AMRI IFX Profile Banner
AMRI IFX Profile
AMRI IFX

@amrisaly

Followers
10,079
Following
98
Media
467
Statuses
3,371

📄Professional forex trader | CEO & founder @IntelligenceFx 👇Become a profitable trader

Joined February 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
everything happen to us for a specific reasons You can’t connect the dot’s by looking forward💯 Life Thread👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
85
164
1K
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Picha, frame 1: back in the days maisha yananipiga, washkaji wananifungia vioo, najiona kama sina bahati, mfukoni patupu, hapo sijawahi kushika hata 300k ya kwangu Picha, frame 2: alhamdulillah living a life i prayed for, kila kitu kimebadilika, nlikuwa na big vision but i never…
Tweet media one
Tweet media two
107
141
1K
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Feeling grateful, blessed, and ready to take on whatever 26 has in store! 🙏🎂
Tweet media one
45
33
743
@amrisaly
AMRI IFX
6 months
Six years ago, as I made my relationship public, some people told me, ‘You'll break up eventually,' while others set deadlines for its end. Similarly, when I began my journey into forex trading and the financial market in general, many, especially close friends and family,…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
33
74
613
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Vijana wa forex bwana Forex ni utapeli mtupu Hamna aliyefanikiwa from forex trading they are all faking Hizi ni kauli za waja wenye makasiriko mtandaoni Ukimuuliza unajua hata forex ni nini haelewi hata kidogo tu ana-kauli za vijiweni ila kwa sababu anaona kijana mwenzake…
Tweet media one
119
78
565
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
#IntelligenceFxCare Plan yetu ni kurudisha kwenye jamii, tumetenga jumla ya shilingi milioni 4 - 2M tumeplan kugive away kwa awamu tofauti hapa online - 2M physical kwa watu wenye uhitaji Tuanze na online - naomba idea ya giveaway hapa twitter Atakaye toa the most liked or…
Tweet media one
107
129
547
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Ukikosa au ukipata BE HUMBLE Mtu mwingine akipata kabla yako, USIUMIE na ukiumia VUMILIA “Ooh sasa bmw ndo mafanikio?” Kuna wakina sisi tumetoka kulala chini just 5 years ago, tukakosa japo 40k ya kodi hata BUKU ni mafanikio Alaf unataka tusi-celebrate BIMA ambayo hata…
Tweet media one
46
45
557
@amrisaly
AMRI IFX
5 months
Nashangaa system bado inaaminisha na vijana wanaamini kwamba mtu hawezi kufanikiwa financially at 20s - 30s Unakuta kijana wa miaka 24 anaambiwa “inabidi u stick sana na ajira na sio biashara sababu kwenye ajira ukifika 60s utapata pension ila kwenye biashara haipo iyo” Of…
Tweet media one
43
89
539
@amrisaly
AMRI IFX
5 months
Everybody wants loyalty, consistency, and somebody who won't quit But everybody forgets that to get that person, you have to be that person💯
Tweet media one
12
43
514
@amrisaly
AMRI IFX
9 months
Almost everyone around me looked at me as a 𝗳𝗮𝗶𝗹𝘂𝗿𝗲 after I dropped out of college to focus on my trading career. But, after making my aspirations a reality, everyone regards me as a 𝗵𝗲𝗿𝗼 😅; this has taught me a lot about decision making and life in general. Make…
Tweet media one
33
31
487
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Unaamka zako asubuhi, unashika simu yako unaingia kwenye bank app yako then unamtumiaa mzazi/ wazazi wako pesa, Then unapokea message “pesa zote hizi umetuma za nini?” Unajibu “ingiza tuu kwenye matumizi na mipango yako” Hii ni ndoto ya kila mtu ila huwa inatimia kwa…
Tweet media one
29
73
481
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
Being a pharmacist was one of my biggest dreams while I was in school. Although I received nice grades, I was unable to fulfill this dream because I could not afford the school's tuition. One of my dreams right now is to own a high-quality pharmacy and hospitals in dfr areas
Tweet media one
20
28
458
@amrisaly
AMRI IFX
5 months
Wanasema “there is a million ways to make a million dollars“ Most of time hatufahamu njia ipi itatick ya kwanza au itaingiza kipato kikubwa zaidi katika kipindi fulani Sitasahau baada ya kujifunza, kufanya na kuwekeza mda wa miaka miwili kwenye forex nkaanza kuziona faida at…
Tweet media one
26
55
459
@amrisaly
AMRI IFX
3 months
Kama hauna source yoyote ya income Hauna hata uhakika wa kumudu gharama za kuendesha maisha ya kila siku Weka kwanza pembeni forex trading Tafuta biashara/kazi nyingine ya kukuingizia kipato
30
42
460
@amrisaly
AMRI IFX
3 months
Jana nimeenda kufanya service, nimekutana na gari kama model ya gari yangu jamaa kapata ajali nayo Asee mpaka mwili umesisimka kuona zaidi ya 50M imekaa juu ya mawe
Tweet media one
42
17
455
@amrisaly
AMRI IFX
9 months
Don't be a slave to the Forex market💯 remember to take care of yourself, focus on building in other aspects of your life, take vacations, travel, seek opportunities that are fresh, and meet new people.
