@bizy94
Mbishi ⚖
7 hours
🚨#BREAKING 🇹🇿For the FIRST TIME in Tanzania's history, JWTZ is seizing control of the nation! This is the dawn of true justice⚖️handing power to political leaders who actually serve Tanzanian citizens with integrity, who prioritize our people and our beloved country over
61
393
2K

Replies

@kichefuchefuu
kichefuchefuu
6 hours
@bizy94 @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn @ChademaTZ2 @ChangeTanzania @ikulumawasliano @BBCBreaking @cnnbrk @lifeofmshaba Mwanajeshi gani anavaa kofia hivyo huyu sio mwanajeshi ni taperi mkubwa
2
0
0
@Moker___
Moker
6 hours
@bizy94 @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn @ChademaTZ2 @ChangeTanzania @ikulumawasliano @BBCBreaking @cnnbrk @lifeofmshaba Sio askari huyo,jeshi Lina msemaji sio kila mtu anaongea tu,jamaa wanajtahidi kutengeneza story za taharuki lakini wanapolala wao wenzao ndio wameamka huko huko
5
0
3
@barakawamb
BarakaWambura
6 hours
5
0
11
@ErNyoni
Kunta Kinte
3 hours
@bizy94 @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn @ChademaTZ2 @ChangeTanzania @ikulumawasliano @BBCBreaking @cnnbrk @lifeofmshaba Things are getting hotter. I hope people are taking note before it is too late.
0
0
0
@_zack255
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
6 hours
3
0
6
@LMwanga43654
Lightness Mwanga
6 hours
@bizy94 @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn @ChademaTZ2 @ChangeTanzania @ikulumawasliano @BBCBreaking @cnnbrk @lifeofmshaba Tuwe tunapata update za kamanda kila siku kama yupo salama hawa sisiemu ni washenzi mnoo hawajali chochote kumwaga damu zisizokuwa na hatia ni kawaida kwao
1
0
6
@Evancelastborn1
Evance lastborn
5 hours
@bizy94 @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn @ChademaTZ2 @ChangeTanzania @ikulumawasliano @BBCBreaking @cnnbrk @lifeofmshaba Captain tena wa Air Force lakin kifua cheupe hana nishani yyte 😂😂😂
0
0
3
@nwakali12
okonkwo
5 hours
@bizy94 @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn @ChademaTZ2 @ChangeTanzania @ikulumawasliano @BBCBreaking @cnnbrk @lifeofmshaba It's AI GENERATED, most people don't notice it. Kuna mpishano mkubwa kati ya mdomo na sauti.
0
0
2
@Katinila
Raphael Nath
4 hours
0
0
0
@MelaninAliyah1
Aliyah
5 hours
@bizy94 @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn @ChademaTZ2 @ChangeTanzania @ikulumawasliano @BBCBreaking @cnnbrk @lifeofmshaba Wakati mnapoteza muda ndivyo CCM anazidi kusepa na kijiji na Oktoba 29 hamtaamini hakuna hata sisimizi atakayekatisha
1
0
1
@AbdulAKIDU
AHZ
6 hours
@bizy94 @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn @ChademaTZ2 @ChangeTanzania @ikulumawasliano @BBCBreaking @cnnbrk @lifeofmshaba Kama Jeshi halijawa neutralized na genge Hiyo ni wake up call kwa Jeshi letu Lakini kama ndiyo hivyo tena naamini Jeshi Lina vipengere litatumia kummaliza huyo Afande kwa kuwapigia kelelle na kuleta taharuki kwa miungu wa Africa yaani wanasiasa
1
2
21
@JOBULESI
JOBLESS
6 hours
@bizy94 @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn @ChademaTZ2 @ChangeTanzania @ikulumawasliano @BBCBreaking @cnnbrk @lifeofmshaba Kwa taratibu zetu za kijeshi mwana ndiyo anatakiwa ahukumiwe kifo, kwa maana anachokifanya hapo ni treason kasaliti kiapo chake cha utii.🙂
2
0
10
@chrispineacade7
chirs Principia Mathematica
10 minutes
@bizy94 @HecheJohn @MariaSTsehai @HildaNewton21 @ChademaTZ2 @ChangeTanzania @ikulumawasliano @BBCBreaking @cnnbrk @lifeofmshaba Chawa tu wa kizimkazi ndo mtaongea kwamba hii ni AI,ila mimi ninayejua technolojia ya AI,hamwezi nidanganya.Endeleeni kujitia moyo tu,ila anguko lenu na ulajo wenu umefika mwisho.Muda utatuambia,shika maneno yangu.
0
0
0