FAWOPA TANZANIA
@fawopatz
Followers
24
Following
2
Media
3
Statuses
14
An NGO based in Mtwara - Tanzania : Building Poverty free and Sustainable Local communities with justice and Equality for, Women, Youths and Children.
Mtwara Mikindani - Tanzania
Joined February 2013
Picha ya Pamoja ya Baadhi ya wadau na viongozi wa mashirika mbalimbali waliohudhuria Jukwaa hilo
0
0
2
Sambamba na hayo FAWOPA imetumia jukwaa hili kufikisha ujumbe kwa wadau juu ya umuhimu wa kuongeza juhudi za pamoja za kutokomeza udumavu katika mkoa wa Mtwara. "Mashirikia yasiyokuwa ya kiserikali ni wadau muhimu, Washirikishwe kuimarisha utawala bora"
1
0
1
katika kuangazia maswala mbalimbali ya utawala bora na upatikanaji wa huduma za kijamii. Kupitia jukwaa hili FAWOPA imetunukiwa Tuzo ya shirika lenye umahili wa kuwezesha fursa Kwa Vijana kwa kutambua mchango wa Fawopa-Tanzania katika kujenga uwezo kwa vijana.
1
0
0
Jana Tarehe 22/8/2024 Tumeshiriki, katika jukwaa la Mashirika yasiyo ya kiserikali Mkoa wa Mtwara 2024. Jukwaa hili limekuwa sehemu muhimu ya kujadiliana kwa pamoja namna bora ya utekelezaji wa majukumu yetu kwa kushirikiana na Serikali na wadau mbalimbali
1
0
1
Wiki ya Unyonyeshaji Duniani Tarehe 1 hadi 7 Agost 2024 #LisheBoraTaifaImara
#ZeroStuntingInitiative
0
0
2
In the past two days, we have participated in the Launching of the Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN) strategic plan 2024-2028, In Dodoma Tanzania. We are We are a proud member of the @ECDNETWORK We are pleased to advance the ECD agenda in our Country.
0
0
2
tunakaribisha wadau wenye nia ya kushirikiana nasi kufanikisha lengo la kutoa elimu na kuhamasisha jamii kwa ukubwa zaidi; Wasiliana nasi kwa Barua: https://t.co/sr9tD1OBEu 8 Mtwara, Barua pepe: fawopatanzania@gmail.com au simu: +255 786 821744
0
0
1
Fawopa-Tanzania Kama wadau wa demokrasia na utawala bora tunayofuraha kushirikiana na Tume, na wadau wengine mbalimbali kuendelea kutoa elimu kuhusu michakato ya uchaguzi, na kushiriki kutazama, usawa na haki katika michakato hiyo.
1
0
1
Kufahamu zaidi kuhusu zoezi hili la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura endelea kufuatilia page zetu za Instagram; na Twitter (x) kwa jina la Fawopa-Tanzania; Pia fuatilia Page rasmi za @TumeUchaguziTZ .
1
0
1
aidha Kwa KUZINGATIA Masharti ya Ibara ya 5 (1) ikisomwa pamoja na Kifungu Cha 9 Cha Sheria hii, Na Ili Mtu aandikishwe kuwa Mpiga Kura ni lazima awe Raia wa Tanzania aliyetimiza Umri wa Miaka 18 au ambaye atatimiza Umri wa Miaka 18 ifikikapo tarehe ya Uchaguzi Mkuu"
1
0
1
kuhakikisha tunashiriki Uboreshaji huu ipasavyo; Tufahamu kuwa sifa moja wapo yakuwa Mpiga Kura katika uchaguzi ni Kuwa umejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kwa Mujibu wa Kifungu Cha 81(1) Cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na 1 ya Mwaka 2024
1
0
1
kama sehemu ya kuhamasisha ushiriki wao katika zoezi hilo muhimu katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Ndugu Baltazar Amenukuliwa akisema kuwa "Wananchi wote tunaowajibu wa Kushiriki Katika Uboreshaji wa DAFTARI la KUDUMU la Wapiga Kura Kwa..
1
0
1
Jana tarehe 19/7/2024 kupitia kipindi cha Safari Africa kinachorushwa na @SafariMedia_ na katika Mikoa ya Mtwara,Lindi na Ruvuma; Mkurugenzi wa Shirika la FAWOPA Ndugu Baltazar Komba Amepata wasaha wa kutoa elimu ya Uboreshaji wa Daftari hilo kwa wananchi..
1
0
0
UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA: Tunayofuraha kuwajulisha kuwa Fawopa-Tanzania tumepata Kibali cha kutazama mchakato wa Uboreshaji wa daftari la Wapiga Kula kuanzia Mwezi Julai mpaka Machi 2025 kutoka @TumeUchaguziTZ kwa Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara
1
0
1