Explore tweets tagged as #Walimu
WALIMU is well represented at the World Prematurity Day 2025 celebrations here in Mbarara, joining partners and the Ministry of Health to champion better care for newborns. #WorldPrematurityDay
0
0
1
🚨 Walimu it's time to show how rich the government millions have made you.
1
6
11
Kalonzo Musyoka “Ruto ameharibu elimu yote. Walimu wa chuo kikuu kwa mara ya kwanza wameenda hata mgomo”
1
1
0
Wanafunzi 215 na walimu 12 kutoka Shule ya Kanisa Katoliki ya St. Mary, Papiri, Jimbo la Niger nchini Nigeria wametekwa na wanamgambo wenye silaha Kali Kisha kutoweka nao usiku walipokuwa wamelala mabwenini bila upinzani mkubwa kutokana na ukosefu wa ulinzi wa kutosha.
1
0
2
Kalonzo Musyoka “Ruto ameharibu elimu yote. Walimu wa chuo kikuu kwa mara ya kwanza wameenda hata mgomo” #MileleFM
0
1
3
walimu holiday inamaanisha kupumzika, mjengo mtuwachie sisi wenye tulikataa kusoma apana leta mchanganyiko site
8
80
157
Kalonzo Musyoka “Ruto ameharibu elimu yote. Walimu wa chuo kikuu kwa mara ya kwanza wameenda hata mgomo” #PDUpdates
0
0
0
- Jumamosi, kundi moja la kidini lilisema kuwa wanafunzi na walimu 315 walitekwa nyara siku moja awali katika utekaji mkubwa wa pili wa shule ndani ya wiki, huku hofu za usalama zikiongezeka katika nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika. - Shambulio la mapema Ijumaa kwenye
0
0
1
Nishakutana na walimu wengi wazuri wa Dini ila Sheikh Walid apewe maua yake aisee 🙌🙌
6
22
187
The Arua region Immunization Management Officer (IMO), Vaccine Management Officer (VMO), and the Walimu team from Kampala presenting a feedback report after completing supportive supervision activities in the region.
0
0
0
Kalonzo Musyoka “Ruto ameharibu elimu yote. Walimu wa chuo kikuu kwa mara ya kwanza wameenda hata mgomo”
0
0
3
Nakumbuka primary nishaipigwa na walimu juu ya kuambia dem I love you
2
45
82
Unyanyasaji wa kijinsia na kingono huwaathiri wasichana, wavulana na watoto wadogo. Ukimya wao kutokueleza kwa walimu au wazazi unasababisha madhara ya kiafya, kisaikolojia na kushuka kwa ufaulu. Tuwaunge mkono, tuwasikilize, na tuwape nafasi ya kusema. #AfriYANTz | #LetsTalkTz
0
7
13
Sisi walimu salary yetu ishaingia na tukabuy mzinga mbili ikaisha tukipatana mjengo usijaribu kuniita Mwalimu
6
28
52
We’re live at the #NACNDC2025 & #JASH2025! 💪 Walimu proudly exhibits its findings and current work under the theme “Unified Action Against Communicable and Non-Communicable Diseases.” 📍 @spekeresort | 📅 3–7 Nov 2025 #NACNDCplusJASHC2025 #UnifiedAction #NCDs
0
0
0
Kazi imeanza vizuri Katika siku 100 za kwanza za Rais Samia Amehaidi Ajira 7000 Kwa Walimu wa Sayansi Na Hisabati Lengo Kuu : Ni Kutoa Elimu Bora Kwa watoto wote Ili kutengeneza kizazi chenye Maarifa na uwezo wa kujenga Taifa lenye Maendeleo 🇹🇿✍️
6
29
27