YesayaSoftware Profile Banner
Yesaya Software 🇹🇿 Profile
Yesaya Software 🇹🇿

@YesayaSoftware

Followers
3K
Following
10K
Media
1K
Statuses
5K

Jina langu ni Yesaya, ninafundisha programming kwa kiswahili, naendesha majadiliano kuhusu TEHAMA, nafanya livestreams na kuhost podcast ya Yesaya Software.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
10 days
Session imekuwa ya manufaa makubwa sana, tunaelekea mwisho chukua link chap 🔥🔥🔥.
Tweet media one
0
0
2
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
10 days
Uchral kutoka Mongolia, muwasilishaji wetu leo anauliza, je umeshasoma kitabu hiki?
Tweet media one
0
0
1
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
10 days
Unapitwa na nondo, chukua link hii tumalize session leo. 🔥🔥🔥. @GDGDarEsSalaam
Tweet media one
Tweet media two
0
0
1
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
10 days
Tupo hewani sasa, isikupite. Pata mbinu mpya. Ongeza maarifa. Jenga future yako. 🧠 Hakuna malipo, hakuna pressure — ni kujifunza tu. 🚀 Usikose #BuildwithAI.
Tweet media one
0
0
2
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
10 days
AI si ya wataalamu peke yake. Ni kwa wanafunzi, walimu, wafanyabiashara na mtu yeyote anayetaka kwenda mbali. Jiunge nasi tujifunze kwa vitendo!.📆 Julai 5 | Saa 8:00 Mchana | 💻 Online. Tunamalizia hii session ya kwanza:.
Tweet media one
0
0
1
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
10 days
🌍 Dunia inabadilika kwa kasi – AI ndio injini mpya ya maendeleo. Swali ni: Wewe uko upande gani?.👉 Kuwa upande wa maarifa – jiunge na #BuildwithAI.🗓️ Julai 5 | 🕐 Saa 8:00 Mchana | 💻 Online.Arthur Kaza kutoka DRC anashusha NONDO 🔥🔥🔥.
Tweet media one
1
1
5
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
10 days
Tuko hewani #BuildwithAI.
0
0
2
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
10 days
#BuildwithAI imeandaliwa na @GDGDarEsSalaam baadhi ya watoa maada wa leo saa 8 mchana, jiandikishe sasa.
Tweet media one
Tweet media two
0
0
2
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
11 days
🌙 Kumekucha, hakikisha umejiandikisha. Leo tunajifunza AI kwa njia rahisi, halisi na ya kufurahisha!. 🎉 Tukio: #BuildwithAI Dar es Salaam.🗓️ Julai 5 | 🕐 Saa 8:00 Mchana.💻 Online & Free – join anywhere.🔗 Jiunge hapa: 📲 Invite marafiki zako.
0
0
1
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
11 days
📅 Julai 5, Saa 8:00 Mchana.💻 Virtual Event .🔗 Jiunge sasa:
0
0
0
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
11 days
🚨 KESHO NDIO SIKU YENYEWE!.#BuildwithAI Dar es Salaam inakuja kwa kishindo – na ni bure kabisa!. ✅ AI workshops.✅ Maonyesho ya matumizi ya Gemini.✅ Mawasilisho kutoka kwa AI developers na innovators.✅ Networking (hata ukiwa nyumbani!)
Tweet media one
1
2
10
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
12 days
Njoo ujifunze yote haya kwa vitendo kwenye #BuildwithAI.📅 Julai 5 | 🕐 Saa 8:00 Mchana.💻 Online event – join popote ulipo!.🔗 Jiunge bure hapa:
0
0
1
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
12 days
🤯 Mambo haya unaweza kufanya kwa AI:.✅ Kuandika CV kwa sekunde.✅ Kujibu emails kiotomatiki.✅ Kuweka mpango wa biashara.✅ Kujenga app kwa Gemini.
2
2
11
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
12 days
⏳ Zimesalia siku 2 tu!.Tukio kubwa la Akili Unde AI linalozungumziwa na wengi linakuja!. 💥 Jifunze kwa vitendo.💡 Pata mbinu mpya za kutumia AI.🤝 Ungana na watu wenye ndoto kama zako. 📅 Julai 5 | 🕐 Saa 8:00 Mchana.💻 Online & Free.🔗 Jiandikishe hapa:
0
1
4
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
13 days
🔗 Jiandikishe bure sasa: 👉 Usikose! Fursa kama hii haiji mara mbili. #AIforAfrica #TechTanzania #GDGDar. @GDGDarEsSalaam.
0
1
1
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
13 days
🌍 AI: Tishio au Fursa?. Je, kazi zako zitachukuliwa na AI au zitawezeshwa nayo?.Fahamu jibu kwenye #BuildwithAI Dar es Salaam – Tukio la Mtandaoni!. 🗓️ Julai 5, 2025.🕐 Saa 8:00 Mchana.💻 Tukio hili ni VIRTUAL – unahudhuria popote ulipo!. 🎯 Mada: Za Kusisimua zitajadiliwa.
1
5
16
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
13 days
🗓️ Julai 5 | 🕐 Saa 8:00 Mchana.💻 Live & Online.🔗 Jiunge hapa: 👉 Usikose! Fursa kama hii haiji mara mbili. #AIforAfrica #TechTanzania #GDGDar.
0
0
1
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
13 days
✨ Unajua unaweza kutumia Akili Unde (AI) kukuza biashara yako, kuandika barua, au hata kujifunza lugha mpya?.Karibu #BuildwithAI Dar es Salaam – tukio la mtandaoni litakalokufungua akili na kukuonyesha namna ya kutumia AI katika maisha halisi!. @GDGDarEsSalaam.
1
0
5
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
13 days
📍 Mahali: Kwenye Mtandao (Virtual).🔗 Jiandikishe sasa – Nafasi ni chache!.👉 Usikose! Tujenge pamoja. #BuildwithAI #GDGDar #AIforAfrica #TechTanzania.
0
0
1
@YesayaSoftware
Yesaya Software 🇹🇿
13 days
🚀 #BuildwithAI Dar es Salaam.🗓️ Julai 5, 2025.🕐 Saa 8:00 mchana. Je, uko tayari kuchangamka na AI? 🤖. Jifunze, jenga na uungane na wataalam, wabunifu na watumiaji wa teknolojia kutoka maeneo mbalimbali, huku tukijadili na kuunda suluhisho halisi kwa kutumia nguvu ya Akili Unde.
@GDGDarEsSalaam
GDG Dar es Salaam
13 days
🚀 We're excited to bring #BuildwithAI to your screens this 5th of July!.Join us virtually to explore AI & ML with hands-on sessions, expert talks, and networking opportunities. RSVP here 👉🏼
1
0
5