Tweet media one
10
8
418
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Ninafahamu na nina uhakika 100% kuna trader sasa hivi ametoka kuchoma account, ana stress, na hajui hata Capital nyingine ya ku’Fund account yake itatoka wapi Hizi ni moja ya nyakati ngumu mtu yeyote ambae anawish kuwa succesful trader lazima apitie. Dhahabu ili iwe dhahabu…
Tweet media one
25
29
412
@amrisaly
AMRI IFX
3 months
Kuwa na mmoja tu maisha ni MATAMU hivi I can’t imagine kuwa na WANNE Video ipo kwenye comment👇
Tweet media one
20
13
415
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Last week nlitoa chance ya kukutana na follower wangu mmoja pale IG Nimekutana na jamaa smart Imenifanya nitamani kutoka na kuinteract wa watu zaidi Wazee wa online itabidi tupunguze kukaa ndani, tutoke kutengeneza network ya watu makini, wanasema your network is your…
Tweet media one
14
22
396
@amrisaly
AMRI IFX
5 months
Tutafute pesa kwa speed ila usikubali hivi vitu -kuwa mtumwa wa pesa -Pesa ikubadilishe your real character The goal should be to make a lot of money and stay humble and real Pia wanasema pesa haijifichi ila me nakushauri pesa ifiche especially at early stages - hiyo ndio…
Tweet media one
23
57
385
@amrisaly
AMRI IFX
3 months
Ilikuwa amazing sana kuwa invited kwenye the best podcast 🇹🇿 @LilOmmy Link ipo kwenye comment kuangalia full episode 👇
Tweet media one
12
19
359
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Ukiomba pesa kwa mtu mwenye pesa nyingi ni ngumu kupewa kuliko ukiomba mtu mwenye pesa kidogo Pesa haijifichi hivyo mwenye nyingi anaombwa na wengi, na amesha-master principal ya kutotoa pesa bila mpango ndo maana anakuwa nazo nyingi, vice versa is true to the other side😀
10
65
350
@amrisaly
AMRI IFX
5 months
Mtu asije akakuambia “huwezi ku archive kitu fulani” sababu ya kutokuamini kwenye uwezo wako ulionao NOW Kuna vitu ambavyo haviwezekani kutokea kwenye maisha yako sasa hivi, kuna mtu huwezi kuwa sasa hivi (character) na kuna vitu huwezi kufanya sasa hivi this is very true💯 Ni…
Tweet media one
15
51
338
@amrisaly
AMRI IFX
1 year
Kama kijana unaepambana na mwenyewe malengo makubwa ya kiuchumi especial wale wale wa kuanza from nothing au kuanza katika udogo chukua hii itausaidia sana kwenye safari yako Short thread hand👇
Tweet media one
21
108
332
@amrisaly
AMRI IFX
7 months
Don't worry, when it starts to make sense one month's profit will cover the 3 years you thought was wasted Keep working hard and level up your skills That's just how trading is💯
