Explore tweets tagged as #PHMConference
@imchospitalsa
مستشفى المركز الطبي الدولي
1 year
The wait is over! 🎉 Population Health Management Conference kicks off TOMORROW! We're excited and can't wait to connect with all of you. Get ready for insightful discussions, innovative solutions, and networking opportunities. See you there! #PHMConference #IMCHealthsummit
0
2
1
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
Je Kongamano la kuzuia upotevu wa mazao baada ya kuvuna linakuja na fursa gani kwa kilimo chetu? #PHMConference NkrumahHall-UDSM, 8/9 Nov,17
0
3
4
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
Kongamano Kubwa la Udhibiti wa Upotevu wa Mazao baada ya kuvuna linaendelea leo katika ukumbi wa Nkrumah Hall, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa na TPHMP kwa kushirikiana na ANSAF,UDSM,HELVETAS Swiss Intercooperation na Wizara ya Kilimo #PHMConference
0
1
5
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
"Mbali na changamoto ya upotevu wa mazao, lakini bado kuna fursa nyingi za uwekezaji zilizopo endapo tutaweza kudhibiti upotevu wa mazao baada ya kuvuna" Audax Rukonge -Katibu Mtendaji wa ANSAF @NkrumahHall #PHMConference
1
2
10
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
Kikundi cha wakulima Mringo-VET kutoka Kondoa wakiigiza changamoto zinazotokana na kushindwa kudhibiti upotevu wa mazao baada ya kuvuna, ikiwemo elimu ndogo kwa wakulima juu ya mbinu bora za uhifadhi mazao. #PHMConference
0
1
3
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
"Upotevu mkubwa wa mazao unasababishwa na ukosefu wa mbinu bora za uvunaji, usafirishaji, uhifadhi na tatizo la wadudu wanaoshambulia mazao baada ya kuvuna" Audax Rukonge, Katibu Mtendaji ANSAF aliwaeleza hayo wandishi wa habari @NkrumahHall #PHMConference
0
1
5
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
Mkurugenzi Mtendaji wa ANSAF, Audax Rukonge akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Kongamano la Udhibiti wa Upotevu wa Mazao Nchini, #PHMConference
0
2
1
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
Je ungependa kuwa mmoja wa wanachama wa Jukwaa la Udhibiti wa Upotevu wa Mazao Tanzania (Tanzania Post Harvest Management Platform -TPMP)? Karibu uungane nasi katika juhudi za kupambana na upotevu wa mazao nchini #Pamoja #Tunaweza #PHMConference
0
3
2
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
Ungana na @ANSAFForum kwenye kongamano la udhibiti wa upotevu wa mazao nchini, Tarehe 8-9 Novemba, 2017, Nkrumah Hall-UDSM #PHMConference
1
2
1
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
Wadau wa maswala ya kilimo wakifuatilia kwa makini mawasilisho ya hoja zinazotolewa kwenye Kongamano la Udhibiti wa Upotevu wa Mazao baada ya kuvuna @NkrumahHall #PHMConference -On going
0
2
2
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
Nation Level Post Harvest Conference - 'Reducing Post harvest losses for food security and industrialization' -On going @NkrumahHall #PHMConference
0
3
3
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
"Serikali ipo tayari kushirikiana na wadau mbalimbali wa kilimo kutoka sekta binafsi ili kudhibiti upotevu wa mazao na kuhakikisha upatikanaji wa chakula nchini"_ Mary Mwanjelwa, Naibu Waziri wa Kilimo #PHMConference @NkrymahHall -On going
0
3
3
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
Join @ANSAFForum at the National Level Post-Harvest Management Conference on 8th-9th, November, 2017, #NkrumahHall #PHMConference.
0
4
3
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
"Upotevu wa mazao baada ya kuvuna unasababisha nchi kuwa na njaa, licha ya kuwa na uwezo wa kuzalisha chakula kwa wingi" Dk. Aloyce Hepelwa, Mkuu wa Idara ya Kilimo, Uchumi na Biashara kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam @NkrumahHall #PHMConference
0
2
4
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
'Katika juhudi za kudhibiti upotevu wa mazao nchini, serikali imeanzisha kitengo cha Uhifadhi na Usindikaji wa Mazao ya Chakula ili kutoa elimu kwa wakulima na wadau wa kilimo nchini" Josephine Amolo- Mkurugenzi Msaidizi wa kitengo hicho @NkrumahHall #PHMConference
0
1
4
@ANSAFForum
ANSAF
8 years
Kongamano Kubwa la Kitaifa la Udhibiti wa Upotevu wa Mazao baada ya Kuvuna, @NkurumahHall - On going @ANSAFForum #PHMConference
0
3
2
@theimcacademy
The IMC Academy
1 year
The wait is over! 🎉 Population Health Management Conference kicks off TOMORROW! We're excited and can't wait to connect with all of you. Get ready for insightful discussions, innovative solutions, and networking opportunities. See you there! #PHMConference #IMCHealthsummit
1
1
1
@drmagnadias
Magna Dias
3 years
#PHM22 #PHMconference #cphm burnout is created at work and solutions should be things we can do at work not things that take us away from our family and friends after work.
0
0
1
@bhaskarsaha
Bhaskar Saha
17 years
0
0
0