
ZEOB🎱
@gathiaka_01
Followers
7K
Following
43K
Media
164
Statuses
51K
RT @_fwambui: Nimeambia mtu tutembee akanishow hawezi tembea kama mifugo na akalipa boda. Imebidi nijiite kamkutano.
0
45
0
RT @iam_ochora_3: Unaenda kuitisha deni yako jamaa anakuhit na paragraph inabidi umemwambia "lipa ukipata bro".
0
54
0
RT @blincuer: Kama uko kasarani na unaweza fanya kazi ya movers 2 people are needed 700 bob per day.
0
166
0
RT @RamRamcy: Ex akirudi na pesa ndiyo naweza kubali tukule iishe alafu ajikate alikuwa wapi.
0
15
0
RT @elonmaski254: Here we go!.Transfer window closed, sasa tungojee tuone nani atabeba ligi.Bora tunajua nani hatabeba atakuwa namba 2😂.
0
10
0
RT @KenyNBlogg: Are you people saying that mwalimu Josh is a forex trader ama namna gani bana?.
0
6
0