Tweet media one
9
27
316
@amrisaly
AMRI IFX
3 months
1. Kula na uliechuma nae au 2. Kula na atakaye kuwepo wakati wa mavuno ??
Tweet media one
40
19
321
@amrisaly
AMRI IFX
6 months
10 commandments of forex trading 1. Trade with your own capital; never rely on loans. 2. Avoid using investors' money in a world filled with proprietary trading firms. 3. Recognize there's no true self-taught path in trading & Continuous learning from the right experienced…
Tweet media one
Tweet media two
22
54
314
@amrisaly
AMRI IFX
1 month
The circle got smaller but the vision got bigger📈
Tweet media one
3
11
306
@amrisaly
AMRI IFX
9 months
Being a good trader puts you on a path to build other business
Tweet media one
7
16
295
@amrisaly
AMRI IFX
10 months
I never worry about what other people are doing since I always keep my attention on what I'm doing. Stop looking left and right, and focus solely on your own aspirations. And never forget, it's up to me if it's to happen!💯
Tweet media one
11
20
293
@amrisaly
AMRI IFX
10 months
Bro i have lost $5600 on mtfee, now i want to learn how to trade forex Can you teach me for free? 😅😅😅🙌🙌
59
12
282
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
In a society where your success is QUESTIONABLE, but your downfall is CELEBRATED. Stay FOCUSED Stay FOCUSED Stay FOCUSED
Tweet media one
16
22
282
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
In summary, whatever you train your mind, either consciously or subconsciously, becomes your norm📈
Tweet media one
3
10
267
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
Happy new Trading month📈
Tweet media one
3
6
278
@amrisaly
AMRI IFX
5 months
It takes hard work to become a champion, it takes harder work to remain a champion.
Tweet media one
5
14
277
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Jummah kareem
Tweet media one
4
14
275
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
A new adventure📚
Tweet media one
7
10
273
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Duniani kuna wasichana warembo sana Utakutana nao -mtandaoni -barabarani -gym -kazini/ kwenye biashara -safarini Ukitaka kila msichana mrembo unaekutana nae uanzishe nae mahusiano you are GONE Na kuna position ukiwa karibia kila unaekutana nae ndio atatamani kuanzisha…
13
45
268
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Tupate #ThrowbackThurday - 842 KJ Tupe msemo mmoja wa kikamanda unaoukumbuka👇
Tweet media one
74
6
265
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
We had the pleasure yesterday of visiting our skilled brother @gabyconscious engaging in meaningful conversations and sharing valuable experiences 🔥🔥
Tweet media one
5
3
257
@amrisaly
AMRI IFX
16 days
Siku nimetoka kupewa ushauri niachane na forex trading, Nimetoka hapo nikaenda ku- deposit $42 kwa broker, hela ambayo nilijibana mda mrefu sana Alafu the same same day nikachoma Asee sitaisahau ile siku Kama ni ku-give up nadhani ingekuwa ni ile siku
24
18
260
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
The magic you are looking for is in the work you are avoiding
Tweet media one
10
9
252
@amrisaly
AMRI IFX
3 months
Hakuna mtu ambae wajibu wake ni kusaidia mwingine Lakini ukiwa umepiga step support na saidia washkaji zako, ina maana kubwa sana Ukishindwa kuwasupport usiwakatishe tamaa kwenye mitikasi yao hata kama huamini kwenye wanachofanya
11
39
255
@amrisaly
AMRI IFX
6 months
Profit ya yangu ya kwanza kubwa iliyonifanya niamini forex is real and i can also make it in forex ilikuwa ni $900 hii ilikuwa ni September 2019, wakati huo nlikuwa naweza ku afford kudeposit $10 - 40 tu, hvyo $900 ilikuwa ni kubwa kweli kweli Nakukumbusha tu hapo nlikuwa na…
Tweet media one
Tweet media two
21
19
249
@amrisaly
AMRI IFX
10 months
The people who suffer the most when you lose must also enjoy the most when you win💯
Tweet media one
6
14
247
@amrisaly
AMRI IFX
5 months
Uaminifu ni mtaji mkubwa sana kwenye maisha Ukiona hauaminiki kwenye mahusiano, biashara au kazini tatizo sio kwa ambao hawakuamini tatizo lipo kwako Either unataka kuaminiwa na watu ambao sio sahihi au huna what it takes kuaminiwa Fix that!!!
