Azam FC
@azamfc
Followers
329K
Following
2K
Media
5K
Statuses
13K
โฝ The Official Account of Azam Football Club ๐ 2013-14 Tanzania Premier League Champions. ๐ Founded in July 23, 2004. ๐ฑ #AzamFC #TimuBoraBidhaaBora
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2010
#NewSigningAlert๐จ Ni rasmi, beki kinda Lameck Lawi, amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga nasi kwa ajili ya msimu ujao! โ
โ๏ธ #weareazamfc #timuborabidhaabora
19
38
770
Stay tuned! โ๏ธ ๐ Leo Alhamisi, saa 5.00 usiku. โฐ #weareazamfc #timuborabidhaabora
14
14
217
4
4
94
#Day2 Work in progress! ๐ฅ๐ช๐ป ๐ค @azamfc x @AIKfotboll
#azamfcacademy #aikfotboll #weareazamfc #timuborabidhaabora
1
1
37
Beki wa kulia huyo, amecheza jumla ya mechi 24 hadi sasa, akiwa amefunga mabao saba na kuchangia pasi tatu zilizozaa mabao, takwimu zinazomfanya awe amehusika kwenye mabao yetu 10. #azamfcstats #weareazamfc #timuborabidhaabora
0
0
7
๐ DEFENDER! ๐ฅ Takwimu zinaongea! Nahodha msaidizi wetu, Lusajo Mwaikenda, amewapiku mabeki wote kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu huu 2024/25, baada ya kuandika rekodi ya kuwa beki aliyefunga mabao mengi zaidi hadi sasa. ๐๐๐
23
10
277
15
10
526
1
3
54
2
12
244
5
4
294
#AzamFCOfficialLineUp Kikosi chetu rasmi kitakachocheza dhidi ya Dodoma Jiji, kwenye mwendelezo wa mechi za Ligi Kuu ya NBC, itakayofanyika Uwanja wa Azam Complex, leo Jumanne saa 1.00 usiku. #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
6
9
126
๐จ M A T C H D A Y ๐จ ๐ Dodoma Jiji ๐ NBC Premier League ยฎ๏ธ Round 28 ๐ Azam Complex ๐ฐ 7.00 PM (E.A.T) #weareazamfc #timuborabidhaabora
7
17
226
5
3
265
#TANZIA Azam FC tunatuma salamu za rambirambi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu, Charles Hilary, kilichotokea leo Jumapili Mei 11, 2025. #weareazamfc #timuborabidhaabora
2
7
152
Burudani zinaendelea ndani ya Uwanja wa Azam Complex kwenye fainali ya michuano ya Azam FC- UDSM. #azamfcudsmintercollegecompetition #weareazamfc #timuborabidhaabora
1
0
31
#AzamUdsmIntercollege Michezo mbalimbali ikiendelea kwenye Uwanja wa Azam Complex, kwenye fainali ya mashindano ya Azam FC - UDSM Intercollege. #azamfc #udsm #weareazamfc #timuborabidhaabora
3
10
195
#FixturesRescheduled Tarehe mpya za mechi zetu mbili za mwisho za kumalizia msimu huu 2024/25 wa Ligi Kuu ya NBC. (H) ๐ Tabora United (June 18, 2025) (A) ๐ Fountain Gate (June 22, 2025) #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
2
1
133
1
7
159