@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Adam anatoa ushahidi mgumu sana. He’s partly smiling akishangaa watesi wake wanavyojifanya watu wema, rafiki, mbele ya Mahakama. Mateso aliyopitia ni masimulizi ya mateso wanayofanyiwa watu wengi wakiwa chini ya ulinzi. Hii taasisi — Polisi, ni janga!
49
212
1K

Replies

@Isaya_Machaine
Isaya Machaine,CPSP (T).
3 years
@TitoMagoti Abolish the police
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@Isaya_Machaine Agree: abolish/reform
1
0
3
@MillanKefa
Milan, Kefa.
3 years
@TitoMagoti Maumivu aliyepitia Adam hao wanayochekea na kutolea ushaidi wa uongo tuwape mda watalia na familia zao maana uzuri wa Karma Ina anuani zao.
2
2
53
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
@Milan75007896 Haikosei njia
0
0
11
@CresensiaTigi
cresensia tigi
3 years
@TitoMagoti @HildaNewton21 Hata Mimi mwenyewe nimelia je mnae mwona shahidi
1
0
2
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
0
0
1
@imposibo_
SIR🕷
3 years
@TitoMagoti Picha ake unayo Tito?
0
0
0
@JesseSiembe
Prof Mzambia🇹🇿
3 years
@TitoMagoti Igp should step down
0
0
0
@Brozze33
Control number.
3 years
@TitoMagoti Matendo yao ni kama SARS ya Nigeria kabisa.
0
0
1
@1UnkownError404
Nobody }Error 404!
3 years
Tweet media one
0
0
1
@kingluten
mwanamalundi
3 years
@TitoMagoti PGO ina waumbua
0
0
0
@Npkyaruzi
Nelson Pk 🇹🇿
3 years
@TitoMagoti @VitusNkuna Bado lina element za Kikoloni
0
0
1
@DouglasMboya3
DouglasMboya.
3 years
@TitoMagoti Ni kuangalia uwezekano wa kuifuta au kutafuta mbadala wa polisi
0
0
3
@PetroMgalilaya
Petro Mgalilaya🇹🇿
3 years
@TitoMagoti @Big0047 polisi ni kama majambazi tu
0
0
2
@kasulukwetu
Kasulu
3 years
@TitoMagoti Walimtesa Yesu, sisi ni nan tusiteswe nao?🤣🤣
0
0
0
@JrFadiga
Dr. Fadhili (MD)
3 years
@TitoMagoti Jamani namuomba Mungu nijiunge na jeshi la polisi, kwa haya wanayopitia wananchi sisi vijana tunatakiwa tuwe sehemu ya jeshi la polisi alafu tubadilishe utendaji. Muniombee, nimetuma maombi naamini nitachaguliwa na nitafanya kwa nafasi yangu yaliyo mema kwa wananchi wa Tz.🙏🙏🙏
0
0
0
@solomon_chapita
Chapita solomon
3 years
@TitoMagoti @MariaSTsehai Hapo kwenye pesa hapo Rpc aliupiga mwingi Tunaomba tusomewe mapato na matumizi mi nawasaidia tu waanzie 260000-600 ya mo energy wajumlishe na nyama choma wamalizie mambo mengine twende Sawa wawe transparent 😁😁😁
0
0
6
@SSalambili
Simsam salambili
3 years
@TitoMagoti Hawa Mawakili wa Serikali wasipoyaona na kuyafeel mateso ya hawa vijana,wajue tu,moto wao uko karibu.Wataunguzwa hawa mpaka watajuta kwanini waliomba kazi ya uwakili serikalini.
1
0
8
@Ibrahim42389292
Ibrahim
3 years
@TitoMagoti Hii taasisi inatakiwa ivunjwe iundwe upya
0
0
0