Tweet media one
3
22
245
@amrisaly
AMRI IFX
7 months
Traders…..!! A mistake that is repeated more than once is a 𝐝𝐞𝐜𝐢𝐬𝐢𝐨𝐧 💯
Tweet media one
9
19
237
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Utasikia yale maneno “maisha ni magumu sana siku hizi” “siku hizi pesa hamna kabisa mtaani” Lakini ukipita kwenye page za madalali utakutana na nyumba za $3000/ month zinapangishwa na zinajaa Ukipita kwenye page za wauza magari utakutana na gari za $200k zinatangazwa kama…
Tweet media one
9
46
241
@amrisaly
AMRI IFX
11 months
When you take a moment to truly define what "success" means to you, magic happens! It's like a compass guiding you towards your ideal life. ✨ Suddenly, you can see the actions you need to do more of, and the ones that no longer serve your purpose. Embrace this clarity and…
Tweet media one
3
13
231
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Kama hauna marafiki ambao wanafanikiwa kiasi kwamba ukiwaangalia unajicheki unakosea wapi na wapi uongeze speed Itakuwa unachagua marafiki kwa vigezo ambavyo sio sahihi💯
6
30
237
@amrisaly
AMRI IFX
11 months
Teach yourselves not to announce good news until everything is sealed...🔥🚀
Tweet media one
5
12
231
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
New youtube video today 🔥 Time: 19:00 EAT
Tweet media one
8
18
235
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Nimewaza kununua prop firm challenge niitrade transparently pale mjini youtube Which prop firm company do you recommend and WHY?
Tweet media one
19
9
234
@amrisaly
AMRI IFX
9 months
Nothing will make your journey easier than being honest with yourself
Tweet media one
5
15
225
@amrisaly
AMRI IFX
1 month
Ukiwa una-trade huku unahitaji pesa Vs Ukiwa una-trade huku huhitaji pesa kuna tofauti kubwa sana Especially ikiwa ni pesa ya basic needs
18
12
230
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Huwezi kukaa japo week bila bando Ila hujawahi na huna mpango wa kupata japo $1 online Kuna tatizo sehemu
7
13
226
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Hakuna furaha kwenye maisha kama unaamka asubuhi mapema unamshukuru Mungu, Then, wewe unakuwa muamuzi wa mwisho wa maisha yako, Unakuwa na freedom ya kupanga uanze na nini, saa ngapi, umalize na nini Na hii ndio sababu pamoja na hard times zote nlizopitia lakini still leo…
Tweet media one
10
15
222
@amrisaly
AMRI IFX
28 days
#ThrowbackThurday Frame 1: throwback 2019 Frame 2: throwback 2023
Tweet media one
Tweet media two
18
13
225
@amrisaly
AMRI IFX
14 days
#ThrowbackThurday three years ago, wakati nipo 23 years old Hii picha ni week kadhaa baada ya kufungua @intelligencefx trading floor pale skycity mall, one one the expensive thing nimewahi kufanya just for love of trading Trading floor ilikuwa specially kwa ajili ya sisi…
Tweet media one
15
9
224
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Umeona vile unavyo concentrate na trade ukiwa umesha - execute Ndio hivyo unatakiwa u-focus na trading carrier yako
13
18
223
@amrisaly
AMRI IFX
12 days
Working hard and focusing as if you have nothing when you have all you wished for is an art💯
Tweet media one
6
10
222
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Kuna vitu huwezi kuvielewa mpaka vikutokee💯 Theories na assumption hazijawahi kuwa reality You think you are smarter than most until life humbles you when it's your turn
Tweet media one
10
16
217
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Trader una majukumu makubwa matatu 1. kulinda mtaji (kianzio) 2. kulinda kila faida utakayotengeneza 3. kuzuia possibility ya upatikanaji wa hasara kubwa Make sure unajua vizuri namna ya kufanya hivi vitu kabla hujadeposit tena pesa yako kwa broker
9
31
222
@amrisaly
AMRI IFX
1 month
Kuna level flani hivi ukifika simu yako unayoitumia kwenye mawasiliano na kutembea nayo kila sehemu Haiwezi kuwa ndio simu unayoitumia kwenye trading, investing and some other sensitive issues
Tweet media one
12
8
219
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
Do not be discouraged by the challenges that you face as you move toward your dreams. These challenges will serve to expand your outcomes in a way that you cannot appreciate at this moment.
