Vision
@Visionbloom66
Followers
448
Following
739
Media
67
Statuses
945
Forex Trader| Demand & Supply| Market Expert📊📊
Joined May 2025
Na leo tena DHAHABU🎯 TUMEMDUNGUA wote na Wanangu😂😂🙌🙌 Sema Kutrade GOLD ni raha sana😁
8
4
37
Tubarikiwe sote kaka🙏
mbalikiwe moja kati ya watu mhimu kwangu huu mwaka @Almalik_Mokiiwa
@Visionbloom66
@lawcharsfx1
@fimbo2022
1
1
9
Weekend BTC Trap ⚠️ hii pair ni nyepesi mno kuitred ila ni endapo utajua trap 📈trading on weekend is 🖤🩶
4
5
10
Indicators za kumwaga kuliko Technical Topics😆😆🙌🙌 Anyway
2026 MAJOR TOPICS YOU NEED TO LEARN: 1. Fibonacci Retracements 2.Breakouts 3.Reversal 4.Elliott Wave 5.Fair Value Gap 6.Candlesticks 7.Heikin Ashli 8.Moon Phases 9.Renko 10.Harmonic Patterns https://t.co/QmKMfNTOvC and resistance 12.Dynamic Support and resistance 13.Trend
2
0
7
Tokea Saa 4 asubuhi nimeshikilia roho😆😆😆 Nimeiombea hii mishumaa itoe BLUE baada ya Ijumaa kupita ila wapi😂😂💔🙌🙌 Ila hatimae TUMEFIKA🙏🙏
9
1
45
Ni dhambi kujikatia TAMAA Ili mradi unapumua. Hamasa ni kwa hawa Jamaa, baadhi yao Kuna ambao walikuwa kwenye Giza nene kuelewa Soko. Wengine hawajawahi kutrade kabisa na wengine walikata tamaa at the Maximum level INSHAALLAH itakliki🫵 Knowledge+Kumtanguliza MUNGU= SUCCESS
8
3
35
Safari ya Forex si rahisi, kuna siku unaumia na kuna siku unatabasamu, lakini kila unachopitia kinakujenga. Endelea kusonga mbele hata kama matokeo ya leo hayakuridhishi. Kumbuka, kila trader aliyefanikiwa aliwahi kuwa pale ulipo sasa , kilichowatofautisha ni kutokata tamaa.
7
13
86
I’ve traded the markets since I was fourteen. I’ve made millions. Lost millions. And made them back again. They called me many names—some flattering, some not. I’ve lived through booms, crashes, and everything in between. And through all of it, I learned one truth that matters
2
2
32
This is Ragnar Rothblock (The King of the Northmen). Kutoka kwenye movie ya "Vikings" Huyu jamaa anatufundisha kuwa, MTU WA KUOGOPWA NI YULE MWENYE NDOTO anayeipambania kwa Kujiamini. Kila unachodhani kuwa unaweza kukifanya kikazaa Matunda unayo yaona kwenye maono yako basi
19
34
104
Usiharakishe kuwa na Pesa nyingi. Harakisha kuwa Mbobezi. Forex sio Bahati bali ni Nidhamu, Subira, na Kujifunza kila siku. Kila Loss ni Somo, Kila Win ni Ushahidi kwamba safari inaeleweka vizuri. Endelea kusonga mbele🫂🫂 It's Tuesday🙏🙏
10
10
63
Hii ni Saa Tisa na Dakika 12 Usiku USIKU WA MANANE😂😂 CHENCHI ZANGU ZIMERUDI Alhamdulillah🙏
8
2
33
Am Sori Ndugu yangu🥹🥹🥹💔
4
5
33
Nimembalagaza Gold haamini macho yake😆😆💔 80 Pips collected🎯🎯 Sifa na utukufu vyote ni kwake MUNGU, hii ni Neema kubwa sana🙏🙏
6
6
63
Mnamkumbuka huyu kwenye hii tweet hapa?? Ilikuwa September wakati naandaa Darasa la Intake ya September. Ilikuwa hivi, baada ya kupost hii post hapa Twitter walijitokeza wana wakaniomba wamsaidie jamaa kulipia fedha ya Mentorship. Walikuja watu kama watano, mmoja alitokea
Kuna watu wanaipambania hii Elimu. Nimesoma hii mpaka utumbo umecheza💔 Imagine unabeba Pesa ya mtu kama huyu alafu unatoweka, kwenye Vipindi hutokei, anakuja kwako akiwa ameizika imani yake yote. Au unaingia darasani unarasha rasha💔. Unachuja madini unawapa makapi🙌🙌
12
17
76
#BTCUSD✌ I Like this Job, and i do it kiufanisi na kwa ufasaha Mkubwa. Hii ni neema na baraka kubwa kutoka kwa MUNGU. ALHAMDULILLAH🙏🙏
5
5
40