Iamjaney Profile
Iamjaney

@__JaneyG

Followers
157
Following
3K
Media
14
Statuses
4K

Earth
Joined March 2025
Don't wanna be here? Send us removal request.
@__JaneyG
Iamjaney
21 minutes
Mikono mitupu hailambwi.
@peter97daniel
Daniel_Havertz
2 hours
@Tecla__ Nakuja dm๐Ÿ˜Š.
1
0
1
@__JaneyG
Iamjaney
5 hours
RT @reidahad: itโ€™s okay, i mean no itโ€™s not but wtf can i do about it.
0
10K
0
@__JaneyG
Iamjaney
6 hours
Aisee๐Ÿ˜‚.
@_waaamiii
wamzy.
20 hours
men are SO mean when they donโ€™t want you anymore hey ? ๐Ÿ˜ญ.
0
0
3
@__JaneyG
Iamjaney
6 hours
Kuna hairstyle mtu akisuka unajua huyu ni unemployed๐Ÿ˜‚. Imagine unasuka rasta ya pink,purple na kijani na njano?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
9
9
65
@__JaneyG
Iamjaney
7 hours
Tetemente dress na mwili wa kujikata nyama zisiwe nyingi sana๐Ÿ˜ญโค>>>>.
1
0
1
@__JaneyG
Iamjaney
7 hours
RT @culturepuls: The fuck?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
0
35
0
@__JaneyG
Iamjaney
8 hours
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@_Arach1nid
ๅ‚ndrew โœžhe ๅ‚postle
8 hours
@__JaneyG Kuna Caramel tena ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
2
1
7
@__JaneyG
Iamjaney
8 hours
Tatizo lako we ni mwehu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”.
@FayaBecks
I try everyday to not act like kanyewest
19 hours
Sheโ€™s worst ffs
Tweet media one
1
0
1
@__JaneyG
Iamjaney
8 hours
Mapenzi hayo๐Ÿ˜‚.Ila mimi nimependa venye amemuita eti "Rajabu mkombozi wangu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญโค".
@DadaConso
Rajamu
19 hours
Buku ni kitita? Aaah. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
1
1
5
@__JaneyG
Iamjaney
21 hours
Kupenda asiekupenda>>>>>.
@Consolataally
Charity
21 hours
Kupendwa na unayempenda ni fahari ya moyoโ€ฆ.
1
0
4
@__JaneyG
Iamjaney
21 hours
RT @RogersMasahi: @__JaneyG Ameomba kwa unyenyekevu sana aisee hapo hata ingekuwa mimi ningempa zaidi ya alichoomba.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†.
0
2
0
@__JaneyG
Iamjaney
21 hours
Nirudi kigoma sasa kitimoto kilo 5000,huku arusha sipawezi.
@MsLizzy29
๐‘ฌ๐’๐’๐’Š๐’†๐Ÿค๐ŸŽˆ
22 hours
Mimi nirudi tu Arusha.Dar is hectic.
0
0
0
@__JaneyG
Iamjaney
22 hours
RT @KingMarga_266: Every sesbian is a dry desert rose who needs the raindrops of her submissive princessa who will feed her lust. https://tโ€ฆ.
0
1
0
@__JaneyG
Iamjaney
22 hours
About to lose my breath.There's no more fighting left.Sinking to rise no more.Searching for that open door.And every road that I've taken, mm.Led to my regret.And I don't know if I'm gon' make it.Nothing to do but lift my head๐ŸŽถ๐ŸŽถ.R~kelly &whitney houston.
0
0
1
@__JaneyG
Iamjaney
23 hours
Yaani ndio nmekumbuka nliambia mtu nitampigia niko na kazi ya kuosha vyombo. Ni week sasa imepita wacha nimtafute na excuses kama zote.
0
0
2
@__JaneyG
Iamjaney
24 hours
Pale secondary school ile unapita haraka ghafla kiti au meza ikugonge?๐Ÿ˜‚.Hayo maumivu yake rasta๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.
@rastaclaaaat
LONEWOLF๐Ÿบ
1 day
Umewahi kuunguzwa na ule uji wakati unasonga ugali ikiwa inatoa bubbles afu ikurukie kwenye ngozi??.
1
0
1
@__JaneyG
Iamjaney
1 day
Hii misemo sometimes inapoteza sana๐Ÿ˜‚.
@McinikaWaLamar
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š
1 day
Usimruhusu mtu ambaye hajawahi kuvaa viatu vyako akuambie jinsi ya kufunga kamba zako.
0
0
1
@__JaneyG
Iamjaney
1 day
RT @avohcuddle: I'm my own problem, and the day I learn how to save myself from myself, i'll be untouchable.
0
3
0
@__JaneyG
Iamjaney
1 day
Lips card is soooo real๐Ÿ˜‚.
3
3
13
@__JaneyG
Iamjaney
1 day
Ukikaa vizuri,utagundua that person who left you,either for good or bad alikua ashakushow signs kitambo,sema ndio mapenzi upofu huoni /unapuuzia signs.
1
2
8