Tweet media one
4
12
210
@amrisaly
AMRI IFX
1 month
Kutrade demo sio njia ya kujifunza trading Kutrade demo sio njia ya kujifunza forex Demo trading ni kwa ajili ya kujua kutumia trading app and software Demo trading inaleta a lot of unrealistic expectations kwenye biashara
19
20
217
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
Tangia huu mwezi umeanza umepigiwa simu ngap na mtu akakushirikisha “nimewaza tukifanya /ukifanya hiki kitakusogeza kwenye ndoto zako/ zetu? Au kukupa michongo ya maendeleo ? Kama wote ni wale wanataka more from you au kupoteza muda kuongea visivyo msingi ALTER THAT CIRCLE💯
Tweet media one
8
20
215
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
BUILDING CASP 📈
Tweet media one
2
7
207
@amrisaly
AMRI IFX
3 months
Tupate #ThrowbackThursday kabla siku haijaisha Siku naenda Collage, Mati - Ukiriguru, Mwanza, hapo jana yake nimetoka Tanga kuja Dsm then safari ndo ikaanza Nlifika Nyegezi stand saa saba usiku, kuuliza chuo kilipo, nikaambiwa hamna gari ya kwenda huko Ndani ya muda mfupi…
Tweet media one
Tweet media two
16
10
215
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Uki-withdraw pesa kutoka kwa broker au prop firm now Let’s assume $1000 Kwa bank na njia nyingi utapata 2.5M Tzs or less Ila kwa crpto utapata 2.65M Tzs Still uchaguzi ni wako
9
12
210
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
No one speaks when the weaver bird flies, no one comments when the busy bee flies... When a human begins to fly, the town begins to scream, "abomination!... where did he get the wings from? Not to worry! Dreams are your wings, so fly!
Tweet media one
4
9
203
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
Be happy for the success of others, even if you are not a part of it💯 .
Tweet media one
6
7
203
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
Safari ya mtafutaji Inahitaji msindikizaji asiye na tamaaa Choose wisely 💯
6
30
199
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
For me, becoming isn’t about arriving somewhere or achieving a certain aim I see it as moving forward, a method to grow, and a way to constantly strive to be a better version of oneself. The journey goes on📈
Tweet media one
4
9
196
@amrisaly
AMRI IFX
9 months
What differentiates me from most traders is not only my accuracy, but also how I manage my losses, hold profit, achieve a high RRR, and keep myself from making 𝘀𝘁𝘂𝗽𝗶𝗱 decisions while trading. And it is not something you can just wake up with, you must invest time and money…
Tweet media one
8
11
201
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
Nimejibu DM kama 150 leo, bado sijamaliza!! Maswali mengi “forex ni nini?” “forex inafanyikaje” Acha UVIVU nenda youtube au google kasearch utapata majibu sahihi Bro “nataka nianze forex” mimi nifanye kitu gani hapa yani ni like leo nataka kuanza kuuza nguo nimtumie…
Tweet media one
29
15
207
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Jamaa mmoja tunafanya nae biashara kanunua gun🔫 ya kujilinda Sasa hivi naona kama yeye ndo anailinda😂🙌 Ni kazi kweli kweli
14
7
205
@amrisaly
AMRI IFX
1 month
Miak minne nyuma nlikuwa nakuwa impressed na how much someone can make Mpak nlipokuja kugundua % kubwa ya watu wanamake a lot of money ila wanaishi kwenye majuto na hawafanyi chochote cha maana, income/mishahara haikutani Kipato cha X matumizi ya 2X, 0 investment na madeni…
Tweet media one
7
12
202
@amrisaly
AMRI IFX
28 days
Kama wewe ni mwenzangu na mimi Hauna ajira ya kudumu Ni jobless Hela kuingia kwenye mfuko wako ni mpaka utoke, au ufanye kazi kwenye siku husika Pambana sana, invest your money and time aggressively Tafuta namna pesa iwe inaingia kwenye mfuko wako bila uwepo wako Siku…
Tweet media one
7
20
202
@amrisaly
AMRI IFX
3 months
Mtu anasoma UNIVERSITY, tena sehemu yenye network uhakika Alafu anasema “natamani kujifunza skills tofauti tofauti lakini sina muda” Huwa naona huo ni UZEMBE Watu tumesoma college - Mati Asubuhi saa kumi na mbili tunaamkia shamba, jioni tunaenda shamba, mchana darasani, mwili…
20
18
198
@amrisaly
AMRI IFX
7 days
Happy birthday brother @gabyconscious Thank you for the consistent values you provides. Stay blessed 💪🤝
