 days
Uzuri ya Luo men ni aty they treat all the 10 of you the same😂😭ady udhani you're alone... Nyinyi wote mnapewa princess treatment 😂😂
42
166
1K
@John_Pambalu
John Pambalu
1 day
Umasikini ni mbaya sana. Nasikia dada wa watu anaangua tu kilio, anasema yeye hakujua kama kutakuwa na kamera walisema wanapa 10,000/= tu awasindikize. Anasema anaona aibu ataweka wapi sura yake wote wanajua yeye sio Mkristu.
61
120
1K
@the_fortuna73
Headbway wa kitaa
21 hours
WaTanzania wote tunafuraha sana chini ya Uongozi wa Rais Samia
0
18
11
@NoCountryHere
Dusty Sahara
7 days
Fagia wote! Finally, just as a heads up, politicians need to finalise contingency plans for fleeing Kenya. UG & TZ are too close to the motherland for any of these KANU, ODM & Kenya Kwisha bandits to successfully exile & finish off whatever stolen taxes they'll have remaining.
5
58
131
@Malengo25
MALENGOO
6 days
Binafsi hua nahitaji maelezo ya kutosha mtu akiniambia kua AKAMINKO hachezi kariakoo Yanga&Simba. Huyu ni aina ya kiungo ambae sio Simba wala Yanga wote wawili hawana na nina uhakika gharama yake haiwezi vuka $150K Mali ya bei nafuu kabisa.
15
8
306
@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
4 days
MRADI WA SGR MWANZA NDIO BASI TENA. Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakaz wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa
31
142
714
@TitoMagoti
Tito Magoti, ESQ, PG.
9 days
Huu ndio UHARAMIA wa Tume mwitu ya Chande. Wanakusudia KUUWA watu wote wenye ushahidi wa mauwaji. Hata hivyo, haitamsaidia muuwaji Samia. Kuweni makini. Boycott Chande’s nonsense.
52
301
1K
@kiizaru1981
Nathania Henry
21 hours
Chini ya Samia: Matibabu ya wakati, dawa hospitalini, afya kwa wote. Bima kwa wote ndo imeanza hivyo.
1
8
7
@wote_dev
daniel zverev
17 hours
this dude pulled up on me in the office
1
0
6
@Sativa255
SATIVA
18 hours
Huyu anaitwa Taufiq Mchumula. Nae jana alikuwepo ubalozi wa VATIKAN kama MKATOLIKI kwenye kumshtaki Father Kitima. Pale jana ilitakiwa KIPELEKWE KITIMOTO afu wote waambiwe kula ni lazima. Haya maigizo kwenye dini za watu yana mwisho.
36
96
561
@EBahaye44109
Evarist Bahaye
18 hours
Huyu anaitwa Taufiq Mchumula. Nae jana alikuwepo ubalozi wa VATIKAN kama MKATOLIKI kwenye kumshtaki Father Kitima. Pale jana ilitakiwa KIPELEKWE KITIMOTO afu wote waambiwe kula ni lazima. Haya maigizo kwenye dini za watu yana mwisho.
2
1
21
@NNgabu_
Nyani Ngabu
22 hours
🩺 Mpango wa Tanzania wa Huduma ya Afya kwa Wote Msingi wa Kisheria na Malengo • Tanzania ilipitisha Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote mwezi Novemba 2023, ambayo inalenga kuhakikisha wakazi wote wanakuwa na bima ya afya kwa mujibu wa ratiba itakayowekwa na Serikali. • Lengo kuu
9
19
23
@dsm_wa
KING WA DSM 👑
2 days
Wanaharakati wote hakuna hata moja kwenye akili kwanzia walionje hadi walio gerezani, dunia nzima inashangaa
0
4
3