@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Wewe ungeshiriki kutano ambalo Daud Albert Bashite anatoa mada kuhusu utawala wa sheria?
92
105
2K

Replies

@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
@TitoMagoti πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ‘πŸ‘ na mimi niwe moderator! 🀣🀣🀣
1
2
150
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
@fatma_karume UtamuuwaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, and that'll be interesting, kutano litavurugika
2
1
61
@Ajirachap_Blog
AjiraChap
2 years
@TitoMagoti Katu abadani
2
0
4
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
@Yunusi_jr Haupendi maigizo
1
0
2
@GeoChumaa
Chuma πŸ§ πŸ‘¨πŸ½β€βš•οΈ
2 years
@TitoMagoti Huu mfano ni balaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
@GeoChumaa Mwalimu wa darasa nina mambo mengi alafu leo Ijumaa
0
0
0
@tonyalfredk
TONY ALFRED K
2 years
@TitoMagoti Kama shida ndo hiyo nadhani hakuna umuhimu wa kuengage na Rais wala CCM maana hawa watu ni wadogo tu, walikua wanasimamia matakwa ya maboss wao
4
1
13
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
@tonyalfredk Maridhiano ni dude kubwa beyond lecture na directions za Mahera & Co, kaka Tony. Ninadhani kwamba kuna watu decent na wenye moral authority ya kurejesha Taifa katika kiuno chake. Mahera, Mukandara, etc sio miongoni mwao.
3
5
41
@MsBrown_Tz
Kamamaa Mitumba
2 years
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
@MsBrown_Tz We mama nenda kwenye kutano
2
0
1
@Yusufhudaya4gm1
Machibya Jr DR.(III)πŸ’£
2 years
@TitoMagoti Bola mala 100 nkapoteze muda kuangalia mazoezi ya ndondoCup kulikon kupoteza muda kumsikiliza bashite πŸ˜‚πŸ˜‚
Tweet media one
1
0
8
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
@Yusufhudaya4gm1 🀣🀣🀣🀣🀣
1
0
4
@AykerP
Ayker-Adila
2 years
@TitoMagoti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukaliita "kutano". Wanataka tukaskilize semina ya chaguzi bora na Mahera . Only in Tanzania
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
@mspetersen10 Nenda kwenye kikao Aika🀣🀣🀣🀣
1
0
1
@1TraVeLA
Godfrey Achireka Jr.
2 years
@TitoMagoti Huo muda bora kuangalia porn!
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
@1TraVeLA Mkongwe πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ»
1
0
0
@ikitururu
Issack Kitururu
2 years
@TitoMagoti Mkuu kuna uwezekano ningeshiriki kwa kuwa amekuwa mwanafunzi na practitioner hivyo kuna kitu amejifunza na anashare uzoefu (the good, bad and ugly side za huo utawala) hasa baada ya kuwa β€˜mpenzi mtazamaji’ kwa miezi kadhaa. Moderators wawe mashangazi 2 wa Taifa πŸ˜‚
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
@ikitururu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ» akiwekwa mtu kati (mjadala) Sawa Lakini alikiwa lecturer mie darasani kwake kwanza siruhusiwi kuingia🀣🀣🀣
0
0
1
@franklin_tissa
Franklin Tissa
2 years
@TitoMagoti πŸ˜‚πŸ˜‚
0
0
0
@alexmwashibili
LEXA FASHION STORES πŸ“Œ
2 years
@TitoMagoti Sijaelewa tatizo
2
0
1