Tweet media one
3
6
216
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
“Bro unani - inspire sana” “Wewe ni role model wangu” Ntakuwa very disappointed kuona mtu ananiambia hivi alafu mwaka au miaka miwili from now yupo kwenye the same position ambayo yupo now It’s right to get inspired by material stuffs, ila ni sawa zaidi ku get inspired by…
Tweet media one
15
24
195
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Usiingie kwenye biashara/ partnership na mtu sababu unamuonea huruma Usiajiri mtu sababu unamuonea huruma Usiingie kwenye biashara na mtu sababu tu ni rafiki au ndugu yako Lazima mtu awe na value ya uhakika ya kuwek mezani Friendship is for friendship but business and work…
13
50
194
@amrisaly
AMRI IFX
3 months
Usimpigie mtu simu na kumuuliza upo wapi? Jieleze kwanza wewe upo wapi, unataka nini, kisha ndo uulize alipo huyo mtu Sometimes mtu alipo inategemea kwanza na wewe upo wapi na unataka nini😀😀
12
20
193
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Ukiwa na emergence inahitaji 300k to 1M ya haraka unapiga simu ngapi? Kama unapiga simu zaidi ya 5, ni either huna watu sahihi kwenye cycle yako Au hukopesheki / huamininiki Jitahidi kujenga cycle sahihi na kuwa mtu wa kuaminika Hizi emergence zipo 💯
Tweet media one
12
16
191
@amrisaly
AMRI IFX
6 months
They say it's lonely at the top Maybe you chose the wrong circle
Tweet media one
8
14
190
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Kama ningewahi kupata experience ya level ya comfortability and luxury inayopatikana kwenye hii gari mapema Probably ningeinunua 2021/2022 Ila wanasema wakati wa Mungu ni wakati sahihi
Tweet media one
Tweet media two
10
6
191
@amrisaly
AMRI IFX
10 months
Early weekly market breakdown preparation 🔥🚀
Tweet media one
2
7
185
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Kumbe hata sisi wa PERSONALIZED plate number hii AGENDA ya 3D inatuhusu🤔 Hivi wamesema shida ya hizi 3D ni nini vile? Maana nimemuuliza mzee wa usalama barabarani leo kakataa kunijibu
Tweet media one
8
4
189
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
Things are as they are, we suffer because we imagined different📈
Tweet media one
2
7
183
@amrisaly
AMRI IFX
3 months
If it doesn't bring you -peace -purpose -profits then don't give it your energy or attention💯
4
21
177
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Bongo mpaka leo hatuna podcast serious ya financial market traders Bongo mpaka leo hatuna consistent Summit ya traders Bongo mpaka leo hatuna forex broker yetu Bongo mpaka leo hatuna forex prop firm serious Bongo mpaka leo hatuna financial market trading floor serious…
28
17
187
@amrisaly
AMRI IFX
10 days
Kitu gani unakifahamu sana in a way kwamba mtu akipata information kutoka kwako au ukimfundisha mtu Tutam-consider huyo mtu kama mwenye bahati?
Tweet media one
28
2
190
@amrisaly
AMRI IFX
6 months
Wale ambao watu wakielezea success stories zao mnakasirika na kuleta wivu mkali baadae ntapost how i lost money in three different business and my biggest loss this year Of course sio kwa ajili yenu, ni kwa ajili ya kupeana moyo na wapambanaji wengine👊👊
15
9
181
@amrisaly
AMRI IFX
5 months
Una m treat mtu na kuongea nae vizuri anadhani unafanya hivyo kwa sababu yeye ni mtu maarufu, yupo well financially au mwanasiasa mashuhuri Kumbe una treat hivyo kila mtu 😄😀 This is what happens to me all the time
7
13
186
@amrisaly
AMRI IFX
20 days
Discipline is only punishment when it comes from someone else When it comes from within, it is empowerment💯
Tweet media one
4
8
184
@amrisaly
AMRI IFX
4 months
I used to pray for moments like this
5
12
180
@amrisaly
AMRI IFX
29 days
Internet imesaidia kuna watu hawajachoma hizi siku Ila wanavyolalamika sasa🙌😅
18
7
181
@amrisaly
AMRI IFX
2 months
Baada ya miaka kadhaa Inaweza kuwa normal kwa trader kupata $1000 in a day or even in a hour katika siku nzuri kwenye biashara Watu ambao sio traders wanaweza kuona ni RAHISI Hawawezi kuona hard-work, failures na magumu yaliyopo katika hicho kipindi cha miaka ya kujitafuta…
16
23
180
@amrisaly
AMRI IFX
2 years
Hope for the Best but Prepare for the worst 💯
Tweet media one
1
6
171